ha haaa, unafikiri shem wangu Nicas Mtei anahitaji super glue? yaani wewe cheza kwa step tu, baaasssssiiiiiiiiii!
kwa maelezo zaidi mtafute mdogo wangu snowhite akumegee step zinazowadatisha
ha haaa, mi nadhani ungeanza kwanza wewe kutamka offer yako, lol!Toa tamko
niko hapa nalingojea
nina uhakika you will never regretHahahahaha..... Sante kwa ushauri wifi langu.... Nitaufanyia kazi kwa moyo mkunjufu lol
tamko ni kuwa natoa ofa kwa atakaye na ofa hazina masharti ni just ofa kwa yeyote#Toa tamko
niko hapa nalingojea
ha haaa, usivunjike mbavu bana.....Hahahahahaha..... Unanivunja mbavu mwenzio lolest
Gusa mke wangu uone nitakachokufanya.
ha haaa, usivunjike mbavu bana.....
shem wangu Nicas Mtei hatanisamehe kwa kuvunja mbavu za mupenzi..... chezeya penzi weye....
tangu mdogo wangu snowhite atangaze kuacha ubaunsa (eti tunajiandaa kwa jr.) basi nimekuwa muoga kweli...... sina wa kunitetea, kwa hiyo inabidi nifiche bawa langu mwenyewe, lol!
ulie na moyo wako tu, ndio huna lolote
ha ha haaaaa
tamko ni kuwa natoa ofa kwa atakaye na ofa hazina masharti ni just ofa kwa yeyote#
Wacha wivu dear ni mimi na wewe tuu hao wengine ni wauza chai na majungu tuu kama sweetlady hana lolote