Amini usiamini Babu amenikamata ugoni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amini usiamini Babu amenikamata ugoni!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jakubumba, Dec 18, 2011.

 1. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Babu yangu ana umri wa miaka 70 na ana wanawake 10, mke wa kumi alikuwa ni mchumba wangu ambae tulipendana sana na kuahidiana kuoana. Lakini kwa Tamaa ya wazazi wao kupenda mali babu aliwarubuni kirahi na kujipatia mke ingawa alikuwa anajua tuna mahusiano. Binti amekuwa hana raha kabisa kwa mda wote huo, na mahusiano yetu yaliendelea kama kawaida maana aliniambia kama hatutaendelea atajiua. Ana umri wa miaka 21 na mimi 25. Babu amewapa zamu wake zake za kulala nao,yeye alikuwa na siku moja kwa mwezi hivyo tulijua ratiba yake vizuri. Kumbe machare yalimcheza akatega mtego na kutunasa. Ukoo umekaa na umeamua kuwa mimi niondoke kabisa kwenye familia kwa maana kwamba umenitenga. Nina siku kumi za kujiandaa kuondoka ila binti ameniambia nikimuacha anajiua. Je nifanyeje? Mimi namjua vizuri sana analoliongea na anamaanisha maana uhusiano watu kabla hajaolewa ulikuwa wa miaka 4. Ushauri wenu ni wa muhimu sana, kabila langu mkurya, najua hapo wakurya wa musoma watanielewa sana.
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama anakupenda kiasi hicho kwa nini alikubali kuolewa na babu yako? we unatuhadisia movie ya kighana hapa?
   
 3. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nigerians wameact story kama hii inaitwa TO LOVE N TO HOLD. Ramsey Noah ndio mjukuu,binti ni Ini Edo na babu ni Justus Esiri. Uko poa sana iyo sekta.
   
 4. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  thanks
   
 5. U

  Usiku huu Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hadith nzuri, ndio unataka uitengenezee part two sio?
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mmmmh! Kumbe hapa nipo kwenye jukwaa la jokes na gossips..ngoja nijirudie tu kwenye siasa!
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  u are deeep oooh! u know all nigerian movies oooh!
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  movie ya kitoto.
   
 9. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ndio mkubwa! Niongezee maneno kidogo
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wapita njia hakuna leo?
   
 11. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  internet cafe zimisha fungwa!
   
 12. 1

  19don JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hongera hii movie ikikamlika ni pm nipate japo copy 1 ya promo
   
 13. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  I have enough money to last me the rest of my life, unless I buy something-
  Jackie Mason
   
 14. K

  Kolero JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 493
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kiongozi vuta subira maana hana muda mrefu ukiangalia huo umri wa miaka 70 alionao urithi wote utakuwa wako, mpe muda bado mpo vijana na huyu bibi yako wa mwisho.
   
 15. v

  valid statement JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kumbe ni stori ya movie? Dah. Nzuri kweli.
   
 16. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #16
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  We hamnazo kweli kweli!
  Rudisha mahari aliyotoa Babu yako, halafu peleka posa yako kwa huyo bibi yako.
   
 17. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #17
  Dec 20, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kweli eeeeh
   
 18. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh....
   
Loading...