LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
I'm not gonna get into relationship stuff, but Jay didn't for Nas because of a woman. And he clearly didn't get murdered, or else he woulda been god cuz he resurrected.
Jay was caught up in that beef for trying to be a big brother to Bleek. Bleek alisikia lines za Nas, akahisi zimemlenga yeye, akaanzisha ugomvi.
And Nas didn't necessarily win that battle. It's just that when two are against each other, people often side with the weak/small/less fortunate one.
Mkuu utabisha sana ila Nas ethered Jay...na Jay alikubali...
The main reason mkuu ni Nas alikua ndio crowned King of New York baada ya B.I.G kufariki,Jay nae alitaka hiyo crown,he wanted to demolish Nas for him to be rightful Biggie's replacement...Bleek alitumwa tu mkuu kua instigator...Jay made a beef to a wrong person...Ether huwezi ifananisha na Takeover au Super Ugly...Nas won hands down...
Nilitupia tu narration ya JayZ-Foxy Brown-The Firm connection uelewe kua Jay hua ana matatizo na madem anaowazimia...sio kwamba ndio sababu kuu ya Nas/Jay beef,ni one of them probably..
Ipo on record Jay used to smash Foxy Brown,na Foxy Brown went on kujiunga na Nas kwenye The Firm,na kutokana na historia ya Jay ya kua na beef ya chinichini kuhusu his groupies watu wanaunganisha dots ni hii theory pia.