Amini usiamini, anguko la CCM laja. Ni 2020...

CCM ni kama maji kwa nyakati hizi na kwa miaka mingi ijayo. Kusema CCM itaanguka ni sawa na kusema...kuanzia sasa mito, maziwa, mvua, visima, chemichemi, mabwawa, bahari n.k. vitapotea, siyo kukauka, vitapotea ! Sasa nini kitabaki hapo hivyo vyanzo vyote vya maji vikipotea? Kwa kifupi, yawezekana haujui nini maana ya CCM yaani haujui msingi wa uwepo wa CCM hapa nchini kama chama cha siasa na kwa sasa kinaongoza awamu ya tano ya serikali yetu ya Watanzania. Nakushauri katafute ufahamu wa msingi wa uwepo wa CCM.
Huu ndio ukweli wa mambo, tuliwaeleza watu humu wanaosubiri CCM ianguke ni sawa na fisi wanapomuona binadamu anatembea huku akitupa mikono,, fisi wanadhani, imevunjika na inaninginia hivyo wanafualia kwa nyuma taratibu wakisubiria ikatike.
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums
P
 
CCM haiwezi kuanguka tu eti kisa kuna uzi umeanzishwa JF, au eti kisa kuna watu wanaichukia mtaani,

Pamoja na mabavu ya kuingia ikulu hasa Zanzibar, lakin hata washindani wetu hawajawa na njia sahihi za kushawishi waliowengi kuwapa kura,

Cha msingi angalia CCM imashindaje na vyama mbadala vinashindwaje,
Ni kweli kabisa CCM haiwezi kuanguka kwa sababu ya uzi wa JF. Hilo nakubaliana na wewe ...!! Dola ipo kufanya kazi yake.

Ila mleta hoja ana hoja .....kwa kweli kuna dalili kubwa sana za kuibuka mgogoro kipindi cha uchaguzi. Kuna dalili kubwa za wabunge wengi wa CCM kuenguliwa kwenye nafasi zao ndani ya chama. Kuna watu ambao hawatakiwi hasa wa kusini. Hao ni lazima wabadilishwe. Ila nguvu ya dola inaweza kutumika kuwadhibiti wasilete matatizo.

List ni ndefu na wakuu wengi wa Wilaya na Mikoa ndiyo watakaokwenda kuwareplace.
 
Unadhani aliyesema itagawanyika haipendi ccm?, huo ni uhalisia ujao
Mkuu watanzania wasaliti Kila mtu anajijari yeye.CCM itakufa lakini siyo 2020.Ile kauli ya kama Upinzani hautashinda mwaka 2015 Basi tusubiri miaka mingi mingine haikuwa ya uongo.Fursa ilikuwa 2015 2020 hakuna kitu pale Tena ni ngumu kweli kweli Kwa upinzani
 
ila itapata pigo kuuuubwa sana.
Pigo lilikuwa 2015 Ila 2020 sioni mnafiki wa Kupeleka Pigo CCM 2020.Katiba yetu imewapa mamlaka makubwa mno waliopo madarakani.Jiwe hana aibu kama Mkwere,2020 ni mwendo wa utemi.Kila mwenye dalili ya kumpinga Mzee ataonyeshwa cha mtema kuni kuanzia wanaccm hadi wafanyabiashara
 
Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili. Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe. inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Guessing is not bad all the time but it is not too good sometimes.
 
Hii itakuwa ni habari ya vijiweni tuu, tangu lini CCM ikawa na agenda kama hizo za katiba, utawala bora na haki za binadamu?!

Nijuavyo mimi, CCM itatawala milele, kama nilivyoeleza kwenye bandiko hili
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums
P
Pia ujue Mungu hakusema pahali kuwa kuna lá milele dunian kila kilichopo kitaondoka kwa muda wake bila bughuza yoyote.

Na usijiaminishe kuwa ccm itakaa milele. Ikiwa ccm inayake dunia itakaa milele lkn kwa dunia ambayo Mungu mmoja ndiye mmiliki WA yote usijipe maneno hayo.

Walikuwepo kabla ya sisi na wao walikuwa wanaongea hivihivi tutaishi milele na kila njama na mbinu nyingi wakitumia ili tu wabakie milele wakat milele hapa ulimwenguni hamna wakajisahau kuwa mamlaka yote ni ya Mungu pekee.

Ccm itaondoka tu tukiwa hai tutaona au ikiwa tumekufa wataona wataokuwa hai.

Chenye mwanzo na mwisho kina mwisho wake.
 
Ccm ilishakufa imebaki kubebwa na dola hivyo bila dola hata leo ccm inazikwa, hivyo pale vyombo vya dola jeshi na mahakama vtakavyosimama upande wa hiki ndo utakuwa mwisho wa ccm
 
Tatizo lakuleta uzi ukiwa umetoka kuvuta bange chooni unakuwa na mawazo ya kihuni ya hovyoooo
 
Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020. Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa swala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.

Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili. Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe. inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Hata ukiwafunga wote bado atapatikana Joshua wakutufikisha Kanani!
 
Hizo ni ndoto za mchana. Kitakachotokea 2020 ni watu kuumia tu mioyoni mwao hasa wale watakaokatwa na kushindwa kwenye kura maoni. watu hao kwa sasa wanafurahia mfumo wa kuua upinzani lakini hawajui kua wanajiwekea kitanzi cha 2020 wao wenyewe
 
CCM ni kama maji kwa nyakati hizi na kwa miaka mingi ijayo. Kusema CCM itaanguka ni sawa na kusema...kuanzia sasa mito, maziwa, mvua, visima, chemichemi, mabwawa, bahari n.k. vitapotea, siyo kukauka, vitapotea ! Sasa nini kitabaki hapo hivyo vyanzo vyote vya maji vikipotea? Kwa kifupi, yawezekana haujui nini maana ya CCM yaani haujui msingi wa uwepo wa CCM hapa nchini kama chama cha siasa na kwa sasa kinaongoza awamu ya tano ya serikali yetu ya Watanzania. Nakushauri katafute ufahamu wa msingi wa uwepo wa CCM.
Acha kukufuru. Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho ila Mungu tu.
 
Hizo ni ndoto za mchana. Kitakachotokea 2020 ni watu kuumia tu mioyoni mwao hasa wale watakaokatwa na kushindwa kwenye kura maoni. watu hao kwa sasa wanafurahia mfumo wa kuua upinzani lakini hawajui kua wanajiwekea kitanzi cha 2020 wao wenyewe
Ndiyo hivyo mkuu wengi wataumia sana 2020 na hata wakienda Upinzani watafeli tu.2020 ni rahisi Mbunge wa Upinzani kupita ubunge kama yupo Upinzani kuanzia Sasa Ila kama Yule wa kuhamia Upinzani dakika za majeruhi hatapita hata mmoja
 
Ukitaka kujua kama itaanguka au la unatakiwa ujiulize ccm ni nani? Sio unasema itaanguka Ila hata hujui kama huyo unayedhani ataanguka ndo ccm mwenyewe. Ni sawa na kufikiri kuwa ccm ni lowasa akiondoka basi.
 
Pigo lilikuwa 2015 Ila 2020 sioni mnafiki wa Kupeleka Pigo CCM 2020.Katiba yetu imewapa mamlaka makubwa mno waliopo madarakani.Jiwe hana aibu kama Mkwere,2020 ni mwendo wa utemi.Kila mwenye dalili ya kumpinga Mzee ataonyeshwa cha mtema kuni kuanzia wanaccm hadi wafanyabiashara

Muda ni mwalimu mzuri.
 
Back
Top Bottom