Amtangaza vibaya baada ya kulipia chumba gesti

Amtangaza vibaya baada ya kulipia chumba gesti

Yaani halioni hata aibu, halafu ni baba zima zaidi ya 35 years, kuoa halitaki linataka kulelewa tu na warembo
angezoea kulelewa asingeshangaa kulipiwa guest...
 
Huyo jamaa zoba kweli. vijana sasa hivi wanapenda kwa sadala{ mteremko}. Yani hapo mtu anatakiwa kufurahi ka save mkwanja, jamaa linasema dem malaya. hili ni chizi kabisa.
Mambo kwa sadala sa hiv.
Nazjaz ananatoa idescription ya jamaa kama ifuatavyo

Yaani halioni hata aibu, halafu ni baba zima zaidi ya 35 years, kuoa halitaki linataka kulelewa tu na warembo
 
Last edited by a moderator:
Usijali hajafundwa huyu, wengine hatuko hivyo
Huyu mmwanaume tunafanya nae kazi, anamsema vibaya msichana wake mpya eti ni malaya kwa kuwa tu last night it was their first night na mwanamke alilipia chumba.
Jamani wanaume, muwe na roho ya uvumilivu japo kidogo, sio mambo y avyumbani mwenu myapeleke ofisini.
 
jamaa mshamba,hayo ni matangazo ya kijinga,usikute hakuwa na kitu kwenye wallet na dada wa watu akamlipia kuficha aibu!
 
Huyu mmwanaume tunafanya nae kazi, anamsema vibaya msichana wake mpya eti ni malaya kwa kuwa tu last night it was their first night na mwanamke alilipia chumba.
Jamani wanaume, muwe na roho ya uvumilivu japo kidogo, sio mambo y avyumbani mwenu myapeleke ofisini.

Mie nipo tofauti Nazjaz. Naomba kesho mchana ulipie "host house" na sitatangaza. You have my word on that japo mie ni Mtoboasiri!
 
Yaani bro, ni tabia mbaya na haichagui wasomi au watu wa kawaida hata maofisini unakutana na vikundi hivi vya kishenzi kila tukio hata la aibu wanaambiana, then ukishamvua mpenzio nguo hadharani ni wazi mnaaibika wote

siku hizi maadili kwisha kazi, na hizi St. kayumba hizi zitazalisha kizazi chenye maadili ya ajabu ajabu huko mbeleni
 
Inawezekana jamaa anafikiria kwa kutumia makalio wakati ubongo ukiwa likizo
 
Kila kitu kwake ni haramu, hata kula mayai na senene kwa kigezo kuwa atazaa mtoto hana nywele

Ukija kwenye mahusiano ndo balaa kabisa, ukimpenda mtu mhuni, ukimwomba mzee game una pepo la ngono

Ukimzidi mwanamme wako hela afu ukawa unamtoa kiaina, unanunua penzi au shugamami
Ukilipia gest ndo kama hivi unatangazwa

Basi mradi kila kitu kiko mrama

Kongosho mambo vipi,
fafanua kidogo.
 
Kongosho asante kwa ufafanuzi,
nimekusoma.

Kila kitu kwake ni haramu, hata kula mayai na senene kwa kigezo kuwa atazaa mtoto hana nywele

Ukija kwenye mahusiano ndo balaa kabisa, ukimpenda mtu mhuni, ukimwomba mzee game una pepo la ngono

Ukimzidi mwanamme wako hela afu ukawa unamtoa kiaina, unanunua penzi au shugamami
Ukilipia gest ndo kama hivi unatangazwa

Basi mradi kila kitu kiko mrama
 
Last edited by a moderator:
search......... net fail error!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tabu sana kuwa kwenye mahusiano na maskini kwa ubongo.
'
Ni bora uwe na maskini wa mali kuliko wa ubongo.Utajuta sana.
'
Huyu kwake kila kitu ni tatizo!
 
Ndio sababu huwa sijisumbui kabisa nikiwa na genye zangu namwambia man hebu lala hapo hata kama hayupo tayari najilia bata langu linatoa ushirikiano nakusifia haahahh nakuwa mwepesii najiondokea akisema nimembaka oh mwanamke anapenda ngono poa tu kuliko kuliwa nje hahahah
 
ndio TATIZO la KUSOMA SEMINARY..WASEMINARY mpoooooooooooooooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom