Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,812
Akiandika Mbowe kafa poa tu, au hata wewe au mimi kwani si ndio mwisho utakuwa umefika.Ulitaka aandike Mbowe kafa ndo ungemwona yupo sawa kichwani?
Pathetic, damned CCM fan
Acheni ujinga
Akiandika Mbowe kafa poa tu, au hata wewe au mimi kwani si ndio mwisho utakuwa umefika.Ulitaka aandike Mbowe kafa ndo ungemwona yupo sawa kichwani?
Pathetic, damned CCM fan
Chaguzi mbili bara wameangukia pua kinachowaweka madarakani ni Dora ikisaidiwa na tume, km halali CCM imeshakataliwaCCM haiwezi kuanguka tu eti kisa kuna uzi umeanzishwa JF, au eti kisa kuna watu wanaichukia mtaani,
Pamoja na mabavu ya kuingia ikulu hasa Zanzibar, lakin hata washindani wetu hawajawa na njia sahihi za kushawishi waliowengi kuwapa kura,
Cha msingi angalia CCM imashindaje na vyama mbadala vinashindwaje,
Hakuna wanasiasa wenye uchungu wa raia wa kawaida hivyo tetesi zako moja kwa moja ni za kupuuzwa.Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa suala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.
Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili.
Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe.
Inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Mwambie mama yako aache ujinga wa kuchagua wanaume wapuuzi wanaomzalisha watoto juha kama wewe...Akiandika Mbowe kafa poa tu, au hata wewe au mimi kwani si ndio mwisho utakuwa umefika.
Acheni ujinga
Hakika muda ni mwalimu wa walimuMuda ni mwalimu mzuri.
Acha ndoto za mchana. Kama 2015 ilishindikana, sahau. Lowasa alihamasisha watu.Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa suala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.
Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili.
Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe.
Inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Unafananisha watu waliotawala miaka zaidi ya 25 na huyu wa miaka 3? Pumzi kweli imekata ufipa.Jifunike hapo hapo kwenye blanket la historia, hata kina Gaddafi, Hosni Mubarak pia walijiaminisha hivyo hivyo. Saa hii watu wanaongea mengine. Hao walikuwa na nguvu kuliko hiyo ccm unayoitaja.
Mitume walikufa, babu zako bibi, ndugu zako walikufa, Mbowe kitu gani mpaka asife?Ulitaka aandike Mbowe kafa ndo ungemwona yupo sawa kichwani?
Pathetic, damned CCM fan
Wakianguka uni tag mkuu.Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa suala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.
Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili.
Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe.
Inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Sindano ikigonga mfupa wa mtu utajua tu kwa jinsi anavyopayuka.Mwambie mama yako aache ujinga wa kuchagua wanaume wapuuzi wanaomzalisha watoto juha kama wewe...
Unadhani Mbowe akifungwa au akifa ndo upinzani utakufa Tanzania?
Mwambieni huyo mjinga wenu afanye msako nyumba hadi nyumba nchi nzima ili awafunge wafuasi wote wa CHADEMA,pathetic manina zenu...
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Binadamu ni jabali? Pambafu
Roho mtakatifu nishike roho yangu nisijeandika maneno makali kwa huyu muotaji wa ndoto za mchana.Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa suala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.
Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili.
Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe.
Inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Freedom is Coming TomorrowNaona Bange zinakusumbua
Mkuu umenikumbusha mbali, cold war ilikuwa inaelekea mwishoni na hali ya kisiasa ulaya ya mashariki ilikuwa inabadilika kwa haraka, wananchi walikuwa wamechoka sio Romania tu bali kote, Bulgaria, Hungary, Poland,East Germany, the Balkans etc. Nakumbuka walivyomkamata Nicolae Ceausescu na mkewe Elena, kesi nakumbuka ilikuwa siku hiyo hiyo ikafuatiwa na summary execution by firing squad, ilikuwa ni christmas. Binadamu tujifunze, uonevu na dhuluma vina mwisho, wewe jione mbabe sasa ila kumbuka siku yako itafika,utalipa.Nicolai Cesse cue wa Romania alikuwa na akili kama za jiwe,aliwatesa wananchi wake kwa miaka mingi sana,kila wakitaka kuandamana anawatisha,binadamu hufikia mwisho wa uvumilivu.
Wananchi wakaamua sasa tunaandamana,liwalo na liwe,ilikuwa ni Dec mwaka 1989,wananchi wakaingia mitaani ,kama kawaida jeshi la police likaingia kazini kuwapiga kuwatawanya na kuwakamata,hiyo haikusaidia.
Kila mshale wa saa ulipokuwa ukigonga ndo idadi ya watu kuingia mitaani ilizidi kuongeza,police walianza kuua,mkuu mimi nilikuwa Romania kipindi hicho haya niliyaona kwa macho yangu,nilikuwa na miaka 14,nilikuwa nimeenda huko nikiambatana na raia wa Australia waliokuwa wamenichukua kunisomesha,waliamua mwezi huo kula Xmas na mwaka mpya Romania, nitakuja kuweka thread maalumu humu kuhusiana na tukio lote nilivyoshuhudia Bucharest.
Police walizidiwa,wanajeshi nao wakaingia kazini,kufumba na kufumbua Romania ikaanza kunuka harufu ya mauti,maiti zilitapakaa kila kona,kila sehemu,risasi zilikuwa zinaua watu zikitoka kila sehemu,snipers,walikuwa wengi juu ya maghorofa,waliuliwa kama sisimizi.
Kilichonishangaza idadi ya watu haikupungua mitaani,ndo ilikuwa inazidi kuongezeka,vifaru vilitapakaa mitaani,mwisho wanajeshi wakaanza kurudisha silaha kambini na kuanza kuungana na wananchi kuandamana.
Nicolai na mkewe Helena wakakimbia kutumia Helicopter, bahati mbaya ilipofika mji wa Targovista ikaharibika,ikabidi walinzi wao wateke Taxi ili kutoroka nayo,walienda kama km 10 tu ikaishiwa mafuta,naam,walikamatwa na jeshi na kuchinjwa kwa risasi,
Atubu yeye anayetaka kusababisha huu mkosi,miye nitubu kwa lipi?wewe na vizazi vyako hamtakuwa salama zaidi........USIOMBEE TUBU KABISA.
(kwa sauti ya Bwashee wa Unyanyembe) Fffffyekelea Mbaaali! HISOPO!Mtapata tabu sana