Heheheee St. Paka Mweusi unadhani asante yangu ya jana haikukutosha hadi utake ya Amyner ?Vibaya hivyo,unamkumbuka Erickb52 peke yake na kumsahau aliyeutumia dedication...........
Waje niwape t-shirtKitaeleweka tu, waananchi vijijini nako wameamka, wanavua na kununua kadi kwa sana.
ya kumwaga aiseeVipi mapanki yanapatikana?
Heheheee St. Paka Mweusi unadhani asante yangu ya jana haikukutosha hadi utake ya Amyner ?
Tenda wema uende zako...usingoje Shukrani
Nina maana yangu ujue we ulifikiri nimetuma hii dedication kwa ajili yako....