An ex can be friend?

An ex can be friend?

Naweeee!! Unakua mzee nn? Kusoma hujui, hata kuangalia picha?
 
Hakuna urafiki unaoletaga matunda kama mlishawahi ku-date. Ingawa wapo wachache sana wanaojielewa ndo hubaki rafiki.

Kuingia katika uhusiano kunahitaji sacrifices na mojawapo ni kuacha michepuko. Huyo bf wako mzinguzi. Kama x wake ana lengo zuri mtaongea mtaelewana na utajua ana nafasi ipi. Hakuna kitu kinachomuumiza mwanaume kama kumsaliti mtu anaempenda kwa dhati.

Btw wewe umeambiwa wako katika uhusiano nao we unataka nini tena. RUN FOR YOUR LIFE.
CONFIDENCE IS THE BEST DRESS YOU CAN WEAR.
 
No search kind of friendship. Mtalaka atongozwi mda wowote anaweza akatoa na mkapeana kukumbushia back in days..
 
Maintaining friendships with old flames while you are in a relationship with someone else spells disaster in every language.

I would counsel anyone against it.
 
Love is blind to those who think they do not see

My love Kukucd,do not ever waste your time to the guy,anakupotezea muda na kukutumia,nahisi Hakupendi
 
kt yako ww na huyo jamaa nan anamupenda mwngne zaid..?nakushaur achana naye kwan hana msimamo nawe..just emergen if every one of u decide to have contact with her ex lover and hvng ther photos in his wallet while his in a rtshp c anothr one..iz there any love any more btn u?jamaa yako ci mkwel,anaonekana amekuwa nawe ili tu awatishe ex zake lakn hana upendo wa dhat nawe..mtu anayekupenda huacha vyote alvyokuwa navyo mwanzo na kuanza upya..tungekubaliana naye kma hao akina dada walikuwa wazaz weza(kapata nao watoto)hivyo kuna ulazima wa kuwasiliana but cio ex one...mwambie achague moja kuchana hzo photo na kuacha mawasiliano na hao ex wake ama wwe kuondoka..utajua ukwel wake...atajifanya kucema mbona hakuna ubaya wowote juu ya suala hlo...am a man i tell u da truth 4more advce 0756405597
 
Ahsanteni wapendwa kwa mawazo yenu wote.niwatakie ucku mwema
 
yes, very gudo friend, wenyewe wanasema frends with benefits, natamanik ma X wangu wote wawe marafiki ila wengine wana hasira
 
Haaaalllooowww MMU members,

I have something I need u guys to help me,to be honest I am in deep love kwa huyu boyfriend wangu but tatizo simuelewi .Yupo na picha nyingi za 3 different girls bt zipo kwenye pozi tata nilipomuuliza akanambia ni just ex's wake hakuna shida kubaki na kumbukumbu zao,but still anafanya nao contact,sikumuamin nilifanya contact na two girls among those 3 girls, wote walinambia still wapo kwenye relation na my boyfriend, but huyu mwanaume ananambia they are just friends.

Hivi can u be real friend with some one u dated?even if she knows u better than any one else?do any great or even average romance ever end by sagueing into a strong friendship?

What i believe is giving an ex the 2nd chance as a friend is like giving someone bullet because they missed you with their 1st shot.

Ambacho kinanipa shaka zaidi he told me naweza kufanya contact na girls wote ambao nahisi ana mahusiano nao,but kuna girl mmoja kaniambia nisithubutu kufanya nae contact coz tutagombana ,yaani nisimsumbue kabisa huyo mwanamke,kisa ni ex wake ambaye waliachana but anajua still huyo mwanamke anampenda,kwahivo nikimwambia chochote ataumia,does it make sense friends?

Nipo njia panda,nahitaji ushauri wako please.
He still has many deals sealed,,,,,,,open your eyes
 
halafu boyfrend sio mme, asikupe magonjwa yasiyo ya kurithi mapema hivyo
 
Anachokifanya huyo mwanaume ni usengerema ulopitiliza
na inavoonekana unampenda sana nae anajua unampenda
anawezaje kukupiga stop usimpigie x wake simu eti utamuumiza?
acha kumtetemekea mwanaume kiasi hicho
 
Hivi hujui Kiswahili hadi uandike swanglish?

Sijui nyie watoto vipi

Halafu huyo boifurendi wako ni utafiti au kuna mwingine?
Maana mi najua huyo ndio wako na ulishasema hapa
Au mmeshapigana kibuti?

ha ha ha na kuna siku alisema hataki kabisa simu yake iguswe na mpenzi wake
kumbe alimaanisha
 
Anawasiliana na ex wake,wawili umewasiliana nao wamekiri kuwa mahusiano yanaendelea,mmoja jamaa amemuwekea uzio kabisa ukiwasiliana naye mtagombana!!!
Bado unataka ushauri tu???
 
Anawasiliana na ex wake,wawili umewasiliana nao wamekiri kuwa mahusiano yanaendelea,mmoja jamaa amemuwekea uzio kabisa ukiwasiliana naye mtagombana!!!
Bado unataka ushauri tu???

mapenzi upofu, ila huyu macho yake ya bandia....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom