Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,599
Achome mishikaki ya mia mbili mia mbili na ndizi.Kuna mshkaji wangu kaamua kuachana na utumwa wa kuajiriwa. Amekusanya kiasi cha Tsh. 400k na kuniomba ushauri wa kipi afanye ili asije kujuta
Nimemwambia anipe muda nimuangalizie. Na muda huo nalileta suala hili mbele ya JF, where we dare to talk openly.
Anaishi Manzese Dar es salaam. Amekataa kata kata biashara ya kubet ama Folex
Ushauri wenu ndugu katika Bwana...
Wacha nimpatie huu mkeka ajue cha kufanyaOk karibu sana
👉 Kuna hizi biashara japo mtaji ni mdg akikomaa anatoka, kikubwa ajitahidi apate backup maake Kuna wakati mtaji unazingua ko backup ni muhimu biashara hizi hapa 👇
👉 Genge la matunda namaanisha maembe, parachichi, azingatie matunda fresh, usafi, na eneo.
👉 Anaweza Kuchoma kuku tu, Tena kwa uswahilini huko ni vzr zaidi anaanza na kidogo kusoma eneo.
👉 Kuna kuuza mitumba masoko kama ya manzese, mwenge na sehemu zenye minada ikiwa yupo tyr!
👉 Akikubali kufanya baba lishe napo kwa kuanzia sio mbaya hapa anatafuta kijiwe kizuri anakitengeneza kinakaa anaanza kutoa huduma.
👉Kuna biashara ya kupika chapati na maharage na supu hii ni unatafuta eneo lolote hata sio lzm fremu!
👉 Kuna kuchemsha supu, miguu, kichwa, ndizi na mtori tuu inakuwa ni supu center uswahilini zinatoka sana
👉 Kwa upande wangu biashara zipo hizo though zipo nyingi sana.
Naaam karibu sanaWacha nimpatie huu mkeka ajue cha kufanya
😂😂 Watu wengi humu wanaishi kwa kuogopaMelki kwanini unaona aibu kwenye utafutaji wako wa kujikwamua kiuchumi?
Inakugharimu kiasi gani kusema huyo jamaa ni wewe?
Wewe unapatia wapi ? Na unauza hizo electronics?Awe winga wa electronics, atatumia kama 150k hivi kuboost tangazo insta au facebook baada ya hapo mbele kweupeee!
Kuhusu machimbo ya bidhaa hapo ndio pagumu coz watu hawatoi code kirahisi
Ndio, Community groups za wenye maduka kariakooWewe unapatia wapi ? Na unauza hizo electronics?
Hapo sawa mchimba chumviNdio, Community groups za wenye maduka kariakoo
PamojaHapo sawa mchimba chumvi
Sawa sawaPamoja
Afanye uwinga huyo, hio hela haitoshi mtaji
Sasa si umsaidie link ya hizo groupsNdio, Community groups za wenye maduka kariakoo
Am not gate keeping but is not easy as you wrote here.Sasa si umsaidie link ya hizo groups
😂😂Hii ndo ile wanasema Haji mbona Haji?Awe winga wa electronics, atatumia kama 150k hivi kuboost tangazo insta au facebook baada ya hapo mbele kweupeee!
Kuhusu machimbo ya bidhaa hapo ndio pagumu coz watu hawatoi code kirahisi