tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,143
WanaJF,
Nipo katika mahusiano na mwanamke ambaye elimu yake ni std 7, mimi nina elimu ya pia nipo certified na moja professional board hapa Tanzania! Kiukweli ni mtu anayejali na anaonesha kunipenda pia anatamani niwe mme wake, tatizo linakuja baada ya muda huu niliokuwa naye, uwezo wake wa kupambanua mambo uko chini sana.
Yani anachojua yeye ni whatsapp, FB, Instagram na habari za wasanii na movie! Mambo ya uchumi, siasa, technolojia na jinsi dunia inavyoenda kwake ni hakuna! Kiukweli nakosa uhuru kabisa kwani inanibidi nijilimiti vitu vya kuongea naye na pia siwezi kabisa changanya kimombo kwenye maongezi ya ana kwa ana au text na mimi nilishazoea hivyo.
Naomba nieleweke kwamba sijaandika haya kwa ajili ya kubeza watu wenye elimu ndogo hapana, ila napata wakati mgumu kujiadjust ili niende sambamba naye! Je watu mliooa watu wa aina hii mnakutana na changamoto zipi?
Natanguliza shukrani