Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
Taarifa za kiintelijensia ya Chit chat, imegundua kuwa watu wengi katika kila jambo wanapotaka upenyo au excuse sasa imekuwa rahisi zaidi kwa kutumia kisingizio cha Obama, baadhi yao waliogundulika ni hawa wafuatao:
- Uncle wangu Bishanga ameuza ile vogue yake, ila kwa kawada ya misifa ya kihaya, amewaambia mtaani kwake iko kwenye msafara wa Obama!
- Mzee wangu Asprin, hajaonekana kwake siku ya tatu leo, akisingizia yuko kwenye maandalizi ya msafara wa Obama, Japo kiukweli yupo "Kuokoka lazima Guest house"
- Kaka Yangu Filipo ametumia ubize wa PakaJimmy kwenda kushinda na my wife wa PJ kwa kisingizio kuwa ofisi imefungwa kwaa jili ya msafara wa obama
- Erickb52, amemuambia Amyner hatamuone weekened hii kwani bara bara zimefungwa kwa ajili ya ujio wa Obama, lakini ukweli ni kwamba alikuwa bado anambembeleza Remmy amrudie tena...
- Bishanga amekataa kumuona the secrertary kwa kisingizio kwa yuko bize na msafara wa obama ilhali kumbe yupo bize na Zahra White akichochea ka penzi kapya!!! (kazi kwelikweli)
- Excellent ameomba ruhusa ya kutokwenda kazini ati ana appointment na Sasha Obama, ilhali kiukweli alionekana akiongea jambo na housigeli wa nyumba ya jirani
- BAGAH ameenda kukopa supu kwa mama ntilie kwa kisingizio kuwa pesa yote amemalizia kwa maandalizi ya Obama, ilhali kumbe alitapeliwa na kale ka binti alikokutana nako hapa JF
- @Nicas mtei ameamua kuhama mtaa ili aweze kuonana na Obama japo kiukweli alikuwa anadaiwa kodi ya nyumba kwa muda nrefu sana!
- Maxence Melo amesema atafunga JF kwa siku 2 kupisha ujio wa obama, japo ukweli ni kuwa anataka kutmia muda huo kusafisha Seva kwa kuondoa memba wasumbufu kama manoah, charminglady, platozoom, stevoh, Madame B, Kongosho na wengine weengi
- Hata mimi nina udhuru kidogo, mkona sionekani hapa nitakuwa huko huko ( kiukweli ntakuwa na mambo yangu tu)