Amyner!

mbona ya Amyner ilikua OFFICIALY SIGNED?...hii yako vip braza?
hata mhuri haina!!LOL
MWISHO:hakuna mtu mzuri kama yule anakwambia ukweli...haha!...group A ulilotaja (ambalo nami nimo) ndo ndugu na marafiki wa ukweli...kalagabaho!
Bamweleze,mwenyewe namshangaa,anakalia kuwasikiliza kina judgement.
 
Last edited by a moderator:
kwa zile chochoro za braza Bishanga mchana noma...panga boy haiwezi kupunguza lile joto bana...bora asubiri jioni jua lizame!
Siku kaisha,umemuona hv karibuni?
Kwishney kawa tofauti
unacheza na tamutamu kila siku halafu unakula ndizi lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom