Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

😳 Aliyesoma hiyo habari anifanyie summarization... All in all Kagera imejaa uchawi uvivu na ubaguzi vyote hivi husababisha Umasikini mkubwa ktk mkoa huo... Ndio maana huwez kukutana na Muhaya tajiri...
Wahaya ni watu wema ingawa ukikuta mhaya mwenye roho mbaya ya ubaguzi ni mbaguzi hatari.

Sana, Wahaya wanatafunwa na roho mbaya ya ubaguzi na upendeleo.

Ila mambo mengine siyo tatizo.

Mkka wa Kagera binafsi naona unafanana na Kilimanjaro. Hawapendi kufanya maeneo yao kugeuka Urban areas lakini wanapenda kukimbilia mijini.
 
CHANZO CHA UMASIKINI KAGERA KWA MAWAZO YANGU NI TOFAUTI NA WATAWALA WANAOWAZA KISIASA.

Kinachonisikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na Ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio utawala wetu ambao tumezoea kwa miaka mingi sasa. Watawala wanajifanya kama hawajui chanzo halisi cha kile wanachokiita umasikini uliokithiri mkoani humo. Bila tafakuri yoyote ya "tafiti" zinazodaiwa kufanywa na Serikali, wanakuja tu na porojo za jumlajumla kuhusu "umasikini" huo. Tafiti hizo za kimangumashi hazielezei chanzo cha tatizo la Mkoa wa Kagera. Haziangalii matokeo ya Vita vya Kagera na uharibifu wa usalama na miundombinu uliosababishwa na ugomvi wa Serikali na Iddi Amin. Kwamba shughuli za uzalishaji na kiuchumi zilikufa kabisa kutokana na vita hiyo. Hawaoni kwamba Serikali ilikosea (kwa makusudi) kutotangazwa kwa hali ya hatari mkoani humo, kwa maana ya kujenga miundombinu upya na kuwasaidia Wanakagera kurudia maisha yao ya kabla ya vita. Hawasemi Serikali ilifunga mpaka na Uganda, hivyo kusitisha shughuli zote za kiuchumi, ambapo soko kuu la mkoa wa Kagera lilikuwa Uganda. Baada ya vita Ukimwi uliotokea Uganda ulimaliza nguvukazi kubwa ya mkoa huo kwa kupuputisha maisha ya maelfu ya nguvukazi wa Kagera. Wanajifanya hawajui kwamba MV. Bukoba ilizama na kuua mamia ya watu, wengi wao wakiwa Wanakagera. Hapohapo, MV. Victoria "iliharibika" na kufanya Wanakagera kukosa kabisa usafiri wa kuwaunganisha na nchi yao, huku mazao yao ya kiuchumi yakishindwa kusafirishwa kwenda kwenye masoko makubwa ya kibiashara ya hapa nchini kama Mwanza na Dar es Salaam. Serikali haikuona umuhimu wa kuwapa Wanakagera vyombo vingine vya usafiri ili wajimudu kiuchumi. Ndipo pia ulipoingia "Ugonjwa wa Mnyauko" wa migomba uliopigilia msumari wa mateso na umasikini wa Wanakagera. Yapata sasa zaidi ya miaka 15. Je, Serikali ilichukua hatua gani kuwasaidia wakulima wa kilimo cha migomba mkoani Kagera? HAKUNA. Wakati huohuo Wanakagera walikatazwa kuuza kahawa yao nchini Uganda ambako walikuwa wanapata bei nzuri kulingana na gharama za uzalishaji. Waliopatikana na uvushaji wa zao hilo waliadhibiwa, ikiwemo vifungo au kufilisiwa, huko kahawa ikilimbikiziwa "TOZO" lukuki bila kutilia maanani gharama za wakulima za uzalishaji. Wanasahau tetemeko la ardhi ambapo serikali haikusaidia chochote badala yake serikali ilisema nyumba wamezisukuma wenyewe wafe maana majanga makubwa yote uanzia Kagera kama UKIMWI na majanga mwngine makubwa hakuana msaada uliotolewa mbali na kunyang'anywa kidogo kilichopatika na kuzuia waliokuwa tayari kusaidia ndugu zao kuzuiwa kwa kile serikali ilichosema kuwa vitu vyote vikusanywe kwenye mfuko wa mkoa pale Boari lakini vile vitu viliyeyuka na wananchi kuambulia biskuti mpaka sasa watu wengi wanaishi kwenye turubai.
Kwa kagera kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa baadhi ya mikoa ambayo iliwahi kupata majanga kama mafuriko, njaa nk. Leo hii tunashuhudia jitihada za serikali kuhamisha watu kutoka kwenye hifadhi nakupelekwa kwenye kijiji ambacho imewaadalia wanakuta kila kitu sembuse wanakagera ambao walipata janga la tetemeko na serikali haikujali wala haikujiusisha kabisa na jambo hilo bali ilikuwa ni kuwazuia hata waliokuwa tayari kusaidia. Hiyo ni mifano michache tu ya hujuma ya Serikali dhidi ya Mkoa wa Kagera kwa miongo mingi sasa. Matokeo yake ni nini? Wananchi wa Mkoa wa wa Kagera waliona Serikali ilikuwa haiwataki, haiwapendi. Wakasema isiwe taabu, wakaamua kuhamia mikoa nyingine nchini na kuwekeza huko. Je Serikali inajifanya haioni uwekezaji wao mkubwa na uliotukuka katika mikoa mingine nchini, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na kwingineko? Serikali imekuwa ikipiga kelele nyingi eti Wahaya wameshindwa kujenga soko na kituo cha mabasi mjini Bukoba, ikijifanya haijui kwamba jukumu hilo ni lake na vyombo vyake, ikiwemo TAMISEMI. Kwani vituo vya mabasi na masoko ya Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam, Mwanza na kwingineko vimejengwa na nani kama sio Serikali? Nimalizie kwa kuishauri Serikali kwamba iwekeze mkoani Kagera kama ambavyo imekuwa ikiwekeza sehemu nyingine nchini. Ikiwekeza Kagera, kama ambavyo Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kufanya kwa kujenga kitengo cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mkoani humo, basi itarajie kwamba maprofesa na PhD holders kutoka mkoani Kagera watarudi nyumbani kufaidi fursa za uwekezaji wa Serikali. Ni matumaini ya wengi mkoani Kagera kwamba Mkuu mpya wa Mkoa wa kagera, Mhe. Chalamila ataelewa chanzo cha "UMASIKINI WA MKOA WA KAGERA".

Kwani ni mnataka wanakagera tujenge stendi na soko?
Kwani WASOMI mnaosema ni watumishi wa serikali? Wanakusanya kodi gani? Maeneo mnakopeleka miradi ya maendeleo kama stendi, soko na vyuo vikuu hakuna wasomi? Kigezo icho nichakikatiba?
Mwanza imejengwa viwanda kwakuwa hakuna wasomi? Arusha, Dodoma, Mbeya, Dar Es Salaam nk. Hakuna wasomi? Mwambie Mkuu wa mkoa awaeleze ukweli wanaKagera kuwa umasikini na utapia mlo wanaousema Kagera ni mradi wa CCM ili waendelee kutawala.
Najua hamna majibu inawezekana mkanifungulia kesi nyingine kwakuwa nimesema ukweli mimi ni Muhaya na mzalendo wa Kagera nachukia unafiki na Majungu
Serikali timiza wajibu wenu acha kurukaruka kama maharage sufuriani.
mujuni Katikabakama.
View attachment 2344869
Sijasoma mpaka mwisho .
RC yupo sahihi kabisa, hizo phd na viingereza mnazitumia kujenga mikoa mingine kwenu mnakusaha
 
kwa uandishi huu na mpangilio inaonyesha kuna tatizo na hapo hapo wewe ni profesa.

Andiko lako halijajibu hoja ya:
'' kila mtu anajifanya mwanasheria, na kuongea viiingeleza vingii" (Kujiona kila mtu msomi)
aliongeza kuwa ''maduka yanachelewa kufunguliwa hata zile siku za kawaida'' (Uvivu).

Kwako profesa:
-Kagera haikuwai kuingia kwenye vita na Uganda, ni nchi kama nchi sio mkoa
-Kuna mikoa mingine wana matatizo ya magonjwa kwenye mazao na mifugo yao.
-janga la ukimwi ni la kujitakia sio kama tetemeko la ardhi.
-acheni kufake maisha
 
Cha kushangaza mnakosema ni wavivu serikali inakusanya pesa nyingi, ukisikiliza maneno ya watanzania waliochoshwa na kodi utapotea. Na vile sasa hivi Kuna RC mropokaji
Screenshot_20220804-104311.jpg
 
Mimi kuna mambo mengine naonaga wanawalaumu wasomi wa Kagera kimakosa sana. Pengine ni kimkakati ili kuendelea kufunika lengo la serikali kuubakisha mkoa wa Kagera nyuma. Hii inafanya kimakusudi kuharibu mindset za watu watoke katika kuwazia mipango ya serikali ikae kuwawazia watu mmoja mmoja wa Kagera.

Imagine watu wa kawaida na wanasiasa wanasema Kagera pamoja na kuwa na wasomi wengi imeshindwa kuwa na stend nzuri ya mabasi! Usomi unawasaidia nini? Ila ukiwauliza ni mkoa gani ambao wenyeji wa mkoa huo wamejijengea stend yao?

Wanasema sijui soko, siju miundo mbinu mjini, n.k wakiihusisha na usomi wa wahaya. Kuna kabila ambalo limejenga soko mjini kwao??

Kama hao maprofesa mnaowasema kuwa ni wasomi uchwara na hawajaleta maendeleo Kagera, mbona wao mmoja mmoja wako vizuri sana na familia zao na koo zao? Umeshaenda katika vijiji vya wahaya? Umeshaona walivyojijenga? Unaweza kulinganisha na mkoa gani tofauti na Kilimanjaro?

Suala la maendeleo ya jumla ya jamii ni jukumu la serikali. Serikali isijiegeshe kwenye kauli za ubaguzi. Wameshawahi kutenga bajet ya kujemga stend mpya ya kisada hela zikaliwa na hao wahaya maprofesa? Mbona mikoa mingine, tena hadi wilaya tu za mikoa wanapeleka hizo fedha?

Yaani wanasema Bukona mjini hamna hata taa za barabarani usiku, alafu mtu anasema PAMOJA NA USOMI WOTE WA WAHAYA, as if ni jukumu la mtu binafsi kuweka taa barabarani.

Mkoa hauna chuo kikuu pamoja na kuwa ndo mkoa ambao bado unasukuma wasomi wengi zaidi katika mfumo wa elimu wa taifa kuliko mikoa yote, lakini mtu badala ya kuoiga kelele serikali ifanye juhudi za kuketa chuo ili watoto wakasome ana kazi ya kuwananga ma doctors na wasomi wa kihaya kwa sababu tu ya chuki zake. Mnaweza kutwambia mkoa ambao wananchi wake wamejenga chuo kikuu??

Kahawa inazalidhwa Kagera lakini miaka yite mnada wa kahawa badala ya kufanyika Kagera eti ulikuwa unafanyika Moshi. Yaani kahawa ya Bukoba mpaka ipelekwe Kilimanjaro kuuzwa. Hili nalo ni la wasomi? Wizara zinakuwa hazioni? Kuna mambo mengi sana ya hovyo yanafanywa na serikali kuirudisha Kagera nyuma. So sad

Serikali imeitupa Kagera miaka mingi sana na kimakusudi kabisa. Zifanyike juhudi za wazi kuiamsha Kagera, na sio hizi propaganda za kuwalaumu watu wa Kagera kwa kuwa na akili za darasani na kudoma sana. Kwani ni makosa?? Wamevunja sheria gani??
Mimi binafsi nimekuelewa na kukubali kiuhalisia hichi ulichoandika.
Wahaya wanalaumiwa bure wakati serikali ya CCM ndio iliyopaswa kulaumiwa kwa haya yanayoendelea Kagera. Wahaya hawana tatizo lolote katika kupambania maendeleo yao, mchawi ni serikali ya CCM.
 
kwa uandishi huu na mpangilio inaonyesha kuna tatizo na hapo hapo wewe ni profesa.

Andiko lako halijajibu hoja ya:
'' kila mtu anajifanya mwanasheria, na kuongea viiingeleza vingii" (Kujiona kila mtu msomi)
aliongeza kuwa ''maduka yanachelewa kufunguliwa hata zile siku za kawaida'' (Uvivu).

Kwako profesa:
-Kagera haikuwai kuingia kwenye vita na Uganda, ni nchi kama nchi sio mkoa
-Kuna mikoa mingine wana matatizo ya magonjwa kwenye mazao na mifugo yao.
-janga la ukimwi ni la kujitakia sio kama tetemeko la ardhi.
-acheni kufake maisha
Ndugu yangu acha chuki na wivu dhidi ya wahaya.
Maduka ya wahaya kuchelewa kufunguliwa (kama ni kweli) yanazuia nini serikali kupeleka maendeleo huko Kagera?

Kuna wazaramo wangapi wana hata duka Dar kiasi cha kuifanya Dar kuwa mbele kimaendeleo kuliko mikoa yote?

Wagogo wangapi wana maduka Dodoma kiasi cha kuifanya kukua kwa kasi, kama sio mkono wa serikali kufanikisha hayo?

Kiingereza na majivuno ya wahaya yanazuiaje maendeleo ya kiujumla ya mkoa wa Kagera?

Tangu lini msomi, mzungumza kiingereza kwa kujiamini, mfanyabiashara wa duka mjini akawa na hulka za uvivu?
 
Hata mimi nashangaa kulala kwa wahaya kunazuia vipi serikali kujenga barabara, hospital, vyuo n.k?? Tatizo kubwa Tanzania ni hawa chawa kazi yao kuponda wananchi wakati CCM ndo inawarudisha nyuma wananchi
 
Wahaya acheni ujuaji, mkiambiwa mnatuletea maneno ambayo haya na hata paragraph, huu nao ni ujuaji wa kujiona umeandika vizur kumbe hujazingatia taratibu za uandishi.
 
CHANZO CHA UMASIKINI KAGERA KWA MAWAZO YANGU NI TOFAUTI NA WATAWALA WANAOWAZA KISIASA.

Kinachonisikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na Ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio utawala wetu ambao tumezoea kwa miaka mingi sasa. Watawala wanajifanya kama hawajui chanzo halisi cha kile wanachokiita umasikini uliokithiri mkoani humo. Bila tafakuri yoyote ya "tafiti" zinazodaiwa kufanywa na Serikali, wanakuja tu na porojo za jumlajumla kuhusu "umasikini" huo. Tafiti hizo za kimangumashi hazielezei chanzo cha tatizo la Mkoa wa Kagera. Haziangalii matokeo ya Vita vya Kagera na uharibifu wa usalama na miundombinu uliosababishwa na ugomvi wa Serikali na Iddi Amin. Kwamba shughuli za uzalishaji na kiuchumi zilikufa kabisa kutokana na vita hiyo. Hawaoni kwamba Serikali ilikosea (kwa makusudi) kutotangazwa kwa hali ya hatari mkoani humo, kwa maana ya kujenga miundombinu upya na kuwasaidia Wanakagera kurudia maisha yao ya kabla ya vita. Hawasemi Serikali ilifunga mpaka na Uganda, hivyo kusitisha shughuli zote za kiuchumi, ambapo soko kuu la mkoa wa Kagera lilikuwa Uganda. Baada ya vita Ukimwi uliotokea Uganda ulimaliza nguvukazi kubwa ya mkoa huo kwa kupuputisha maisha ya maelfu ya nguvukazi wa Kagera. Wanajifanya hawajui kwamba MV. Bukoba ilizama na kuua mamia ya watu, wengi wao wakiwa Wanakagera. Hapohapo, MV. Victoria "iliharibika" na kufanya Wanakagera kukosa kabisa usafiri wa kuwaunganisha na nchi yao, huku mazao yao ya kiuchumi yakishindwa kusafirishwa kwenda kwenye masoko makubwa ya kibiashara ya hapa nchini kama Mwanza na Dar es Salaam. Serikali haikuona umuhimu wa kuwapa Wanakagera vyombo vingine vya usafiri ili wajimudu kiuchumi. Ndipo pia ulipoingia "Ugonjwa wa Mnyauko" wa migomba uliopigilia msumari wa mateso na umasikini wa Wanakagera. Yapata sasa zaidi ya miaka 15. Je, Serikali ilichukua hatua gani kuwasaidia wakulima wa kilimo cha migomba mkoani Kagera? HAKUNA. Wakati huohuo Wanakagera walikatazwa kuuza kahawa yao nchini Uganda ambako walikuwa wanapata bei nzuri kulingana na gharama za uzalishaji. Waliopatikana na uvushaji wa zao hilo waliadhibiwa, ikiwemo vifungo au kufilisiwa, huko kahawa ikilimbikiziwa "TOZO" lukuki bila kutilia maanani gharama za wakulima za uzalishaji. Wanasahau tetemeko la ardhi ambapo serikali haikusaidia chochote badala yake serikali ilisema nyumba wamezisukuma wenyewe wafe maana majanga makubwa yote uanzia Kagera kama UKIMWI na majanga mwngine makubwa hakuana msaada uliotolewa mbali na kunyang'anywa kidogo kilichopatika na kuzuia waliokuwa tayari kusaidia ndugu zao kuzuiwa kwa kile serikali ilichosema kuwa vitu vyote vikusanywe kwenye mfuko wa mkoa pale Boari lakini vile vitu viliyeyuka na wananchi kuambulia biskuti mpaka sasa watu wengi wanaishi kwenye turubai.
Kwa kagera kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa baadhi ya mikoa ambayo iliwahi kupata majanga kama mafuriko, njaa nk. Leo hii tunashuhudia jitihada za serikali kuhamisha watu kutoka kwenye hifadhi nakupelekwa kwenye kijiji ambacho imewaadalia wanakuta kila kitu sembuse wanakagera ambao walipata janga la tetemeko na serikali haikujali wala haikujiusisha kabisa na jambo hilo bali ilikuwa ni kuwazuia hata waliokuwa tayari kusaidia. Hiyo ni mifano michache tu ya hujuma ya Serikali dhidi ya Mkoa wa Kagera kwa miongo mingi sasa. Matokeo yake ni nini? Wananchi wa Mkoa wa wa Kagera waliona Serikali ilikuwa haiwataki, haiwapendi. Wakasema isiwe taabu, wakaamua kuhamia mikoa nyingine nchini na kuwekeza huko. Je Serikali inajifanya haioni uwekezaji wao mkubwa na uliotukuka katika mikoa mingine nchini, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na kwingineko? Serikali imekuwa ikipiga kelele nyingi eti Wahaya wameshindwa kujenga soko na kituo cha mabasi mjini Bukoba, ikijifanya haijui kwamba jukumu hilo ni lake na vyombo vyake, ikiwemo TAMISEMI. Kwani vituo vya mabasi na masoko ya Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam, Mwanza na kwingineko vimejengwa na nani kama sio Serikali? Nimalizie kwa kuishauri Serikali kwamba iwekeze mkoani Kagera kama ambavyo imekuwa ikiwekeza sehemu nyingine nchini. Ikiwekeza Kagera, kama ambavyo Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kufanya kwa kujenga kitengo cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mkoani humo, basi itarajie kwamba maprofesa na PhD holders kutoka mkoani Kagera watarudi nyumbani kufaidi fursa za uwekezaji wa Serikali. Ni matumaini ya wengi mkoani Kagera kwamba Mkuu mpya wa Mkoa wa kagera, Mhe. Chalamila ataelewa chanzo cha "UMASIKINI WA MKOA WA KAGERA".

Kwani ni mnataka wanakagera tujenge stendi na soko?
Kwani WASOMI mnaosema ni watumishi wa serikali? Wanakusanya kodi gani? Maeneo mnakopeleka miradi ya maendeleo kama stendi, soko na vyuo vikuu hakuna wasomi? Kigezo icho nichakikatiba?
Mwanza imejengwa viwanda kwakuwa hakuna wasomi? Arusha, Dodoma, Mbeya, Dar Es Salaam nk. Hakuna wasomi? Mwambie Mkuu wa mkoa awaeleze ukweli wanaKagera kuwa umasikini na utapia mlo wanaousema Kagera ni mradi wa CCM ili waendelee kutawala.
Najua hamna majibu inawezekana mkanifungulia kesi nyingine kwakuwa nimesema ukweli mimi ni Muhaya na mzalendo wa Kagera nachukia unafiki na Majungu
Serikali timiza wajibu wenu acha kurukaruka kama maharage sufuriani.
mujuni Katikabakama.
View attachment 2344869
Yaani umesema ukweli mtupu mtanu wangu mie hapa ntarime. Sema umesahau ishu moja kuwa wahaya waliosoma kabla ya mwaka 1900 walipotelea ulaya mazima mpaka Leo wapo huko.
Yaani wahaya wote wakirudi mkoani kwao Nina Imani Tanzania tutakuwa na upungufu wa watalamu hili najua watakataa.
 
Cha kushangaza mnakosema ni wavivu serikali inakusanya pesa nyingi, ukisikiliza maneno ya watanzania waliochoshwa na kodi utapotea. Na vile sasa hivi Kuna RC mropokaji View attachment 2345225
Hizo billion 20 zote zilizokusanya kagera kuna hata billion 1 iliorudi kagera?

Stendi tu ya mkoa imewashinda ambayo haikost hata billion 5 wakijipanga vzr...

Kuna kitu hakiko sawa...hela zikusanywe kagera kwa nguvu maendeleo wapate dodomal huko na dar ambako wanajengal masoko na watu hawayataki kuyatumia mfano kisutu na magomeni

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Serikali ya CCM ndo mchawi wa Kagera, wananchi hawana tatizo ndo maana imeweza kukusanya mabilioni yote hayo lakini zote wakapeleka wanapojua wenyewe
 
CHANZO CHA UMASIKINI KAGERA KWA MAWAZO YANGU NI TOFAUTI NA WATAWALA WANAOWAZA KISIASA.

Kinachonisikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na Ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio utawala wetu ambao tumezoea kwa miaka mingi sasa. Watawala wanajifanya kama hawajui chanzo halisi cha kile wanachokiita umasikini uliokithiri mkoani humo. Bila tafakuri yoyote ya "tafiti" zinazodaiwa kufanywa na Serikali, wanakuja tu na porojo za jumlajumla kuhusu "umasikini" huo. Tafiti hizo za kimangumashi hazielezei chanzo cha tatizo la Mkoa wa Kagera. Haziangalii matokeo ya Vita vya Kagera na uharibifu wa usalama na miundombinu uliosababishwa na ugomvi wa Serikali na Iddi Amin. Kwamba shughuli za uzalishaji na kiuchumi zilikufa kabisa kutokana na vita hiyo. Hawaoni kwamba Serikali ilikosea (kwa makusudi) kutotangazwa kwa hali ya hatari mkoani humo, kwa maana ya kujenga miundombinu upya na kuwasaidia Wanakagera kurudia maisha yao ya kabla ya vita. Hawasemi Serikali ilifunga mpaka na Uganda, hivyo kusitisha shughuli zote za kiuchumi, ambapo soko kuu la mkoa wa Kagera lilikuwa Uganda. Baada ya vita Ukimwi uliotokea Uganda ulimaliza nguvukazi kubwa ya mkoa huo kwa kupuputisha maisha ya maelfu ya nguvukazi wa Kagera. Wanajifanya hawajui kwamba MV. Bukoba ilizama na kuua mamia ya watu, wengi wao wakiwa Wanakagera. Hapohapo, MV. Victoria "iliharibika" na kufanya Wanakagera kukosa kabisa usafiri wa kuwaunganisha na nchi yao, huku mazao yao ya kiuchumi yakishindwa kusafirishwa kwenda kwenye masoko makubwa ya kibiashara ya hapa nchini kama Mwanza na Dar es Salaam. Serikali haikuona umuhimu wa kuwapa Wanakagera vyombo vingine vya usafiri ili wajimudu kiuchumi. Ndipo pia ulipoingia "Ugonjwa wa Mnyauko" wa migomba uliopigilia msumari wa mateso na umasikini wa Wanakagera. Yapata sasa zaidi ya miaka 15. Je, Serikali ilichukua hatua gani kuwasaidia wakulima wa kilimo cha migomba mkoani Kagera? HAKUNA. Wakati huohuo Wanakagera walikatazwa kuuza kahawa yao nchini Uganda ambako walikuwa wanapata bei nzuri kulingana na gharama za uzalishaji. Waliopatikana na uvushaji wa zao hilo waliadhibiwa, ikiwemo vifungo au kufilisiwa, huko kahawa ikilimbikiziwa "TOZO" lukuki bila kutilia maanani gharama za wakulima za uzalishaji. Wanasahau tetemeko la ardhi ambapo serikali haikusaidia chochote badala yake serikali ilisema nyumba wamezisukuma wenyewe wafe maana majanga makubwa yote uanzia Kagera kama UKIMWI na majanga mwngine makubwa hakuana msaada uliotolewa mbali na kunyang'anywa kidogo kilichopatika na kuzuia waliokuwa tayari kusaidia ndugu zao kuzuiwa kwa kile serikali ilichosema kuwa vitu vyote vikusanywe kwenye mfuko wa mkoa pale Boari lakini vile vitu viliyeyuka na wananchi kuambulia biskuti mpaka sasa watu wengi wanaishi kwenye turubai.
Kwa kagera kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa baadhi ya mikoa ambayo iliwahi kupata majanga kama mafuriko, njaa nk. Leo hii tunashuhudia jitihada za serikali kuhamisha watu kutoka kwenye hifadhi nakupelekwa kwenye kijiji ambacho imewaadalia wanakuta kila kitu sembuse wanakagera ambao walipata janga la tetemeko na serikali haikujali wala haikujiusisha kabisa na jambo hilo bali ilikuwa ni kuwazuia hata waliokuwa tayari kusaidia. Hiyo ni mifano michache tu ya hujuma ya Serikali dhidi ya Mkoa wa Kagera kwa miongo mingi sasa. Matokeo yake ni nini? Wananchi wa Mkoa wa wa Kagera waliona Serikali ilikuwa haiwataki, haiwapendi. Wakasema isiwe taabu, wakaamua kuhamia mikoa nyingine nchini na kuwekeza huko. Je Serikali inajifanya haioni uwekezaji wao mkubwa na uliotukuka katika mikoa mingine nchini, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na kwingineko? Serikali imekuwa ikipiga kelele nyingi eti Wahaya wameshindwa kujenga soko na kituo cha mabasi mjini Bukoba, ikijifanya haijui kwamba jukumu hilo ni lake na vyombo vyake, ikiwemo TAMISEMI. Kwani vituo vya mabasi na masoko ya Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam, Mwanza na kwingineko vimejengwa na nani kama sio Serikali? Nimalizie kwa kuishauri Serikali kwamba iwekeze mkoani Kagera kama ambavyo imekuwa ikiwekeza sehemu nyingine nchini. Ikiwekeza Kagera, kama ambavyo Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kufanya kwa kujenga kitengo cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mkoani humo, basi itarajie kwamba maprofesa na PhD holders kutoka mkoani Kagera watarudi nyumbani kufaidi fursa za uwekezaji wa Serikali. Ni matumaini ya wengi mkoani Kagera kwamba Mkuu mpya wa Mkoa wa kagera, Mhe. Chalamila ataelewa chanzo cha "UMASIKINI WA MKOA WA KAGERA".

Kwani ni mnataka wanakagera tujenge stendi na soko?
Kwani WASOMI mnaosema ni watumishi wa serikali? Wanakusanya kodi gani? Maeneo mnakopeleka miradi ya maendeleo kama stendi, soko na vyuo vikuu hakuna wasomi? Kigezo icho nichakikatiba?
Mwanza imejengwa viwanda kwakuwa hakuna wasomi? Arusha, Dodoma, Mbeya, Dar Es Salaam nk. Hakuna wasomi? Mwambie Mkuu wa mkoa awaeleze ukweli wanaKagera kuwa umasikini na utapia mlo wanaousema Kagera ni mradi wa CCM ili waendelee kutawala.
Najua hamna majibu inawezekana mkanifungulia kesi nyingine kwakuwa nimesema ukweli mimi ni Muhaya na mzalendo wa Kagera nachukia unafiki na Majungu
Serikali timiza wajibu wenu acha kurukaruka kama maharage sufuriani.
mujuni Katikabakama.
View attachment 2344869
Mimi siyo mkazi wa Kagera na sijawahi fika huko, ila, uliyosema hapa ndugu yangu uko sahihi. Serikali makini ilitakiwa kuuangalia mkoa huu kwa jicho la tatu na kuupatia kipaumbele cha kipekee cha kiuchumi. Mkoa huu pamoja na wakazi wake viliharibiwa na kuathiriwa sana na vita ya Kagera na athari zake kama magonjwa ya binadamu, mifugo, na mimea ya mazao. Mkoa huu ni potential kiuchumi, ni lango la kuingia Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, hata Sudani kusini. Nafikiri Serikali haijafanya ya kutosha kutengeneza mazingira yatakayowezesha fursa kuwafaidi wananchi wa mkoa huo. Lakini pia, mkoa huu umejaliwa kuwa na wasomi wengi wa hali ya juu. Inasikitisha wengi hawapendi kabisa kwao. Wamelowea huko huko wanakofanyia kazi na biashara. Hawataki Kagera! Sijui tatizo ni nini? Wako tofauti kabisa na wenyeji wa mikoa ya Kilimanjaro, na, Mbeya ambayo kimsingi inafanana sana kwa uoto wa asili hata elimu za watu. Nawaona huku, hawapendani, hawashirikiani kama zamani, Na, hawapendi watambuliwe kuwa ni Wahaya. Hili nalo ni changamoto.
Asalaam aleikum!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu acha chuki na wivu dhidi ya wahaya.
Maduka ya wahaya kuchelewa kufunguliwa (kama ni kweli) yanazuia nini serikali kupeleka maendeleo huko Kagera?

Kuna wazaramo wangapi wana hata duka Dar kiasi cha kuifanya Dar kuwa mbele kimaendeleo kuliko mikoa yote?

Wagogo wangapi wana maduka Dodoma kiasi cha kuifanya kukua kwa kasi, kama sio mkono wa serikali kufanikisha hayo?

Kiingereza na majivuno ya wahaya yanazuiaje maendeleo ya kiujumla ya mkoa wa Kagera?

Tangu lini msomi, mzungumza kiingereza kwa kujiamini, mfanyabiashara wa duka mjini akawa na hulka za uvivu?
SINA CHUKI NA WIVU NA WAHAYA

katika majimbo 10 ya uchaguzi , yote yako chini ya ccm na kata zake nyingi.
Kwamba mlio wachagua ndio wanao warudisha nyuma kimaendeleo.!! kosa la nani?
 
Uwe unatuliza mshono kwanza kabla ya kuandika, hayo majimbo kumi yanatoka wapi?? Alafu twambie kwenu tujue usijekuwa unatokea kwenye nyumba za tembe
 
Back
Top Bottom