Aminaaaaaaa...?

Hahahahaaaa King'asti mbona ni nshakula samaki hadi nimesaza?
We uko stesheni ipi? Ubungo au Tabata?

Niko maji matitu. Sasa ndo nakuonaje mgeni?

Mkuu bado hujafika naomba ukifika niambie nikuagize kitu hapo mitaa ya makoroboi
Mie mbona nipo shem langu. Kama ni kwa ajili ya sweetlady niagize tu, kama ni issue nyingine muambie yeye ndo aniagize. Unajua inabidi tusiwe karibu sana shem, shetani atatupiga mwereka
 
Back
Top Bottom