Hivi masoko watu binafsi hawaruhusiwi kujenga? nafikiri wanabukoba mnaopenda mkoa wenu,jikusanyeni na mtumie usomi wenu kupata pesa kwa kuchanga, kukopa, mitaji ya watu etc kama mnavyochangiana mabilioni kwenye harusi zenu lakini this time muwekeze kwenye soko kubwa la kisasa ili mkuze mji wenu, investment na kutoa ajira kwa wengine, inawezekana, hakuna haja ya kusubiri serikali nimeona nchi za wenzetu masoko ni ya watu binafsi na yanaendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana... bilioni 10 au 20 kwa wahaya sio pesa nyingi wakiamua