Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

Mkuu una situation kama yangu...kuna manzi namkubali kinoma lakini na yeye ana jamaa yake wako pamoja miaka minne sasa...
Sema mimi nilifika hadi level za kupata vitu kama kiss n.k
Lakini sasa nimeamua kumpotezea tu ingawa roho inaniuma kinoma...hii ni week ya pili nimemblock kabisa ili nimsahau lakini moyo bado unauma... i hope baada ya week 3 ntamsahau then ni move on..

Huwezi kupoteza muda kumpenda mtu anayempenda mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wewe unajua kabisa kuwa ana jamaa yake. Tatizo linakuja hujui kama kweli anaye ama laa! Unajiuliza ananiTest au!?!?! Nikomaae au!??!

Ndo mtihani unapokuja hapo.

Kama hauna uhakika MWANAUME huwezi kugive up kirahisi hivyo... cha muhimu kuwa na subira ujenge urafiki .
Kama anakutest atakukubalia tu..

Mimi mwenyewe nilikomaa zaidi ya miezi minne ilifikia hatua tunashinda nae hata room siku nzima but nilipoona moyo wake upo kwa mshkaji mwingine niliamua kumpiga chini tu kuliko kujiumiza au kuwa mchepuko kwa manz unayempenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nimekatika #blackninja kuna Dada nimetokea kumpenda sana tatizo ni anadai ana MTU wake.
katika wanawake niliowahi kua nao hakuna ambae aliniambia yupo single, ongeza ubora wa sound zako labda hazijakidhi viwango.
 
Shida iko hapo usipomchek unasema unamchunia na ukimchek jibu ni lile like ana MTU ndo maana naomba ushaur kwa wazoefu
Nathubutu kukwambia Huyo nayeye anakupenda anachotaka ni kumbembeleza tu.sasa so long as si mke halali wa mtu we endelea kukaza , mpigie simu mara kwa mara, m-text nk.yani onesha kumjali atalegeza soon.kusema nna mtu hiyo mda mwingine ni swaga tu
 
Kama hauna uhakika MWANAUME huwezi kugive up kirahisi hivyo... cha muhimu kuwa na subira ujenge urafiki .
Kama anakutest atakukubalia tu..

Mimi mwenyewe nilikomaa zaidi ya miezi minne ilifikia hatua tunashinda nae hata room siku nzima but nilipoona moyo wake upo kwa mshkaji mwingine niliamua kumpiga chini tu kuliko kujiumiza au kuwa mchepuko kwa manz unayempenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The problem wit us men, if we fall we always wanted things to move soo fast so u cn b wit her,

Lakini sio hivo kwa a lady ambaye huwez Jua yy (a lady) alikua na hisia gani juu yako may b hata kukufikiria kuwa mtu wake hajawahi, unataka awe nawe haraka!

U kno ukimuonyesha tuu Mwanamke intentions za kumtaka hiyo kweny ubongo wake inakua kama virus, inamtafuna taratibuuu, soo be patient, take things slowly, muonyeshe unamjari msikilize, kua Rafiki Yake wa karibu

Taratiiiibu mambo yatajipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie hivi, “ usinifanyie hivyo, yaani CCM initese na wewe unitese, usiutende moyo wangu kama Nape, Usiniache Kwenye mvua mimi kifaranga cha bata ntakufa “.
Akikataa unitag

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahahahahah mkuuu umetisha ila kashaingia kingi
 
The problem wit us men, if we fall we always wanted things to move soo fast so u cn b wit her,

Lakini sio hivo kwa a lady ambaye huwez Jua yy (a lady) alikua na hisia gani juu yako may b hata kukufikiria kuwa mtu wake hajawahi, unataka awe nawe haraka!

U kno ukimuonyesha tuu Mwanamke intentions za kumtaka hiyo kweny ubongo wake inakua kama virus, inamtafuna taratibuuu, soo be patient, take things slowly, muonyeshe unamjari msikilize, kua Rafiki Yake wa karibu

Taratiiiibu mambo yatajipa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuu
 
Back
Top Bottom