Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
Pesa kwanza. Mm nikimpendaga dem na kumpata ni kazi, nampa wiki mbili tuu naingia chimbo kutafuta pesa. Nikirudi namwaga noti balaaaa kabisa. Wala hatathubutu kusema ana mtu wake.

Kama huna pesa tulia tuu.

Vrou van samaria give me bit of water to drink
Kweli mwanamke akiona mkwanja mime wake anamkana Mara

[emoji111][emoji111] [emoji109][emoji109]
 
Mkuu una situation kama yangu...kuna manzi namkubali kinoma lakini na yeye ana jamaa yake wako pamoja miaka minne sasa...
Sema mimi nilifika hadi level za kupata vitu kama kiss n.k
Lakini sasa nimeamua kumpotezea tu ingawa roho inaniuma kinoma...hii ni week ya pili nimemblock kabisa ili nimsahau lakini moyo bado unauma... i hope baada ya week 3 ntamsahau then ni move on..

Huwezi kupoteza muda kumpenda mtu anayempenda mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah inauma sana mkuu ukifikiria unampenda kweli
 
Na atajuaje kama kweli huyo msichana ana mtu wake au kama ni zuga???

Tatizo wanawake wanaanzaga kudanganya[emoji134] tunakuwa hatuwaamini. Ndo maana tunakomaaga kuona mwisho wake[emoji2] [emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida iko hapo usipomchek unasema unamchunia na ukimchek jibu ni lile like ana MTU ndo maana naomba ushaur kwa wazoefu
 
Sasa wanawake wote hao Tanzania lakini unalialia na msichana amekwisha kutolea njie hivyo!!!!Watu kama wewe ndio mwisho munakuwa wachawi wakuwaroga wasichana wawatu walio waaminifu kwa mabwana zao.Tafuta wakwako bana au tongozà mwingine ambae hatamuheshimu aliyenae kama huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom