Dah mko juu sana aisee BADILI TABIA ingawa nimeamua kutulia ila moyo umeniuma kwa hapo lolUsijali my love BADILI TABIA, ni shetani tu alinipitia. Mie na wewe tutatenganishwa na udongo. Niape tena? Si unakumbuka maraha tulojipa jana? Sijui kwanini nashindwa kuyasahau....
![]()
Yan hawafai hata kuwa adui wala rafiki
naomba namba yako ya simu.
Hivi ulivokuwa unatufata nakutubembeleza ulidhani nini?Lol
Wewe na wenzako ndo mmeniharibia nkanusurika kula za uso
nipo kibiznesi zaidi,
utapumzika tu iwapo tutagawana hela ya nyumba,
la sivyo naenda marie stopes kushusha mzigo wako now now