Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
- Thread starter
-
- #61
mkuu kumbuka ahadi ni deni na hii ahadi ni ya kimaandishi ujue...haya ngoja mtoto aje mwenyewe hapaMkuu Saint..... mtoto Aminata akikubali..natoa Ofa pale Coral Beach...Nite. moja..na ofa ya kwenda Bongoyo au Mbuja...Aminata..Punguza Vigezo na Masharti basi ....
yani hapa nazidi kukaza tena na mfungulie husninyo account ya euro ili atie sahihi barua yako ya posa la sivo itaishia njiani haitawafikia wazazi....... mana kimila zetu lazima barua iletwe na shost wa karibu la sivo haipokelewi
Dah!!! Husninyo nionee huruma kaka yako
kwa hiyounamuuza aminata?ukionea huruma pochi utakufa maskini! Lol.
kwa hiyounamuuza aminata?
hauzwi nipunguzieni masharti baci jamani ..mwe!!binadamu anauzwa?
haaaaaaaaaaaaaaahehehehehe! Mwambie huyo. Tena asiweke viyuro vya madafu eeh. Halafu shida zangu zote azitatue kwanza. Lol.
umesikia SIhehehehehe! Mwambie huyo. Tena asiweke viyuro vya madafu eeh. Halafu shida zangu zote azitatue kwanza. Lol.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa hayo ndio madogo nimekupa mkuuhauzwi nipunguzieni masharti baci jamani ..mwe!!
hebu muulize weye mana nikisema mie atasema ninaongea sana lohbinadamu anauzwa?
cjapenda hii loh! mkuu SIkwa hiyounamuuza aminata?
hapo ndipo ninapokupendea shost wangu ........mmwaaaaaaaaaaaaaaah!ukionea huruma pochi utakufa maskini! Lol.
we c wataka maceleb tu sasa ndio madhara yake hayo babaaaDah!!! Husninyo nionee huruma kaka yako
Na wewe nikuanzishie sredi nini? hakyanani kila nikikuona nasahau besdei yangummmhh........haya bana!!
hauzwi nipunguzieni masharti baci jamani ..mwe!!
we c wataka maceleb tu sasa ndio madhara yake hayo babaaa
hapo ndipo ninapokupendea shost wangu ........mmwaaaaaaaaaaaaaaah!
Duh!!!!! Basi utakuwa kwenye kamati jamani... Yani sijakosea mzigo upo kwenye box laketenaaaaaa!
Mwambie huyo. Lol.
Ivuga atakoma leo kuingia choo cha watoto amekalia poti.
heheehe! Mi navyokulov hadi nataka nihamie huko. Lol.
Mjini hakuna kung'aa sharubu. Au sio?