Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

Tatizo la Watu wa Mkoa wa Kagera hawataki kukosolewa kwenye madhaifu yao na Ukikazia maendeleo ya kuwabadilishia wanatengeneza Majungu yaani wamejaa Ukabahila/Unyarubanja .
Jamaa yangu alinunua Eneo moja ya Kijiji ili ajenge kilichomkuta aliyeuza ni Maneno na kusingiziwa anaharibu Kijiji Chao kwa kuleta Wageni wakamshawishi aliyeuza wamridishe Pesa kwa aliyemuuzia ardhi ili kiwanja kibaki kwa wazawa. Sasa kwa Mtindo huo Mkoa utaendelea vipi yaani hata tenda za Manispaa ili upate uwe Mzawa .
Wakazi wa Mkoa huo wajua kupika Majungu hatari yaani akija kiongozi mwenye nia ya kweli kuubadili Mkoa watampiga Majungu hatari.

Acha kumention sababu dhaifu eti ukimwi mbona ukimwi umeitafuna mikoa Mingi tu Ila bado unaendelea kwa Kasi. Kodi za Manispaa hamtaki kidogo tu high court , kikao Cha Kijiji mnakwenda na katiba yaani mwendo wa kumkomoa Mwenyekiti kwa maswali.
Kumbuka maendeleo hayaji kwenye Sheria Bali Sheria itungwe kusimamia maendeleo Sasa Kagera wao wapo bize na Sheria tu wanasahau usimamizi Mkali wa Sheria unakimbiza Wafanyabiashara ambao ndiyo maendeleo yenyewe.
Naona umeamua kutetea uongo ili uonekane. Mimi nawafaham wageni waliopelekwa kama wafanyakazi tayari Wana viwanja na mashamba hukohuko.
 
😳 Aliyesoma hiyo habari anifanyie summarization... All in all Kagera imejaa uchawi uvivu na ubaguzi vyote hivi husababisha Umasikini mkubwa ktk mkoa huo... Ndio maana huwez kukutana na Muhaya tajiri...
Unaninjua Mimi ni naaani🤣🤣🤣🤣🤣
 
CHANZO CHA UMASIKINI KAGERA KWA MAWAZO YANGU NI TOFAUTI NA WATAWALA WANAOWAZA KISIASA.

Kinachonisikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na Ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu.

Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio utawala wetu ambao tumezoea kwa miaka mingi sasa. Watawala wanajifanya kama hawajui chanzo halisi cha kile wanachokiita umasikini uliokithiri mkoani humo.

Bila tafakuri yoyote ya "tafiti" zinazodaiwa kufanywa na Serikali, wanakuja tu na porojo za jumlajumla kuhusu "umasikini" huo. Tafiti hizo za kimangumashi hazielezei chanzo cha tatizo la Mkoa wa Kagera. Haziangalii matokeo ya Vita vya Kagera na uharibifu wa usalama na miundombinu uliosababishwa na ugomvi wa Serikali na Iddi Amin.

Kwamba shughuli za uzalishaji na kiuchumi zilikufa kabisa kutokana na vita hiyo. Hawaoni kwamba Serikali ilikosea (kwa makusudi) kutotangazwa kwa hali ya hatari mkoani humo, kwa maana ya kujenga miundombinu upya na kuwasaidia Wanakagera kurudia maisha yao ya kabla ya vita. Hawasemi Serikali ilifunga mpaka na Uganda, hivyo kusitisha shughuli zote za kiuchumi, ambapo soko kuu la mkoa wa Kagera lilikuwa Uganda.

Baada ya vita Ukimwi uliotokea Uganda ulimaliza nguvukazi kubwa ya mkoa huo kwa kupuputisha maisha ya maelfu ya nguvukazi wa Kagera. Wanajifanya hawajui kwamba MV.

Bukoba ilizama na kuua mamia ya watu, wengi wao wakiwa Wanakagera. Hapohapo, MV. Victoria "iliharibika" na kufanya Wanakagera kukosa kabisa usafiri wa kuwaunganisha na nchi yao, huku mazao yao ya kiuchumi yakishindwa kusafirishwa kwenda kwenye masoko makubwa ya kibiashara ya hapa nchini kama Mwanza na Dar es Salaam.

Serikali haikuona umuhimu wa kuwapa Wanakagera vyombo vingine vya usafiri ili wajimudu kiuchumi. Ndipo pia ulipoingia "Ugonjwa wa Mnyauko" wa migomba uliopigilia msumari wa mateso na umasikini wa Wanakagera. Yapata sasa zaidi ya miaka 15. Je, Serikali ilichukua hatua gani kuwasaidia wakulima wa kilimo cha migomba mkoani Kagera? HAKUNA.

Wakati huohuo Wanakagera walikatazwa kuuza kahawa yao nchini Uganda ambako walikuwa wanapata bei nzuri kulingana na gharama za uzalishaji.

Waliopatikana na uvushaji wa zao hilo waliadhibiwa, ikiwemo vifungo au kufilisiwa, huko kahawa ikilimbikiziwa "TOZO" lukuki bila kutilia maanani gharama za wakulima za uzalishaji.

Wanasahau tetemeko la ardhi ambapo serikali haikusaidia chochote badala yake serikali ilisema nyumba wamezisukuma wenyewe wafe maana majanga makubwa yote uanzia Kagera kama UKIMWI na majanga mwngine makubwa hakuana msaada uliotolewa mbali na kunyang'anywa kidogo kilichopatika na kuzuia waliokuwa tayari kusaidia ndugu zao kuzuiwa kwa kile serikali ilichosema kuwa vitu vyote vikusanywe kwenye mfuko wa mkoa pale Boari lakini vile vitu viliyeyuka na wananchi kuambulia biskuti mpaka sasa watu wengi wanaishi kwenye turubai.

Kwa kagera kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa baadhi ya mikoa ambayo iliwahi kupata majanga kama mafuriko, njaa nk.

Leo hii tunashuhudia jitihada za serikali kuhamisha watu kutoka kwenye hifadhi nakupelekwa kwenye kijiji ambacho imewaadalia wanakuta kila kitu sembuse wanakagera ambao walipata janga la tetemeko na serikali haikujali wala haikujiusisha kabisa na jambo hilo bali ilikuwa ni kuwazuia hata waliokuwa tayari kusaidia.

Hiyo ni mifano michache tu ya hujuma ya Serikali dhidi ya Mkoa wa Kagera kwa miongo mingi sasa. Matokeo yake ni nini? Wananchi wa Mkoa wa wa Kagera waliona Serikali ilikuwa haiwataki, haiwapendi. Wakasema isiwe taabu, wakaamua kuhamia mikoa nyingine nchini na kuwekeza huko.

Je Serikali inajifanya haioni uwekezaji wao mkubwa na uliotukuka katika mikoa mingine nchini, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na kwingineko?

Serikali imekuwa ikipiga kelele nyingi eti Wahaya wameshindwa kujenga soko na kituo cha mabasi mjini Bukoba, ikijifanya haijui kwamba jukumu hilo ni lake na vyombo vyake, ikiwemo TAMISEMI.

Kwani vituo vya mabasi na masoko ya Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam, Mwanza na kwingineko vimejengwa na nani kama sio Serikali?

Nimalizie kwa kuishauri Serikali kwamba iwekeze mkoani Kagera kama ambavyo imekuwa ikiwekeza sehemu nyingine nchini. Ikiwekeza Kagera, kama ambavyo Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kufanya kwa kujenga kitengo cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mkoani humo, basi itarajie kwamba maprofesa na PhD holders kutoka mkoani Kagera watarudi nyumbani kufaidi fursa za uwekezaji wa Serikali.

Ni matumaini ya wengi mkoani Kagera kwamba Mkuu mpya wa Mkoa wa kagera, Mhe. Chalamila ataelewa chanzo cha "UMASIKINI WA MKOA WA KAGERA".

Kwani ni mnataka wanakagera tujenge stendi na soko?

Kwani WASOMI mnaosema ni watumishi wa serikali? Wanakusanya kodi gani? Maeneo mnakopeleka miradi ya maendeleo kama stendi, soko na vyuo vikuu hakuna wasomi? Kigezo icho nichakikatiba?

Mwanza imejengwa viwanda kwakuwa hakuna wasomi? Arusha, Dodoma, Mbeya, Dar Es Salaam nk. Hakuna wasomi?

Mwambie Mkuu wa mkoa awaeleze ukweli wanaKagera kuwa umasikini na utapia mlo wanaousema Kagera ni mradi wa CCM ili waendelee kutawala.

Najua hamna majibu inawezekana mkanifungulia kesi nyingine kwakuwa nimesema ukweli mimi ni Muhaya na mzalendo wa Kagera nachukia unafiki na Majungu

Serikali timiza wajibu wenu acha kurukaruka kama maharage sufuriani.

mujuni Katikabakama.
View attachment 2344869
We Hujajua hasa kiini Cha Hali ilivyo Sasa Kagera,Na kwa ufupi tu hata hao unaowaita Wana Kagera waliowekeza Njee ya Kagera ,Hawataki na Hawapendi Kuja kuwekeza Kagera ,Unajua kwanini!?.Ngoja nikupe mfano huu ,utanielewa labda uwe mbishi :Yupo jamaa mmoja (Na mhuhifadhi kwa jina),Anaishi mkoa flan ,anamiliki Mabasi,alishawahi kuwaletea coaster kwao,iliyokuwa inafanya safari zake toka kata flani(kwao jamaa) mpka Bkb ,na nauli alifanya 2500(kwa kawaida Ni tshs8,000 Toka kata hiyo mpka bkb) ili watu hao wa kwao wapate urahic wa usafiri,Nakwambia!,Ile jamiii ilikataa na walisusa kulipanda lile gari na wakawa wanajificha maporini wakiliona na zaidi wakampa kesi Jamaa, ya kutorosha mbao za msituni,pia Jamaa alikuwa anajenga Nyumba ya walimu ktk shule iliyobeba jina la Kata hiyo ,Alisitisha Mara moja miradi yote na akalitoa like gari lake kule kwao na Sasa Hana mpango wa kuchangia chochote zaidi ya Kuihudumia familia yake iliyopo huko.Hivi Unajua sababu nyingine ya Moto kushambulia mashamba /miradi ya misitu ukiachilia mbali masuala ya ufugaji!?Ni hujuma za makusudi za wakazi !makusudi KBS!Juzi juzi waliletewa mpango kabambe wa kuendeleza miji ,na wakaonyeshwa sehemu muhimu ambazo serikali itawekeza na wakaambiwa pia wanapaswa wawe na maeneo maalumu ya kuzikia ,aisee ! walikataa wanataka waendelee kufanya maziko kwenye Nyumba na hata madiwani walioonekna kushirikiana na wataalamu waliambiwa 2025 hawatopita,.Na kupa mfano mwingine,utaelewa tu labda uwe hutaki,Uliza watu wanaofanya kazi Na kabila la huko maofisini,watakwambia!!,Hawa jamaa wako tayari wafanye KILA njia ,sehemu ya kazi uione chungu,uondoke au ufukuzwe !(sio wote baadhi),yupo jamaa (marehemu Sasa),alikuwa anatoa watu kwenye payroll ovyoovyo,na alisababisha watumishi wengi kufariki,ukikosea kujaza Opras tu,anakutoa kwenye payroll eti umeidanganya serikali.Nafsi za watu ndio zinazo angaza na kuchochea maendeleo ya eneo lolote ,wapo watu waliotoka mikoani kuja kuwekeza kgr(kilimo),walifukuzwa ktk baadhi ya kata,:'et wanachukua ardhi yetu'', Tena ardhi walikuwa wanakodi kwenye serikali za vijiji,lkn waliondolewa kwa fitna.Kiwanda Cha Pepsi kiliwekezwa kgr,watu walisemaje,et ':wanachota maji machafu ndo wanatengeneze soda''Kwa nini Kampuni nyingi za magari hazidumu kgr??yupo friesta kwa muda tn Anaishi kwa ubishi,kwanini!?Najua ,utatafuta sababu lukuki za visingizio,Mchawi wa Kgr ni Nafsi zenu wenyewe,kwanza hampendani nyinyi wenyewe kwa wenyewe,Mungu hawezi kubadilisha hali za Sisi Binadamu mpaka tubadilishe Nafsi zetu,Mchawi Ni Rohoo zenu kwa maana ya tabiaa mzee!Lakini hii Haina maana wote waliopo kgt,wapo watu wema na wazuri Sana na half ndo wanaopata changamoto KILA kukicha Toka kwa ndugu zao Wana kgr,Tubadilike
 
Tena mkoa ndio ingekua rahisi kuleta maendeleo. Ila mmekalia sifa za kipuuzi tu
Bloangu Mkoa hauwezi kuwa na fursa sawa za kufanya maendeleo na nchi,nchi is something big regardless ya ukubwa wa eneo
 
Tatizo la Watu wa Mkoa wa Kagera hawataki kukosolewa kwenye madhaifu yao na Ukikazia maendeleo ya kuwabadilishia wanatengeneza Majungu yaani wamejaa Ukabahila/Unyarubanja .
Jamaa yangu alinunua Eneo moja ya Kijiji ili ajenge kilichomkuta aliyeuza ni Maneno na kusingiziwa anaharibu Kijiji Chao kwa kuleta Wageni wakamshawishi aliyeuza wamridishe Pesa kwa aliyemuuzia ardhi ili kiwanja kibaki kwa wazawa. Sasa kwa Mtindo huo Mkoa utaendelea vipi yaani hata tenda za Manispaa ili upate uwe Mzawa .
Wakazi wa Mkoa huo wajua kupika Majungu hatari yaani akija kiongozi mwenye nia ya kweli kuubadili Mkoa watampiga Majungu hatari.

Acha kumention sababu dhaifu eti ukimwi mbona ukimwi umeitafuna mikoa Mingi tu Ila bado unaendelea kwa Kasi. Kodi za Manispaa hamtaki kidogo tu high court , kikao Cha Kijiji mnakwenda na katiba yaani mwendo wa kumkomoa Mwenyekiti kwa maswali.
Kumbuka maendeleo hayaji kwenye Sheria Bali Sheria itungwe kusimamia maendeleo Sasa Kagera wao wapo bize na Sheria tu wanasahau usimamizi Mkali wa Sheria unakimbiza Wafanyabiashara ambao ndiyo maendeleo yenyewe.
Halafu huo mkoa umejaa pia waislamu wa hovyo sana....yaani kuna wale answar sunna ..yupo jamaa mmoja anajiita ustaz asumani yeye kazi yake ni kuwachongea waislamu wenzie kwa viongozi wakubwa wa serikali kama wakuu wa mikoa na wilaya...anawasingizia wenzie kesi za ugaidi
 
Mkuu unakoelekea huku itabidi upige U-turn.😂😂😂
Halafu huo mkoa umejaa pia waislamu wa hovyo sana....yaani kuna wale answar sunna ..yupo jamaa mmoja anajiita ustaz asumani yeye kazi yake ni kuwachongea waislamu wenzie kwa viongozi wakubwa wa serikali kama wakuu wa mikoa na wilaya...anawasingizia wenzie kesi za ugaidi
 
Wengi ya wananchi wa Kagera wana Ushamba na Upuuzi,Ujinga. Hawajaelimika. Wachawi sana... Hilo ni tatizo kubwa pia. Mengine uliyoandika ni muendelezo wa ujinga huo huo wa miaka nenda rudi.
Wewe ndo mjinga na huna akili....

Mleta mada yote aliyosongea kwangu point ni mbili tu:
1.Kuuliza kwa zao la kahawa:Nakumbuka kuna kipindi kahawa ilifika Tshs. 40 kwa kilo..watu wakakata mikahawa...

2.Ugonjwa wa migomba...ambalo ndo zao kuu la uchumi...huu ugonjwa- mnyauko umeshindwa kabisa kumalizwa....
 
CHANZO CHA UMASIKINI KAGERA KWA MAWAZO YANGU NI TOFAUTI NA WATAWALA WANAOWAZA KISIASA.

Kinachonisikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na Ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu.

Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio utawala wetu ambao tumezoea kwa miaka mingi sasa. Watawala wanajifanya kama hawajui chanzo halisi cha kile wanachokiita umasikini uliokithiri mkoani humo.

Bila tafakuri yoyote ya "tafiti" zinazodaiwa kufanywa na Serikali, wanakuja tu na porojo za jumlajumla kuhusu "umasikini" huo. Tafiti hizo za kimangumashi hazielezei chanzo cha tatizo la Mkoa wa Kagera. Haziangalii matokeo ya Vita vya Kagera na uharibifu wa usalama na miundombinu uliosababishwa na ugomvi wa Serikali na Iddi Amin.

Kwamba shughuli za uzalishaji na kiuchumi zilikufa kabisa kutokana na vita hiyo. Hawaoni kwamba Serikali ilikosea (kwa makusudi) kutotangazwa kwa hali ya hatari mkoani humo, kwa maana ya kujenga miundombinu upya na kuwasaidia Wanakagera kurudia maisha yao ya kabla ya vita. Hawasemi Serikali ilifunga mpaka na Uganda, hivyo kusitisha shughuli zote za kiuchumi, ambapo soko kuu la mkoa wa Kagera lilikuwa Uganda.

Baada ya vita Ukimwi uliotokea Uganda ulimaliza nguvukazi kubwa ya mkoa huo kwa kupuputisha maisha ya maelfu ya nguvukazi wa Kagera. Wanajifanya hawajui kwamba MV.

Bukoba ilizama na kuua mamia ya watu, wengi wao wakiwa Wanakagera. Hapohapo, MV. Victoria "iliharibika" na kufanya Wanakagera kukosa kabisa usafiri wa kuwaunganisha na nchi yao, huku mazao yao ya kiuchumi yakishindwa kusafirishwa kwenda kwenye masoko makubwa ya kibiashara ya hapa nchini kama Mwanza na Dar es Salaam.

Serikali haikuona umuhimu wa kuwapa Wanakagera vyombo vingine vya usafiri ili wajimudu kiuchumi. Ndipo pia ulipoingia "Ugonjwa wa Mnyauko" wa migomba uliopigilia msumari wa mateso na umasikini wa Wanakagera. Yapata sasa zaidi ya miaka 15. Je, Serikali ilichukua hatua gani kuwasaidia wakulima wa kilimo cha migomba mkoani Kagera? HAKUNA.

Wakati huohuo Wanakagera walikatazwa kuuza kahawa yao nchini Uganda ambako walikuwa wanapata bei nzuri kulingana na gharama za uzalishaji.

Waliopatikana na uvushaji wa zao hilo waliadhibiwa, ikiwemo vifungo au kufilisiwa, huko kahawa ikilimbikiziwa "TOZO" lukuki bila kutilia maanani gharama za wakulima za uzalishaji.

Wanasahau tetemeko la ardhi ambapo serikali haikusaidia chochote badala yake serikali ilisema nyumba wamezisukuma wenyewe wafe maana majanga makubwa yote uanzia Kagera kama UKIMWI na majanga mwngine makubwa hakuana msaada uliotolewa mbali na kunyang'anywa kidogo kilichopatika na kuzuia waliokuwa tayari kusaidia ndugu zao kuzuiwa kwa kile serikali ilichosema kuwa vitu vyote vikusanywe kwenye mfuko wa mkoa pale Boari lakini vile vitu viliyeyuka na wananchi kuambulia biskuti mpaka sasa watu wengi wanaishi kwenye turubai.

Kwa kagera kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa baadhi ya mikoa ambayo iliwahi kupata majanga kama mafuriko, njaa nk.

Leo hii tunashuhudia jitihada za serikali kuhamisha watu kutoka kwenye hifadhi nakupelekwa kwenye kijiji ambacho imewaadalia wanakuta kila kitu sembuse wanakagera ambao walipata janga la tetemeko na serikali haikujali wala haikujiusisha kabisa na jambo hilo bali ilikuwa ni kuwazuia hata waliokuwa tayari kusaidia.

Hiyo ni mifano michache tu ya hujuma ya Serikali dhidi ya Mkoa wa Kagera kwa miongo mingi sasa. Matokeo yake ni nini? Wananchi wa Mkoa wa wa Kagera waliona Serikali ilikuwa haiwataki, haiwapendi. Wakasema isiwe taabu, wakaamua kuhamia mikoa nyingine nchini na kuwekeza huko.

Je Serikali inajifanya haioni uwekezaji wao mkubwa na uliotukuka katika mikoa mingine nchini, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na kwingineko?

Serikali imekuwa ikipiga kelele nyingi eti Wahaya wameshindwa kujenga soko na kituo cha mabasi mjini Bukoba, ikijifanya haijui kwamba jukumu hilo ni lake na vyombo vyake, ikiwemo TAMISEMI.

Kwani vituo vya mabasi na masoko ya Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam, Mwanza na kwingineko vimejengwa na nani kama sio Serikali?

Nimalizie kwa kuishauri Serikali kwamba iwekeze mkoani Kagera kama ambavyo imekuwa ikiwekeza sehemu nyingine nchini. Ikiwekeza Kagera, kama ambavyo Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kufanya kwa kujenga kitengo cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mkoani humo, basi itarajie kwamba maprofesa na PhD holders kutoka mkoani Kagera watarudi nyumbani kufaidi fursa za uwekezaji wa Serikali.

Ni matumaini ya wengi mkoani Kagera kwamba Mkuu mpya wa Mkoa wa kagera, Mhe. Chalamila ataelewa chanzo cha "UMASIKINI WA MKOA WA KAGERA".

Kwani ni mnataka wanakagera tujenge stendi na soko?

Kwani WASOMI mnaosema ni watumishi wa serikali? Wanakusanya kodi gani? Maeneo mnakopeleka miradi ya maendeleo kama stendi, soko na vyuo vikuu hakuna wasomi? Kigezo icho nichakikatiba?

Mwanza imejengwa viwanda kwakuwa hakuna wasomi? Arusha, Dodoma, Mbeya, Dar Es Salaam nk. Hakuna wasomi?

Mwambie Mkuu wa mkoa awaeleze ukweli wanaKagera kuwa umasikini na utapia mlo wanaousema Kagera ni mradi wa CCM ili waendelee kutawala.

Najua hamna majibu inawezekana mkanifungulia kesi nyingine kwakuwa nimesema ukweli mimi ni Muhaya na mzalendo wa Kagera nachukia unafiki na Majungu

Serikali timiza wajibu wenu acha kurukaruka kama maharage sufuriani.
mzee,serikali ye2 inaogopa wa2 wenye akili mingi kama wa2 wa kagera , moshi na mbeya,,,,na haitatokea hata siku moja rais wa nchi hii atoke maeneo hayo....
 
Wewe ndo mjinga na huna akili....

Mleta mada yote aliyosongea kwangu point ni mbili tu:
1.Kuuliza kwa zao la kahawa:Nakumbuka kuna kipindi kahawa ilifika Tshs. 40 kwa kilo..watu wakakata mikahawa...

2.Ugonjwa wa migomba...ambalo ndo zao kuu la uchumi...huu ugonjwa- mnyauko umeshindwa kabisa kumalizwa....
Ndo tatizo lenu. Ushamba mwingi sana.
 
Kwanza Wahaya ni wabinafsi, choyo ,wajuaji Sana pili vitombi wanaona ngono kwao fursa kumwagana mmaaa
 
  • Ukinyooshea kidole kimoja, vingine vinne vinakurudia.
  • Kwa muijibu wa jamaa zangu waliopo huko: Kagera imejaa ubinafsi, ubaguzi uliokomaa sana, .....
  • Jamii inayojitambua huunda serikali (serikali za mitaa) zenye nguvu, na ambazo huchochea maendeleo
 
Hivi masoko watu binafsi hawaruhusiwi kujenga? nafikiri wanabukoba mnaopenda mkoa wenu,jikusanyeni na mtumie usomi wenu kupata pesa kwa kuchanga, kukopa, mitaji ya watu etc kama mnavyochangiana mabilioni kwenye harusi zenu lakini this time muwekeze kwenye soko kubwa la kisasa ili mkuze mji wenu, investment na kutoa ajira kwa wengine, inawezekana, hakuna haja ya kusubiri serikali nimeona nchi za wenzetu masoko ni ya watu binafsi na yanaendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana... bilioni 10 au 20 kwa wahaya sio pesa nyingi wakiamua
 
Ilipoanza kuisoma kidogo niipuuze lkn baadae nikaona kuna hoja katika uzi huu.Kuna vitu vya msingi umeongea.Hongera
 
Back
Top Bottom