Amtangaza vibaya baada ya kulipia chumba gesti

Amtangaza vibaya baada ya kulipia chumba gesti

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,817
Reaction score
9,345
Huyu mmwanaume tunafanya nae kazi, anamsema vibaya msichana wake mpya eti ni malaya kwa kuwa tu last night it was their first night na mwanamke alilipia chumba.
Jamani wanaume, muwe na roho ya uvumilivu japo kidogo, sio mambo y avyumbani mwenu myapeleke ofisini.
 
..malaya yupi yeye au mwanamke?na alikubalije kuingia nakulipiwa na kulala nae uko gest?basi na yeye/mwanaume ni malaya jaman....kwaiyo anampotangaza mwenzake malaya bas ajue anajitangaza kuwa nay yeye ndio malaya aliye kubuuuuu.....mawazo yangu tuuu
 
Jamaa anazunguka mbuyu tu, pengine kaona kei ya huyu mwanamke sio nzuri
 
kuna uhusiano gani wa kulipiwa gest na kutangaza mtu vibaya, ina ,maaana angelipa yeye amempa sifa za marehem au
 
Hata kama K sio nzuri kuna haja gani ya kumtangaza?
Vitu vingine ni upumbavu, halafu mapenzi na utamu wa k ni vitu viwili tofauti

Mkuu watu tunatofautiana hivyo hivyo hata mapenzi kila mtu anayachukulia anavyo jua yeye, alichokosea ni kumtangaza mwanamke wa watu na usikute mwanamke alikuwa kampenda kabisa, huyo jamaa twaweza kusema hayajui mapenzi
 
Umeona eeh kakutana na lake Tanganyika,huko kwingine kuzuga tu lol

hahahaha jamaa alikuwa anaogelea kuweka wazi anaona haya ameishia kusema mwanamke malaya vile vile anaogopwa kuumbuliwa kuwa anakibamia ndo maana korodani zilikuwa zinapiga mbizi
 
Jamaa anatakiwa ajipange vizuri aache tabia za kitoto,
yani kulipiwa gest na biDADA ndo amtangaze?
Nahisi bado hajakua kifikra, mwambie aamke kumeshakucha.
 
..malaya yupi yeye au mwanamke?na alikubalije kuingia nakulipiwa na kulala nae uko gest?basi na yeye/mwanaume ni malaya jaman....kwaiyo anampotangaza mwenzake malaya bas ajue anajitangaza kuwa nay yeye ndio malaya aliye kubuuuuu.....mawazo yangu tuuu

Mwanamke=malaya.Mwanamme=mhuni, sio mimi ila ni kamusi ya kiswahili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom