Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,494
- 167,097
Jamaa ametia sana aibu, lakini mwache nafikiri akikua ataacha
Jamaa anatakiwa ajipange vizuri aache tabia za kitoto,
yani kulipiwa gest na biDADA ndo amtangaze?
Nahisi bado hajakua kifikra, mwambie aamke kumeshakucha.