Amyner!

Amyner!

Mmmm.......niache tu nipone nisije kufa moyo kabisa. Nitakuwa napunguza maumivu tu kwako, Erick Hana mbadala ujue.
Umeona eeh
Omba ruhusa kwa Amyner nikakuonjeshe kukumbushia enzi zetu
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh
Omba ruhusa kwa Amyner nikakuonjeshe kukumbushia enzi zetu

Si alibwaga manyanga we ukamrudisha. Basi bhana mi nimenyosha mikono, nimekubali kukukosa nauguza vidonda vya moyo maisha yanaendelea.
 
Last edited by a moderator:
Erick! Erick! Erick!

Mdomo unaponza kichwa ujue........shauri yako, usijesema sikukwambia!!

Kipipi sina nia mbaya..najua akienda kumwomba Amy hatakubaliwa
 
Last edited by a moderator:
Kipipi sina nia mbaya..najua akienda kumwomba Amy hatakubaliwa

Even if Erick, hayo maneno uloongea yatosha kabisa kutia dosari!

Haya bana.........!
Ila siku bidada akiamua kutopuuzia, tafwazaaali tusitafutane! Si unajua kuwa mzaha mzaha hutumbua usaha??
 
Last edited by a moderator:
Even if Erick, hayo maneno uloongea yatosha kabisa kutia dosari!

Haya bana.........!
Ila siku bidada akiamua kutopuuzia, tafwazaaali tusitafutane! Si unajua kuwa mzaha mzaha hutumbua usaha??
Kipipi mi nilishasema sitaki tena utani na wadada zaidi yako na Amyner
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom