Amyner!

unaona unavojitangazia kuwa wewe ni TOBOA TOBO!!,...ivi Remmy ni mdada?uwii..
Hayo ni ya zamani namwambia tu Bishanga sio wewe acha macho juujuu
Bishanga anaomba namba ya simu ya Remmy anataka kubadili location...hujauna hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Siku kaisha,umemuona hv karibuni?
Kwishney kawa tofauti
unacheza na tamutamu kila siku halafu unaka ndizi lol
kandizi KISUKARI...LOL
simo!nilimuona pale OILCOM ubungo kwa mbali hata sikumtambua mpaka aliponiita...
chini kutamu ila kubaya...haswa ukiwa hupati supu na vyakula vya asili!
 
kandizi KISUKARI...LOL
simo!nilimuona pale OILCOM ubungo kwa mbali hata sikumtambua mpaka aliponiita...
chini kutamu ila kubaya...haswa ukiwa hupati supu na vyakula vya asili!

Ndo hivyo!
Nawewe kazana kula sasa usije kuwa km musee Bishanga walau Asprin kajitahidi kumaintain body
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
weweeeee Bishanga apauke? Bishanga auze ndizi?
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee usafiri kama wa bishanga tu huna....


b2.jpg


simu ya bishanga, utaajiriwa, utajiajiri wewe, mkeo A, watoto wenu, vutukuu na majirani na hutokuja kuinunua....

b3.jpg



na huu mjengo utaishia kuuota tu...

b1.jpg


chezea Bishanga wewe..............

Hehee atauza ndizi alee mtoto
Mtapauka hadi basi tena mtaenda kukaa kaishoo Karagwe
 
Last edited by a moderator:
asante cacico
Yan misukosuko hii we acha tu
Ila imeisha
@Erickb52 pole ndiyo maisha, nimeona wengi wamecontribute kwenye kuvunja ndoa yako, lakini mmebaki imara! mpo juu kama avatar yangu! lol na we ukome kula visivyoliwa! si unaona vimenogewa mpaka wanataka kuvuruga sasa!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom