Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

Wahaya ni watu wema ingawa ukikuta mhaya mwenye roho mbaya ya ubaguzi ni mbaguzi hatari.

Sana, Wahaya wanatafunwa na roho mbaya ya ubaguzi na upendeleo.

Ila mambo mengine siyo tatizo.

Mkka wa Kagera binafsi naona unafanana na Kilimanjaro. Hawapendi kufanya maeneo yao kugeuka Urban areas lakini wanapenda kukimbilia mijini.
Unafananisha Kilimanjaro na kagera..? 🤣🤣🤣 watu wakilimanjaro hata waende America lazima kwao wajenge aisee. Na wachaga na wapare sio wabaguzi ki hivyo ukiishi kwao kule. Ila wahaya ubaguzi roho mbaya ukabila saana. Badilikeni.
 
Kilichoua na kinachoendelea kuua Tanzania ni Ujamaa na sera zake. Kila kitu serikali hiki, serikali kile, Pembeni ya nyumba yako umetupa taka mpaka kumeweka dampo unaulizwa nini kifanyike, jibu ni serikali ije kusafisha. Ujamaa umeua independent thinking.

Vita si sababu ya kufanya miaka 45 mbele balo sehemu ipo vile vile. Hiroshima ilidondoshewa atomic bomb ilioua maelfu na aftermath ilikuwa ya kutisha kuliko vita vyovyote vilivyowahi kutokea na kuifanya Japan kuwa masikini kushinda Tanzania kipindi hiko. Lakini leo hii hakuna jiji la Tanzania linalofikia Hiroshima, leo hii unataka kutuambia vita vya Kagera ndo kumefanya mkoa uwe masikini mpaka leo?

Tuache kulalamika, tujue maendeleo hayaji kwa mdomo, bila kazi kufanyika na kupunguza vizingiti vya biashara watu wafanye kazi kuinua maisha yao

Hiroshima Before and After.jpeg

Hiroshima before and after; Unaniambia Kagera imepitia crisis kubwa kuliko hii?
 
Kagera mji wa kimasikini sana wanaishi maisha primitive sana... Ukiwauliza kwanin kwenu ni masikin wanakuambia lakini tumesoma... Sasa jiulize mbona makabila mengine makubwa wamesoma ila sio masikini ktk mikoa yao...? Angalia wasomi wa Kihaya maisha mabovu ya dhiki wanayoishi, ila angalia makabila mengine yenye wasomi wanaishi maisha mazuri sana...
 
Hivi kweli ni wachawi ee? Kuna familia ya best yangu mmoja wamesoma vzr mpk vyuo kwao walizaliwa wadada wote na mpk leo wakubwa hawajaolewa na hawana watt kuanzia dada wa kwanza mpk wa tatu na ni wazuri mashalaah, mmoja mdogo ndo kaolewa ila baada ya ndoa akawa ana bleed kila siku sijui iliisha kwa maombi akapata na mtoto ila wengine ndo hivyo walishahama huko wote wapo mjini daslam siku hZ. Nasikia walikua wanachawiwa na ndg upande wa baba
 
Vita ya Kagera (1978) Ila Kagera bado maskini Vs Rwanda Genocide (1994) Ila Rwanda Leo unapiga hatua kubwa za maendeleo, **punguza visingizio! Wana-Kagera wabinafsi na sifa za kijinga
Kagera ni mkoa upo ndani ya nchi hauna mamlaka kamili kama ilivyo Rwanda ambayo ni nchi.

Rwanda ikiamua kujenga barabara, shule, hospital, viwanda haiombi kibali mahali popote ila Kagera lazima ipewe pesa na kibali maalumu kama ilivyo kwenye mikoa mingine.

Kuna mvutano umeshaanza kuhusu ujenzi wa miradi mbali mbali mkoani Kagera.Why iwe Kagera na siyo kwingine?
 
Binadamu hawaeleweki. Wahaya wakiweka majumba yao vijijini utasikia huo ni ulimbukeni au utasikia mbona hawajengi stend.
 
Kagera mji wa kimasikini sana wanaishi maisha primitive sana... Ukiwauliza kwanin kwenu ni masikin wanakuambia lakini tumesoma... Sasa jiulize mbona makabila mengine makubwa wamesoma ila sio masikini ktk mikoa yao...? Angalia wasomi wa Kihaya maisha mabovu ya dhiki wanayoishi, ila angalia makabila mengine yenye wasomi wanaishi maisha mazuri sana...
Hakuna mji unaoitwa Kagera hapa Tanzania.
 
Hivi kweli ni wachawi ee? Kuna familia ya best yangu mmoja wamesoma vzr mpk vyuo kwao walizaliwa wadada wote na mpk leo wakubwa hawajaolewa na hawana watt kuanzia dada wa kwanza mpk wa tatu na ni wazuri mashalaah, mmoja mdogo ndo kaolewa ila baada ya ndoa akawa ana bleed kila siku sijui iliisha kwa maombi akapata na mtoto ila wengine ndo hivyo walishahama huko wote wapo mjini daslam siku hZ. Nasikia walikua wanachawiwa na ndg upande wa baba
Achana na mawazo ya kitoto, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake Ila haimaanishi maoni yake ni sahihi. Tumezaliwa huko, tumekulia huko, Sijawahi kuona uchawi.
 
CHANZO CHA UMASIKINI KAGERA KWA MAWAZO YANGU NI TOFAUTI NA WATAWALA WANAOWAZA KISIASA.

Kinachonisikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na Ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio utawala wetu ambao tumezoea kwa miaka mingi sasa. Watawala wanajifanya kama hawajui chanzo halisi cha kile wanachokiita umasikini uliokithiri mkoani humo. Bila tafakuri yoyote ya "tafiti" zinazodaiwa kufanywa na Serikali, wanakuja tu na porojo za jumlajumla kuhusu "umasikini" huo. Tafiti hizo za kimangumashi hazielezei chanzo cha tatizo la Mkoa wa Kagera. Haziangalii matokeo ya Vita vya Kagera na uharibifu wa usalama na miundombinu uliosababishwa na ugomvi wa Serikali na Iddi Amin. Kwamba shughuli za uzalishaji na kiuchumi zilikufa kabisa kutokana na vita hiyo. Hawaoni kwamba Serikali ilikosea (kwa makusudi) kutotangazwa kwa hali ya hatari mkoani humo, kwa maana ya kujenga miundombinu upya na kuwasaidia Wanakagera kurudia maisha yao ya kabla ya vita. Hawasemi Serikali ilifunga mpaka na Uganda, hivyo kusitisha shughuli zote za kiuchumi, ambapo soko kuu la mkoa wa Kagera lilikuwa Uganda. Baada ya vita Ukimwi uliotokea Uganda ulimaliza nguvukazi kubwa ya mkoa huo kwa kupuputisha maisha ya maelfu ya nguvukazi wa Kagera. Wanajifanya hawajui kwamba MV. Bukoba ilizama na kuua mamia ya watu, wengi wao wakiwa Wanakagera. Hapohapo, MV. Victoria "iliharibika" na kufanya Wanakagera kukosa kabisa usafiri wa kuwaunganisha na nchi yao, huku mazao yao ya kiuchumi yakishindwa kusafirishwa kwenda kwenye masoko makubwa ya kibiashara ya hapa nchini kama Mwanza na Dar es Salaam. Serikali haikuona umuhimu wa kuwapa Wanakagera vyombo vingine vya usafiri ili wajimudu kiuchumi. Ndipo pia ulipoingia "Ugonjwa wa Mnyauko" wa migomba uliopigilia msumari wa mateso na umasikini wa Wanakagera. Yapata sasa zaidi ya miaka 15. Je, Serikali ilichukua hatua gani kuwasaidia wakulima wa kilimo cha migomba mkoani Kagera? HAKUNA. Wakati huohuo Wanakagera walikatazwa kuuza kahawa yao nchini Uganda ambako walikuwa wanapata bei nzuri kulingana na gharama za uzalishaji. Waliopatikana na uvushaji wa zao hilo waliadhibiwa, ikiwemo vifungo au kufilisiwa, huko kahawa ikilimbikiziwa "TOZO" lukuki bila kutilia maanani gharama za wakulima za uzalishaji. Wanasahau tetemeko la ardhi ambapo serikali haikusaidia chochote badala yake serikali ilisema nyumba wamezisukuma wenyewe wafe maana majanga makubwa yote uanzia Kagera kama UKIMWI na majanga mwngine makubwa hakuana msaada uliotolewa mbali na kunyang'anywa kidogo kilichopatika na kuzuia waliokuwa tayari kusaidia ndugu zao kuzuiwa kwa kile serikali ilichosema kuwa vitu vyote vikusanywe kwenye mfuko wa mkoa pale Boari lakini vile vitu viliyeyuka na wananchi kuambulia biskuti mpaka sasa watu wengi wanaishi kwenye turubai.
Kwa kagera kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa baadhi ya mikoa ambayo iliwahi kupata majanga kama mafuriko, njaa nk. Leo hii tunashuhudia jitihada za serikali kuhamisha watu kutoka kwenye hifadhi nakupelekwa kwenye kijiji ambacho imewaadalia wanakuta kila kitu sembuse wanakagera ambao walipata janga la tetemeko na serikali haikujali wala haikujiusisha kabisa na jambo hilo bali ilikuwa ni kuwazuia hata waliokuwa tayari kusaidia. Hiyo ni mifano michache tu ya hujuma ya Serikali dhidi ya Mkoa wa Kagera kwa miongo mingi sasa. Matokeo yake ni nini? Wananchi wa Mkoa wa wa Kagera waliona Serikali ilikuwa haiwataki, haiwapendi. Wakasema isiwe taabu, wakaamua kuhamia mikoa nyingine nchini na kuwekeza huko. Je Serikali inajifanya haioni uwekezaji wao mkubwa na uliotukuka katika mikoa mingine nchini, ikiwemo Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na kwingineko? Serikali imekuwa ikipiga kelele nyingi eti Wahaya wameshindwa kujenga soko na kituo cha mabasi mjini Bukoba, ikijifanya haijui kwamba jukumu hilo ni lake na vyombo vyake, ikiwemo TAMISEMI. Kwani vituo vya mabasi na masoko ya Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam, Mwanza na kwingineko vimejengwa na nani kama sio Serikali? Nimalizie kwa kuishauri Serikali kwamba iwekeze mkoani Kagera kama ambavyo imekuwa ikiwekeza sehemu nyingine nchini. Ikiwekeza Kagera, kama ambavyo Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kufanya kwa kujenga kitengo cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mkoani humo, basi itarajie kwamba maprofesa na PhD holders kutoka mkoani Kagera watarudi nyumbani kufaidi fursa za uwekezaji wa Serikali. Ni matumaini ya wengi mkoani Kagera kwamba Mkuu mpya wa Mkoa wa kagera, Mhe. Chalamila ataelewa chanzo cha "UMASIKINI WA MKOA WA KAGERA".

Kwani ni mnataka wanakagera tujenge stendi na soko?
Kwani WASOMI mnaosema ni watumishi wa serikali? Wanakusanya kodi gani? Maeneo mnakopeleka miradi ya maendeleo kama stendi, soko na vyuo vikuu hakuna wasomi? Kigezo icho nichakikatiba?
Mwanza imejengwa viwanda kwakuwa hakuna wasomi? Arusha, Dodoma, Mbeya, Dar Es Salaam nk. Hakuna wasomi? Mwambie Mkuu wa mkoa awaeleze ukweli wanaKagera kuwa umasikini na utapia mlo wanaousema Kagera ni mradi wa CCM ili waendelee kutawala.
Najua hamna majibu inawezekana mkanifungulia kesi nyingine kwakuwa nimesema ukweli mimi ni Muhaya na mzalendo wa Kagera nachukia unafiki na Majungu
Serikali timiza wajibu wenu acha kurukaruka kama maharage sufuriani.
mujuni Katikabakama.
View attachment 2344869
Hivi Kagera kuna makabila mangapi? au mkoa mzima ni wahaya tu?
 
Hivi kweli ni wachawi ee? Kuna familia ya best yangu mmoja wamesoma vzr mpk vyuo kwao walizaliwa wadada wote na mpk leo wakubwa hawajaolewa na hawana watt kuanzia dada wa kwanza mpk wa tatu na ni wazuri mashalaah, mmoja mdogo ndo kaolewa ila baada ya ndoa akawa ana bleed kila siku sijui iliisha kwa maombi akapata na mtoto ila wengine ndo hivyo walishahama huko wote wapo mjini daslam siku hZ. Nasikia walikua wanachawiwa na ndg upande wa baba
Naomba
 
Naunga mkono hoja yako
 
Aliyesoma hiyo habari anifanyie summarization... All in all Kagera imejaa uchawi uvivu na ubaguzi vyote hivi husababisha Umasikini mkubwa ktk mkoa huo... Ndio maana huwez kukutana na Muhaya tajiri...
Huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom