Amini usiamini, anguko la CCM laja. Ni 2020...

Amini usiamini, anguko la CCM laja. Ni 2020...

Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe. inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Duh! Wote Watakua wananyea debe sio?
 
Kinyume chake ndo sahihi mkuu, ccm ina miaka mingine 50 ya kuiongoza nchi hii, endapo tu upinzani uliopo tz ndo huu wa kijinga
 
CCM ni kama maji kwa nyakati hizi na kwa miaka mingi ijayo. Kusema CCM itaanguka ni sawa na kusema...kuanzia sasa mito, maziwa, mvua, visima, chemichemi, mabwawa, bahari n.k. vitapotea, siyo kukauka, vitapotea ! Sasa nini kitabaki hapo hivyo vyanzo vyote vya maji vikipotea? Kwa kifupi, yawezekana haujui nini maana ya CCM yaani haujui msingi wa uwepo wa CCM hapa nchini kama chama cha siasa na kwa sasa kinaongoza awamu ya tano ya serikali yetu ya Watanzania. Nakushauri katafute ufahamu wa msingi wa uwepo wa CCM.
Pamoja na maelezo yako mazuri,lkn ukumbuke dalili ya mvua ni mawingu.
CCM walikuwa wanabishana kwa hoja,lkn siku hizi tunaona wanatumia nguvu kuliko hoja. Hii ina maanisha nini?.
Kwamba hawana hoja za kutosha zisizo na shaka juu ya matendo yao maovu kwa wananchi,na badala yake ni kamata huyo sweka ndani,mfano Lema,Sugu,Mbowe na hata wengine kuuliwa,
Tunaona kina Mawazo,Jaribio la kumuua Lisu nk
 
CCM ni kama maji kwa nyakati hizi na kwa miaka mingi ijayo. Kusema CCM itaanguka ni sawa na kusema...kuanzia sasa mito, maziwa, mvua, visima, chemichemi, mabwawa, bahari n.k. vitapotea, siyo kukauka, vitapotea ! Sasa nini kitabaki hapo hivyo vyanzo vyote vya maji vikipotea? Kwa kifupi, yawezekana haujui nini maana ya CCM yaani haujui msingi wa uwepo wa CCM hapa nchini kama chama cha siasa na kwa sasa kinaongoza awamu ya tano ya serikali yetu ya Watanzania. Nakushauri katafute ufahamu wa msingi wa uwepo wa CCM.
Wasiojulikana huwa wanawasaidia sana
 
CCM haiwezi kuanguka tu eti kisa kuna uzi umeanzishwa JF, au eti kisa kuna watu wanaichukia mtaani,

Pamoja na mabavu ya kuingia ikulu hasa Zanzibar, lakin hata washindani wetu hawajawa na njia sahihi za kushawishi waliowengi kuwapa kura,

Cha msingi angalia CCM imashindaje na vyama mbadala vinashindwaje,
Ccm hawajawahi kushinda wanaiba tu!
 
Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020. Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa swala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.

Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili. Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe. inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
TB JOSHUA alitoa utabiri huo na akaongezea kuwa mfalme ataua watu wengi mno ndani ya chama chake na wapinzani pia, na baadaye Mungu atachukia na kuichukua roho ya mfalme
 
CCM haiwezi kuanguka tu eti kisa kuna uzi umeanzishwa JF, au eti kisa kuna watu wanaichukia mtaani,

Pamoja na mabavu ya kuingia ikulu hasa Zanzibar, lakin hata washindani wetu hawajawa na njia sahihi za kushawishi waliowengi kuwapa kura,

Cha msingi angalia CCM imashindaje na vyama mbadala vinashindwaje,
Endelea kujifariji ujinga,kumbe hata huko jikoni ulipo hujui mengi yanayoendelea pole sana,
 
Aksante kwa kuota mchana ila laiti ungelisema chama kingine wala sio CCM. Kimeundwa, kimefinyangwa na kime pikika kikaiva. Kwetu wanasema, chungu cha mboga kutokeza mafuta nje yake kikiwa jikoni sio kuvuja bali kuonesha mkaango wake. CCM ni jabali
Binadamu ni jabali? Pambafu
 
Duuuuuuh kwa hivi tunavyotoa michango yetu sisi ndo GT sijui huku naliendele ndani ndani wana hali gani.
 
Akili za mvuta bangi huwaza mambo ya ajabu ajabu saa zote. CCM hakuna mwenye ubavu wa kujitenga. Tangu lini misukule ikapata akili za kudai katiba mpya, utawala wa sheria na haki za binadamu? Nani kasema misukule wanatakiwa kujua sheria? Nani kawadanganya kuwa misukule ina haki sawa na binadamu? Katiba inaisaidia nini misukule?
 
Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka, inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Hii itakuwa ni habari ya vijiweni tuu, tangu lini CCM ikawa na agenda kama hizo za katiba, utawala bora na haki za binadamu?!

Nijuavyo mimi, CCM itatawala milele, kama nilivyoeleza kwenye bandiko hili
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. - JamiiForums
P
 
Hayo hayatatokea na wala hayataa kaa kutokea hapo bongo

Maana hilo ni taifa la wajinga

Hayo yatatokea baada ya watu kubadilika wenyewe
Mjinga ni wewe na kizazi chako walahi
 
Wasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020. Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa swala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.

Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili. Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe. inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
2020 CCM itazidi kuwa strongest party kwani hao waliyokuwa wanachama kwa maslahi maalum watapotea kisiasa
 
Back
Top Bottom