BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 482
In short...........UTAKUFA WEWE MTOA MADA, CCM UTAIACHA IKIENDELEA KUONGOZA NCHI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mzee Mangula ana msimamo gani? Wakati wa kujivua gamba alikuwa against akina El na Rostam Juzi wakati wa kuvaa tena gamba alikuwa anajikesha pembeni ya RostamWasalaam, kuna ushahidi WA kutosha kwamba chama dola ccm kitapasuka vipande viwili kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Kuna habari za uhakika kwamba kuna kundi kubwa ndani ya chama ambalo halijaridhika jinsi nchi ilivyoendeshwa ktk awamu hii ya tano hasa suala la maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa duni kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru.
Inasemeka kundi hilo lenye nguvu kubwa ndani na nje ya ccm limejipanga vilivyo kubomoa nyumba ili wagawane fito, na hii ina maana ccm itagawanyika vipande viwili.
Habari zinasema wakati huo viongozi karibu wote wa vyama vya upinzani watakua wameshafungwa hivyo upinzani utabaki baina ya wana ccm wenyewe.
Inasekana ajenda kubwa ya kundi hili itakuwa KATIBA MPYA NA UTAWALA SHERIA, NA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU.
Tusubiri muda ni rafiki wa kweli 2020 sio mbali panapo uhai tutakumbushana
Kile ni chama tu hakiwezi dumu mileleCCM ni kama maji kwa nyakati hizi na kwa miaka mingi ijayo. Kusema CCM itaanguka ni sawa na kusema...kuanzia sasa mito, maziwa, mvua, visima, chemichemi, mabwawa, bahari n.k. vitapotea, siyo kukauka, vitapotea ! Sasa nini kitabaki hapo hivyo vyanzo vyote vya maji vikipotea? Kwa kifupi, yawezekana haujui nini maana ya CCM yaani haujui msingi wa uwepo wa CCM hapa nchini kama chama cha siasa na kwa sasa kinaongoza awamu ya tano ya serikali yetu ya Watanzania. Nakushauri katafute ufahamu wa msingi wa uwepo wa CCM.
Kweli mkuu tulivuta wote unaona na ww zinakuzinguaNaona Bange zinakusumbua
Wacha wajipe matumaini hewa.Hakuna mbabe CCM kama Lowassa alishindwa tena Kwa Mkwere,sioni kule waliobaki mwenye uwezo wa kufurukuta mbele ya jiwe,sanasana kuna watu watafyekelewa mbali
Today you got it wrong my friend. Hasa hapo kwenye suala la kura. Kwenye box la kura kazi ilisha isha toka 1995/CCM haiwezi kuanguka tu eti kisa kuna uzi umeanzishwa JF, au eti kisa kuna watu wanaichukia mtaani,
Pamoja na mabavu ya kuingia ikulu hasa Zanzibar, lakin hata washindani wetu hawajawa na njia sahihi za kushawishi waliowengi kuwapa kura,
Cha msingi angalia CCM imashindaje na vyama mbadala vinashindwaje,
Km hujui ni dawa kwa binadamuNaona Bange zinakusumbua
Chakushagaza hata mmeo ni bavichaDuniani hakuna watu wenye akili ndogo kama bavicha
nimehifadhi maneno yako Leo ni 2020Naona Bange zinakusumbua
Save this postNaona Bange zinakusumbua
SijaelewaNikiendelea kuwaza kuhusu siasa yetu ilipofikia na mlolongo wa matukio ya kampeni nchini!ni dhahiri shahiri kuwa ccm inafikia mwisho wa maisha yake hiyo ni kanuni ya asili katika mzunguko wa chochote chenye uhai!!Hata kama wengi watabeza lakini huo ndiyo ukweli mchungu kwa makada ya ccm!!JPM ndiyo amekuja kuizika ccm rasmi nchini tangu mwanzo wa awamu hii ilipoanza wenye macho ya kiroho waliona kuwa JPM ni mwanasiasa mdhaifu mno tena asie hata na chembe ya uvumilivu wa kisiasa!!Huwezi kuwa mwanasiasa mzuri kama wewe sio mvumilivu wa kukosolewa !!JPM kashindwa vibaya mno kukivusha chama!!Nakumbuka Kikwete aliwahi sema siku CCM ikitegemea jeshi la polisi huo ndio utakuwa mwisho wa ccm!!!
Makada wa ccm wanatakiwa watumie akili kwenye hili janga la chama tawala,Wakamuombe ushauri Joseph kabila ilikuwaje akakabidhi madaraka kwa Tshekesedi???Kwanini aliamua vile?kwanini asingetumia jeshi kulazimisha ushindi kama JPM anavotaka kufanya?
Nadhani ACT Wazalendo ya Benard membe inaweza ikawa turufu pekee kwa ccm kipindi hiki!!Sidhani kama Membe atawaadhibu makada wenzake wa zamani kama Lisu atakavofanya iwapo akishika dola!!
Huu ni ushauri tu kutoka kwa kada mchanga wa chama tawala!!!kati ya kosa kubwa ambalo CCM imewahi kufanya ni kufanya vetting ya JPM kuwa mteule na mgombea ndani ya chama!!Hata sisimizi zimemkataa jpm hata twiga na wanyama wote wamegoma jpm kuwa kiongozi wao!!!