Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,512
- 4,710
Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa suala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.
Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili.
Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe.
Inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Tusubiri muda ni rafiki wa kweli 2020 sio mbali panapo uhai tutakumbushana
Pia soma: Political Intelligence: CCM kuweni macho, lijalo laja by Msanii