KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Jamani vita vya panzi nafuu kwa kunguru ila hapa nauliza amu ninaweza kukudivert kwenye njia yangu?Ila kama hautajali na mimi Ill take an extra care please popote ulipo pokea huu ujumbe japo ni mfupi lakini ni mzito sana!Nitaomba mwenye access na amu ani PM niweze kuongea naye juu ya huyu mwana dada!Na mimi nimeamua kuoga maji baridi nimeisha kata shauri mwongozo tafadhari!
Last edited by a moderator: