Amvizia Binti Aliyekimbia Mabomu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amvizia Binti Aliyekimbia Mabomu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by muhosni, Feb 18, 2011.

 1. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu,

  kwenye gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa tatu kuna habari yenye kichwa cha habari kama ilivyo hapo juu. Bahati mbaya hawajaipost lakini imeandikwa hivi;

  Mwanaume ambaye hakufahamika jina lake katika hali isiyo ya kawaida, juzi usiku alitumia fursa ya milipuko ya mabomu kumshawishi msichana aliyekuwa akihaha kutafuta hifadhi akiwa na mdogo wake mgongoni, wafanye vitendo vya ngono......(inaendelea lakini habari kuu ndiyo hiyo)
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Du...inaonyesha kalikuwa kabinti kadogo sana...Huyu kuna mahala panapomstahili, apelekwe mara moja!
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!! Kuna watu wengine wanatumia janga lililotokea kwa ajili ya kurubuni watu, alaaniwe
   
 4. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Du!!!! the guy is lunatic
   
 5. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  pengine katumwa na shehe yahaya afanye hivyo kwa wahanga atakuwa tajiri
   
 6. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi ethics za uandishi wa habari hazimtaki mwandishi akikutana na jambo kama hili ampeleke mtuhumiwa polisi pamoja na kuandhika taarifa husika?
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Dah hata huruma hana??
   
 8. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huu ni uzandiki kabisa afungwe
   
 9. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Atafungwa na nani sasa, ndiyo maana hapo juu nimehoji responsibility ya mwandhishi wa habari katika cases kama hizi. Anatakiwa atuletee habari tusikitike au anatakiwa amsaidie yule binti kisha atuletee habari?
   
 10. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Binadamu tunapenda kutumia matatizo ya wengine kupata manufaa.

  Juzi usiku ilikuwa rahisi kumlaghai binti maana watu walikuwa desperate for help.
  Nilipotelewa ndugu zangu na katika kuwatafuta ilikuwa unaweza kupakia watu kwenye gari (say U/ndege - Tazara au U/Uhuru) hata wasijiulize unakowapeleka so long as ametoka eneo hatari.
  Mbaya ni kwamba wengine hata hawakuwa wamevaa kwa namna ya kujisitiri sana, nadhani ndipo mafirauni kama huyu jamaa wali-take advantage.
  Zee la miaka 40 linataka kumla under-age (17yrs), hapa ndipo wanaume huwa tunaonekana kufanya kazi ambazo hata shetani asingethubutu.

  The good side of the story ni kwamba jamaa hakufanikiwa maana binti alikuwa mjanja.
   
 11. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kwa kesi hii jamaa hakufanikiwa maana binti (17) aligoma kupelekwa gesti.
   
 12. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Too bad to be true.
   
 13. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  shetani huwa anapenda kutembelea maeneo yenye purukushani na vurugu.
   
 14. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kazi kwelikweli!
   
 15. c

  chetuntu R I P

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thank God lilishindwa, jaman halina hata utu, bora lingepigwa na bomu . Laudhi sana!
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  God forbid ooh!
  Lunatic...asee.
   
 17. LD

  LD JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapa ndipo ninapowazaga akili za wanaume ziko je??
  Kwa sababu hata ikitokea vita utasikia wanawake wamebakwa bila hata huruma!!! Yani mi kuna wakati najiulizaga kwa nini Mungu aliumba wanaume kwa jinsi hiyo!! Daaa mi wanaume nawaogopa aisee!!! Ndio sio wanaume wote wenye roho kama hizi, lakini hebu wote vaeni uhusika halafu muone jinsi ambavyo mpo wa ajabu.
  Daaa hapa hakuna cha kusema kaka angu, baba angu au sijui nani angu, so long as is a man!!!!!!! Why this?? Mnaongozwa na roho gani?? Ya Mungu au ya Shetani??

  Daaaaaaah. Inauma sana aiseeeee!!!!
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Sasa LD naona hapo umeenda mbali kidogo.
   
 19. LD

  LD JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Najua Msasha, lakini ndo hivo navyoona sasa hivi yani.
   
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  dah! taratibu LD, usije ukavunja skrini kwa hasira.
   
Loading...