Amyner!

Amyner!

Na uchokozi pia uache!!

I recommend......shouldn't you ruin your love and reputation as well!! LOL
Nimeacha kabisa Kipipi
Ila siunajua napenda utani? Ila kwa kuwa unanicost nimeamua kuacha kabisa aisee
BTW Mzima? Im good
 
Last edited by a moderator:
Nimeacha kabisa Kipipi
Ila siunajua napenda utani? Ila kwa kuwa unanicost nimeamua kuacha kabisa aisee
BTW Mzima? Im good

Yeah.....ni bora kuwa na mipaka mwaya! Anyways, mie mzima kabisa sijui chipenzi changu Amyner......howz she??
 
Last edited by a moderator:
Even if Erick, hayo maneno uloongea yatosha kabisa kutia dosari!

Haya bana.........!
Ila siku bidada akiamua kutopuuzia, tafwazaaali tusitafutane! Si unajua kuwa mzaha mzaha hutumbua usaha??

Anaonyesha jinsi anavyonikubali ila anamuogopa huyo bibie. Kashikwa masikio eti mpaka aruhusiwe, heheheeeeeee MUME ***** kabisaaaaaaa.
 
Kumbe umenifanya mi zuzu eeeee....can't believe it. Unazidi kuumiza mtima wangu, sawa Bwana nimekubali yote.
Dah jamani mbona mnaniweka njia panda sana?
Ok ngoja ninyamaze hope mambo yatatulia Remmy
 
Last edited by a moderator:
Anaonyesha jinsi anavyonikubali ila anamuogopa huyo bibie. Kashikwa masikio eti mpaka aruhusiwe, heheheeeeeee MUME ***** kabisaaaaaaa.
Dah yani Remmy mapenzi yetu yalivyokuwa matamu leo hii kuwa mwaminifu kwa wife wangu nakuwa *****?
Lol kweli shukrani ya punda ni mateke
 
Last edited by a moderator:
Yeah.....ni bora kuwa na mipaka mwaya! Anyways, mie mzima kabisa sijui chipenzi changu Amyner......howz she??
Ok fine
Hajambo kabisa Kipipi ingawa tangu ndio anatoka job so sijamuona bado ila she iz ok
 
Last edited by a moderator:
Anaonyesha jinsi anavyonikubali ila anamuogopa huyo bibie. Kashikwa masikio eti mpaka aruhusiwe, heheheeeeeee MUME ***** kabisaaaaaaa.
Remmy.....unajisikiaje kuzini na mume wa mwenzio?? Ebu niambie mpendwa......nafsi yako haikusuti?
 
Last edited by a moderator:
Nipe kishika uchumba nipeleke kwao. mimi nilisoma na mzee wake na tunaishi jirani hivyo posa lazima itapokelewa.
 
Mwambie aje kunisabahi! Wadau wengine yawezekana wapo kwenye kiduku kule kwa zinduna!
Kule hawapo na kila mahali hawapo...Au awatakuwa MMU?
Ngoja niende nkawatafute maana namimi nishakuwa mvivu sana majukwaa mengine au twende zetu kule Kongosho anakokulaga ban
 
Last edited by a moderator:
Nipe kishika uchumba nipeleke kwao. mimi nilisoma na mzee wake na tunaishi jirani hivyo posa lazima itapokelewa.
Mamndenyi kishika uchumba tena wakati nilishakupa tangu mwaka jana?
Si tunatafuta mtoto sasa maana tumeshachoka kukaa wenyewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom