Amini usiamini, anguko la CCM laja. Ni 2020...

Hakuna utawala usiofuata misingi ya sheria na haki za raia utaoweza kutawala milele.

Anguko lake huwa ni kubwa sana kiasi kwamba kishindo chake kinaweza kuwafanya viziwi wale ambao hawakutarajia.
Nicolai Cesse cue wa Romania alikuwa na akili kama za jiwe,aliwatesa wananchi wake kwa miaka mingi sana,kila wakitaka kuandamana anawatisha,binadamu hufikia mwisho wa uvumilivu.
Wananchi wakaamua sasa tunaandamana,liwalo na liwe,ilikuwa ni Dec mwaka 1989,wananchi wakaingia mitaani ,kama kawaida jeshi la police likaingia kazini kuwapiga kuwatawanya na kuwakamata,hiyo haikusaidia.
Kila mshale wa saa ulipokuwa ukigonga ndo idadi ya watu kuingia mitaani ilizidi kuongeza,police walianza kuua,mkuu mimi nilikuwa Romania kipindi hicho haya niliyaona kwa macho yangu,nilikuwa na miaka 14,nilikuwa nimeenda huko nikiambatana na raia wa Australia waliokuwa wamenichukua kunisomesha,waliamua mwezi huo kula Xmas na mwaka mpya Romania, nitakuja kuweka thread maalumu humu kuhusiana na tukio lote nilivyoshuhudia Bucharest.
Police walizidiwa,wanajeshi nao wakaingia kazini,kufumba na kufumbua Romania ikaanza kunuka harufu ya mauti,maiti zilitapakaa kila kona,kila sehemu,risasi zilikuwa zinaua watu zikitoka kila sehemu,snipers,walikuwa wengi juu ya maghorofa,waliuliwa kama sisimizi.
Kilichonishangaza idadi ya watu haikupungua mitaani,ndo ilikuwa inazidi kuongezeka,vifaru vilitapakaa mitaani,mwisho wanajeshi wakaanza kurudisha silaha kambini na kuanza kuungana na wananchi kuandamana.
Nicolai na mkewe Helena wakakimbia kutumia Helicopter, bahati mbaya ilipofika mji wa Targovista ikaharibika,ikabidi walinzi wao wateke Taxi ili kutoroka nayo,walienda kama km 10 tu ikaishiwa mafuta,naam,walikamatwa na jeshi na kuchinjwa kwa risasi,
 
Wishful thinking za mtoa post😀
Mtasubiri sana.
 
haya mambo usiyaombee kabisa ishia kuyaandika kama ulivyoyaandika hapa na uombe Mungu yapite mbali,uandishi wa kishabiki hivi usidhani hata ww na mkeo/mmeo,watoto,wazazi na ndugu zako mtakuwa salama na kwa bahati mbaya sana huyo unaefikiria atakuwa kakomeshwa yeye atakuwa sehemu salama...temea mate chini
 
Mkuu siombei yatokee,na usidhani na yeye atakuwa salama,anaweza kudakwa hata kabla hajakimbia,rejea ya Samuel Doe na Nicolai wa Romania
 
Kum
Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa suala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.

Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili.

Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe.

Inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Kumbe na cha Mbeya kinalewesha?
 
Pamoja na kwamba hilo la kusema ccm itapasuka siliamini ukiangalia asili ya watu wa ccm ya kuwa wanafiki na waoga lkn naamini kuwa hilo la kuanguka ghafla lipo.

Hakuna kipindi ccm kimepoteza uungwaji mkono kama sasa na hata wenyewe wanalijua hilo na ndio maana wamehodhi tume na polisi kwa asilimia mia moja.

Kumbe ccm kuondolewa madarakani wala haihitaji upinzani wenye nguvu kama wengine wanavyohisi ila "Only level playing field is enough to send the party parking", na swala ni namna gani huo uwanja upatikane?
 
Hayo hayatatokea na wala hayataa kaa kutokea hapo bongo

Maana hilo ni taifa la wajinga

Hayo yatatokea baada ya watu kubadilika wenyewe
Wajinga ni huko kwenu na ukoo wenu wote
 
Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa suala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.

Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili.

Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe.

Inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Anayeamini kuwa CCM itashindwa 2020 sio mkweli kwa matukio tuliyonayo. Kipindi cha kwanza cha awamu ya tano kitawavusha salama na ushindi utakuwa mkubwa tu kwa chama tawala. Huu ndio ukweli.
Katika uchaguzi na baada ya uchaguzi wa 2020, haki za binadamu zitakiukwa kwa kiwango cha kutisha, watu watafungwa wengi kwa sababu za kisiasa. Uchumi utayumba kwa kuwa itabidi kiasi kikubwa cha fedha kikusanywe kwa ajili ya kukamilisha miradi iliyokwisha anzishwa.

Uzalishaji utashuka sana kwa kuwa watumishi wa umma watakuwa wamedhalilishwa vya kutosha, wafanyabishara watabanwa mbavu na wengi wao wataitwa mafisadi na wahujumu wa uchumi. Nao watakata tamaa. Wateule wa rais watakuwa miungu watu na Rais Magufuli atakuwa amechoka sana. Wapigaji watapiga sana, wapinzani watapata mwanya na kuibuka tena na uasi utakuwa mkubwa ndani ya CCM yenyewe.
Natabiri ushindi kwa wapinzani 2025 na sio kabla ya wakati huo
 
Nicolai Cesse cue wa Romania alikuwa na akili kama za jiwe,aliwatesa wananchi wake kwa miaka mingi sana,kila wakitaka kuandamana anawatisha,binadamu hufikia mwisho wa uvumilivu.
Wananchi wakaamua sasa tunaandamana,liwalo na liwe,ilikuwa ni Dec mwaka 1989,wananchi wakaingia mitaani ,kama kawaida jeshi la police likaingia kazini kuwapiga kuwatawanya na kuwakamata,hiyo haikusaidia.
Kila mshale wa saa ulipokuwa ukigonga ndo idadi ya watu kuingia mitaani ilizidi kuongeza,police walianza kuua,mkuu mimi nilikuwa Romania kipindi hicho haya niliyaona kwa macho yangu,nilikuwa na miaka 14,nilikuwa nimeenda huko nikiambatana na raia wa Australia waliokuwa wamenichukua kunisomesha,waliamua mwezi huo kula Xmas na mwaka mpya Romania, nitakuja kuweka thread maalumu humu kuhusiana na tukio lote nilivyoshuhudia Bucharest.
Police walizidiwa,wanajeshi nao wakaingia kazini,kufumba na kufumbua Romania ikaanza kunuka harufu ya mauti,maiti zilitapakaa kila kona,kila sehemu,risasi zilikuwa zinaua watu zikitoka kila sehemu,snipers,walikuwa wengi juu ya maghorofa,waliuliwa kama sisimizi.
Kilichonishangaza idadi ya watu haikupungua mitaani,ndo ilikuwa inazidi kuongezeka,vifaru vilitapakaa mitaani,mwisho wanajeshi wakaanza kurudisha silaha kambini na kuanza kuungana na wananchi kuandamana.
Nicolai na mkewe Helena wakakimbia kutumia Helicopter, bahati mbaya ilipofika mji wa Targovista ikaharibika,ikabidi walinzi wao wateke Taxi ili kutoroka nayo,walienda kama km 10 tu ikaishiwa mafuta,naam,walikamatwa na jeshi na kuchinjwa kwa risasi,
Hii ikitokea Tz tutaomba Jiwe asiuawe kwa risasi bali awekwe sehemu wananchi wakate kiungo kimoja kimoja kila siku
 
Katiba yetu mbovu aliye madarakani ndiye anayeamua nani awe Rais.Labda kama wananchi wataingia barabarani (kitu ambacho kwa Sasa hakiwezekani) CCM Kwa Sasa itaendelea kutuburuza mpaka siku tutakapopata akili

Mkuu hilo pigo siyo la kikatiba wala uchaguzi, Mungu ataingilia kati kwa jinsi ambayo hakuna anayetegemea hilo kutokea. Nafikiri dalili umeshaanza kuziona hata hapa jukwaani.Wakati wa Mungu ukifika hakuna mwanadamu anayeweza kusema hapana.
 
Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.

Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa suala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.

Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili.

Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe.

Inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Utapata kichaa bure na akili zako fupi
 
Endelea kupiga ramli. . . .yooote uliyoongea naona hauna kitu chochote cha kujustify. Siku nyingine uje na kitu cha kuback up maneno yako.
 
Sasa kama watabaki wenyewe kwa wenyewe wakichuana kutwaa uongozi, anguko liko wapi hapo?!
 
Ninachoamini ni kuwa CCM haitameguka wakati huu wa utawala wa Jiwe,
Ila kwa kuwa kila kitu kuna life span yake,nina amini kuna siku CCM itakuwa Chama kikuu cha upinzani,
Hili linaweza lisitokee mapema katika kipindi cha uhai wa tulio wengi wetu,Hakuna idumuyo kama Milima ya Sayuni.
 
Hayo hayatatokea na wala hayataa kaa kutokea hapo bongo

Maana hilo ni taifa la wajinga

Hayo yatatokea baada ya watu kubadilika wenyewe
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua..Saddam Hussein wa Kuwait,Ghaddafi,Mugabe,Mohammed Morsi nk nk
 
Back
Top Bottom