JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
Jamani vita vya panzi nafuu kwa kunguru ila hapa nauliza amu ninaweza kukudivert kwenye njia yangu?Ila kama hautajali na mimi Ill take an extra care please popote ulipo pokea huu ujumbe japo ni mfupi lakini ni mzito sana!Nitaomba mwenye access na amu ani PM niweze kuongea naye juu ya huyu mwana dada!Na mimi nimeamua kuoga maji baridi nimeisha kata shauri mwongozo tafadhari!
...hahahahahahaha..habari yako bhanaaaaaaa. Zion DaughterWhite Party yaleta kizaazaa..Watu wamwagana na wengine wapatia mteremko...
coppy..Global pablisha wabjf Bishanga
...hahahahahahaha..habari yako bhanaaaaaaa. Zion Daughter
..habari yako bhana. KakaKiiza
Tangaza nia KakaKiiza
"Jamani vita vya panzi nafuu kwa kunguru" ila hapa nauliza amu ninaweza kukudivert kwenye njia yangu?Ila kama hautajali na mimi I'll take an extra care please popote ulipo pokea huu ujumbe japo ni mfupi lakini ni mzito sana!Nitaomba mwenye access na amu ani PM niweze kuongea naye juu ya huyu mwana dada!Na mimi nimeamua kuoga maji baridi nimeisha kata shauri mwongozo tafadhari!
Sijambo sana Kipaji...hebu niambie ukweli...hauhusiki kweli na hii Sintofahamu???Maana ule mtandio wa amu mpaka leo hujarudisha nasikia
...hahahahahahaha..habari yako bhanaaaaaaa. Zion Daughter
Mkuu Jiwe Linaloishi nimeamua labda anichomolee mbafuni!hahahah hiii salamu nimeistukia si salama!!