Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

“Jamani vita vya panzi nafuu kwa kunguru” ila hapa nauliza amu ninaweza kukudivert kwenye njia yangu?Ila kama hautajali na mimi I’ll take an extra care please popote ulipo pokea huu ujumbe japo ni mfupi lakini ni mzito sana!Nitaomba mwenye access na amu ani PM niweze kuongea naye juu ya huyu mwana dada!Na mimi nimeamua kuoga maji baridi nimeisha kata shauri mwongozo tafadhari!

Njoo magomeni nikupeleke kwao
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua nna wivu sana?
Nilijua lazima birth imekukabili vilivyo mpaka huku utii pua hadi uone namgeukia amu??

umeamua kuwa suicide bomber lmao.
Kwani nimekuja kuwekeza duniani??LIWALO NA LIWE" By Mizengo Kayanza Peter Pinda

umepotea sana bwana.........nakumention, naku cc, naku quote, nakutag lakini umeuchubua
unataka nipige baragumu sasa eenh?!?!?:horn:
Na wewe unatashititi wanini huyo kaolewa sikuhizi chezea containers za Maesk au Messina linea!

Naona wanakurupuka tu kama vile hawakuoni KAIMU MWENYEKITI....
Wewe Dogo watu wamejipanga mwulize Kipaji Halisi kwa maendeleo zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Nilijua lazima birth imekukabili vilivyo mpaka huku utii pua hadi uone namgeukia amu??

Kwani nimekuja kuwekeza duniani??LIWALO NA LIWE" By Mizengo Kayanza Peter Pinda

Na wewe unatashititi wanini huyo kaolewa sikuhizi chezea containers za Maesk au Messina linea!

Wewe Dogo watu wamejipanga mwulize Kipaji Halisi kwa maendeleo zaidi.

kukiwa na mawingu na mvua unakwua kama sio wewe broo.........
ngoja nifanye mpango kukupiga exile uende kalahari!!!
 
kukiwa na mawingu na mvua unakwua kama sio wewe broo.........
ngoja nifanye mpango kukupiga exile uende kalahari!!!

Mbona unanifanyia hivyo ntoto wa mwananke mwenzio!!?
 
Njoo kwa stream nikupe mambo!hapa watu watajua

nakuja.....nipe kama masaa mawili hivi...naogopa mvua isijeninyea!

Mbona unanifanyia hivyo ntoto wa mwananke mwenzio!!?

nilisubiri sana ticket ya fastfood or sorre fastjet nike kusuka yeboyebo lakini wapi........nikagunaguna nikauchuna!!!

Nakuja kuwachungulia fasta.

chabo noumer...usijemwagiwa uji usoni bure...! How is arusha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom