Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA
Mheshimiwa unazungumziaje swala.la seriakali na chama chako kuendelea kufanya kampeni wakati watu wa vyama vingine wanazuiliwa kufanya siasa je ndio Mbeleko hii kuibeba serikali na chama chako??
 
Mwenzako Kangi baada ya kutumbuliwa kaacha kabisa kuvaa nguo zenye mabendera ingawa bendera zenyewe ziliwekwa kwa kugeuzwa vp una maoni gani hapo waziri wa zamani wa mambo ya ndani?
 
Huna taarifa hata kidogo, fuatilia upate ukweli ndio uje uandike. Kama kawaida nadhani unatamani niishi kama mbwa koko. nikuhaikikishie watafute wenye taarifa wakwambie nani aliwasaidia walipokuwa na matatizo
Mh nisingependa kukutupia lawama wewe kama waziri as individual lakini maswali yangu yatalenga kwenye system yaani serikali nzima. Kama waziri wa Mambo ya ndani kilishindikana nini kukomesha vitendo vya mauwaji vilivyofanywa na watu wanaoitwa wasiojulikana, nawapongeza mlikomesha Mtiti wa MKIRU. Lakini huenda hili ndilo lilikiangusha??
 
HATA MOJA HUNA TAARIFA NALO, NITAFUTE ANA KWA ANA NIKUELEZEE. AU WAONE VIONGOZI WAKO WA CDM
Hayo ni majibu mepesi mno kwa maswali magumu kama hayo. Hakika Magufuli hakukosea kuku fukuza uwaziri.

Vyombo vya ulinzi na usalama vipo hamkufanya uchunguzi wala nini then unakuja na majibu mepesi... Wewe ni zero brain!
 
Mh kulingana na Tanzania ilipotoka, Ilipo na inapokwenda unafikiri unatosha kuwatumikia Watanzania katika nyanja ya Ubunge au hata Uwaziri?? Ni vyema ukatuambia kwanini..??
 
Umeona uchaguzi umekarbia ndo unajileta kwa wananchi. Waambie na wenzio waje tuwabanike. Halafu usiruke maswali jibu yote kwa mpangilio na mtiririko uliopo.

black city
Umesahau na umechanganya , Kwa WANANCHI kila siku Niko nao ZIARA kila mwaka KUANZIA nashukuru, kila mwaka huwa napita kila kijiji, kwani huwa nachaguliwa hapa. Hii ni moja ya forums nyingi tu ambazo kila siku nipo
 
Pole sana kwa mapito hapa Dunia ukitenda mema utapendwa kwa mema uliyoyatenda.
Kama hukutenda mema tegemea mavuno tuu mwanaccm mwenzangu na wema usiangaliwe kwa uchama kwani tukiangalia kiuchama tutazidi kuligawa Taifa kiitikadi zaidi.
Mrudie Mungu ili akuondolee hofu na kukupa Moyo uliotulia katika Mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom