An ex can be friend?

An ex can be friend?

Ex's are most useful for emergence cases, hata kama ameolewa.

Maana wanasema, nyoka wa kufugwa, ipo siku atakumbuka msitu.
 
Kumbe utafitii yupo hivyo pole sana kukucd hata mwaja hamjamaliza mkimaliza miaka hata mi 4 pole sanaa vumiliaaa ulimpenda mwenyewee
 
Last edited by a moderator:
mmh hapo anything can happen, watu hawachelew kupasha kiporo moto.. ooh mwambie hizo tabia huzipendi, hataki mwambie basi tuishie hapa usipende kujishusha sana kwa man na kumfanya aone huwez kuish bila yeye, na ninaaminigi mwanaume yeyote anaependa kwa dhati hamna kitu ataa cha kufanya kumake his woman happy. so kuwa na msimamo of what you want..!!
 
From your thread, you seem to be an intelligent girl in serious self conflict. Your heart is refusing to take directives from your good brain. If you ask me, you are in blind love with un decided guy. The chap bado yupo yupo sana, while you hav
 
kukucd

Acha matani, hamna mvulana anaye contact ex wake unless anaka HOPE atakula mzigo someday.
 
Last edited by a moderator:
Know when to turn the page, and when to close the book !!

what part of ex does he not get? I'm sorry, but when he moved on, he moved on to you, not her.
 
Wakati mwingine kwenye mapenzi u have that clear picture that man or woman is not yours lakini cha kushangaza there is that another side of your heart that keeps you holding on one more second and more seconds.
Hapo ushapiga simu na kuambiwa bado wanamahusiano ila bado unaona ni wako tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom