25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,773
tatizo la wabongo walio wengi wanachuki sana alafu ukiwauliza wao makabila yao yakoje awakubali kutaja wala mikoa yao alafu na ushamba unwasumbua[emoji23][emoji23] eti huwezi kukuta muhaya tajiri...
Pambana na hali yako bro...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
tajiri wa kwa 1 mweusi ni mengi lakini tajiri wa pili mweusi ni mufuruki nae kafa mwaka juzi hilo hawalijui