Anachokifanya Rais Magufuli si sawa

huelwi.. hakuna wizara iliyopata bujet yake kwa alau asilimia 80
Nifuatilie post zilizo fuata chini utanielewa, nimejadili na kujibu hiyo hoja yako.
 
Those Are The Characteristics Of A Living Dictator.
A Dictator, Respect Not The Rules.
But He Is The Rules To Be Respected.
 
Nasema hii si sawa na anachokifanya mh. Rais ni political entrepreneurship kwa maslahi yake binafsi. Kwamba tuone kwamba Mawaziri hawana msaada na ni bogus ilihali yeye ndio kikwazo.

Anawatafuta anaowaita"Wanyonge", yaani watu wasiokuwa na uwezo wa kuona na kuelewa 'uigizaji'; watu wasioweza kutumia akili zao kupambanua hayo uliyoyaeleza hapo juu, na watu ambao wanakubali na kumsifu yeye binafsi kwa kila jambo analofanya ili apate sifa.

Hawa 'wanyonge' ndio watakaoendelea kutupa shida kubwa katika siasa za nchi hii.

Anajua wakiendelea kuwepo hawa nchini, hata laki tano tu, kwake inatosha kuwa ushahidi wa yeye kukubaliwa sana kisiasa, na kuwatumia hao kama kinga zidi ya mamilioni wasiomtaka.
 
Ukimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu
Mpaka umri huo haujui hata kusoma,kutafakari,kuchambua na kutoa mnyumbulisho wa andiko?You people of today,huu ushabiki mnaupeleka wapi?Ni wa hivyo!Kaeleza kwamba kuna mtu anatembea na mabulungutu ya fedha akigawa hobelahobela(hatujui,labda ni comedy hupangwa).Na ameeleza kuwa katika wizara fedha zinazopelekwa ni chache kukidhi mahitaji ya msingi.Sasa ulitaka akueleze nini?Magufuli na serikali yake wanapaswa kupeleka fedha za kutosha katika wizara ili changamoto zitatuliwe nchi nzima.Na wala si kutoa donodono kisanii.Sijui umeelewa au bado unajitia shingo ngumu?
 
Ukimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu

Milioni 5 mara elfu inakuwa bado ni visenti?
 
Mapinzi daima
 
Hizo zilizopangia huko nyingi zinaliwa tu na hakuna kinachofanyika......afadhali hata hizo anazosaidia hadharani zinajenga na haziliwi.
Kama kuna pesa zinaliwa serikalini basi uongozi wa Jiwe, utakuwa ni udhaifu wa hali ya juu. Inatakiwa aweke mfumo utakaodhibiti ufujaji wa pesa za umma badala ya kutembea na mabulungutu ya pesa . Vingenevyo itakuwa kazi imemshinda.
 
Bunge lipi la kuiwajibisha Serikali? Hili Bunge ambalo ni Bunge DHAIFU kama alivyosema CAG Assad!? Huyo kichaa yangu aingie madarakani anachota trillions bila idhini ya Bunge na Bunge LIKO KIMYAAAA!

Wabunge wa upinzani ambao wanajaribu kuiwajibisha serikali wananyimwa nafasi ya kuzungumza Bungeni pia kubambikiwa kesi FAKE na hata kufukuzwa bungeni.

Wabunge machachari wa ccm wanaambiwa hawakupikwa vizuri ina maana wale waliopikwa wanatumbua macho tu bungeni na kumuachia dikteta afanye vile apendavyo.

 
Miaka ya sabini, mtu akiwa na hela tulikuwa tunasema " Fulani kajaa kifashsti". Chimbuko la usemi huo ni jinsi ambavyo Idi Amin alivyokuwa na kawaida ya kushindilia minoti ya hela kwenye mifuko ya combats zake alizokuwa akivaa na kuwagawia watu waliomfurahisha, mathalani madansa wa ngoma za kiasili, warembo warembo nk.
 
Unaeneza UZANDIKI
 
Ukisikia uzumbukuku ndiyo huu wa kwako!

Kumbe hata hilo fungu lake (vote 20) linapitishwa na bunge?!

Shithole!!
 
Pumbavu!
 
Matatizo ni mengi, kila sehemu kuna udhaifu. Hilo bunge nalo ovyo tuu kwani linapopitisha bajeti huwa halijui kwamba hazina hakuna fedha? Kila mwaka wanapitisha bajeti hewa. Ikibidi kama hawana umuhimu wapumzike tuishi kijeshijeshi tuu.
 
Ndo maana wanaita "Makadilio ya makusanyo na matumizi" Kuweka neno makadilio sawa na neno utabili tu, Ukipata chote sawa utatumia kama ulivyopanga lakini ukipata kichache itakupasa kujibana na hiko kidogo..! Hatujawai kufikia lengo kwenye ukusanyaji wa mapato, Bajeti jumla utasikia Trillion 37 mwisho wa mwaka wa fedha mumekusanya Trillion 20.
 
Lissu alishasema tuna rais wa ajabu kuwahi kutokea!
 
Hizo zilizopangia huko nyingi zinaliwa tu na hakuna kinachofanyika......afadhali hata hizo anazosaidia hadharani zinajenga na haziliwi.
akija kiongozi mwingine naye akatumia mfumo huo huo msianze kulalamika
Ukimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu
 
Kwa hiyo akiwa na za kwake nazo apeleke wizalani?
Kacheze nje watoto wenzako wanacheza huko hapa wanaongea wakubwa wizala ndio nini?Hudhuria kwanza elimu ya watu wazima au MEMKWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…