Amyner!

Amyner!

Niko Hommie Kaizer. Naona Erickb52 kashakujibu hapo chini


Hommie unamjua Yummy? Ndo alikuwa matron kwenye ndoa yangu na BADILI TABIA.
attachment.php

Hahaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Asprin huna maana
 
Last edited by a moderator:
Nani anamtaka Asprin aniPM fastaaa, afu we Erickb52 chunga sana kauli zako nimekusoma toka mwanzo!
Hahahahaaaaa Yummy bhana mi niliwaacha mnaongea sasa ntajuaje?
Halafu kama hamtakani mbona unataka aku PM?
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 tena cha home unakula cha moto, kwa nafasi, bila woga wala kupaliwa, ukimaliza unashushia glass ya juice na kupumzika, kabla hujakaribishwa tena popcorn za sukari ndio muweke movie mpya! lakini vya kuiba........... mmmhh acha bwana, tena ukiri kukoma kabisa kula na walozi. mi wish u ol the best, uende na kule kwa Eiyer kasema hajui kutongoza ye bikira, ukamfundishe! lol!
Hahahaaaaa umeona eeeh jana ilikuwa mwisho kuiba! Eiyer nae ana matatizo lol
Kwani kuwa bikra ndo na mdomo kuwa mzito?
Au ubikra ni kwa sababu ya kushindwa kutongoza?
Ngoja niende nikamsaidie lol
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 tena cha home unakula cha moto, kwa nafasi, bila woga wala kupaliwa, ukimaliza unashushia glass ya juice na kupumzika, kabla hujakaribishwa tena popcorn za sukari ndio muweke movie mpya! lakini vya kuiba........... mmmhh acha bwana, tena ukiri kukoma kabisa kula na walozi. mi wish u ol the best, uende na kule kwa Eiyer kasema hajui kutongoza ye bikira, ukamfundishe! lol!
cacico hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom