Amezaa na Dr Dre na Suge...dah

Amezaa na Dr Dre na Suge...dah

Ngumu kuamini Suge na Dre wa enzi hizo wanaweza ku differentiate ..
usisahau na drugs alikuwa anatumia huyu...

Ugomvi wa Suge na Dre ulichangiwa na attitude ya Dre. Jamaa alikuwa anachagua watu wa kufanya nao kazi, na muda wa kufanya kazi. In short, Dre worked at his own pace. Snoop aliwahi kusema kuwa Dre alikuwa anagonga mkono mmoja, wanaskiliza siku nzima; Tupac alivyokuja, kila kitu kikabadilika, cuz jamaa alisababisha kila mtu akawa anapiga kazi extra.

Kabla ya Tupac, Dre ndio alikuwa anasukuma mauzo ya Death Row kwa sana, both as a producer and artist. Alivyokuja Tupac, aka-take over as their major name, na vichwa vingine kwenye production vikapata nafasi. Suge ndio akamtimulia Dre mbali.
 
Mtu kama Daz ni uzembe wake tu. Jamaa alikuwa ana-rap, na ni producer pia. Ambitionz as a ryder ya Tupac, aliitayarisha yeye.

Watu wengi wenye talent kubwa wako hivyo
wanahitaji mtu wa kuwasaidia ku organize...

Ndo maana P diddy kafanikiwa sana kuzidi wenye true talents kama Timberland na JD..
zipo rumors hata Dre beats nyingi alikuwa ananununua from underground...
umewahi sikia?
 
Ugomvi wa Suge na Dre ulichangiwa na attitude ya Dre. Jamaa alikuwa anachagua watu wa kufanya nao kazi, na muda wa kufanya kazi. In short, Dre worked at his own pace. Snoop aliwahi kusema kuwa Dre alikuwa anagonga mkono mmoja, wanaskiliza siku nzima; Tupac alivyokuja, kila kitu kikabadilika, cuz jamaa alisababisha kila mtu akawa anapiga kazi extra.

Kabla ya Tupac, Dre ndio alikuwa anasukuma mauzo ya Death Row kwa sana, both as a producer and artist. Alivyokuja Tupac, aka-take over as their major name, na vichwa vingine kwenye production vikapata nafasi. Suge ndio akamtimulia Dre mbali.

Alimtimua au aliondoka?
 
demu wa dizaini hiyo,bongo "tunamuitaga" mlupo wa wasanii.

hata huku kwetu mavumbini wapo.unakuta anagongwa na wasanii watatu wa bongofleva,at the same time anagongwa na wasanii wawili wa bongomuvi.

sanaa ya mziki na filamu ni super glue kubwa sana ya kunasia wasichana duniani.

wao huwa wanajisikia fahari tu kuonekana wana date na wasanii,mengine wala hawayazingatii.

hahaa kina Gigi money ...
 
Alimtimua au aliondoka?

Alimtimua kiaina, cuz condition ilikuwa kupiga kazi kama Suge anavyotaka ama kuondoka. Alimfanya jamaa aka-sign haki zake za DR zote, mchizi akaondoka mtupu.

Kuna tetesi pia, kuwa Suge alimkabidhi Dre kwa Jimmy Iovine, kama Jimmy alivyomkabidhi Tupac kwa Suge. Hii conspiracy ina-make sense pia.
 
Sidhani kabisa.

By the time Michel'le anajirusha na Suge, walishaachana na Dre na jamaa alishaondoka Death Row pia. Tena nadhani Dre alioa akiwa kwenye uhusiano bado na Michel'le. Ila niliwahi kumsikia Daz akisema kitu kama hicho kuwa Michel'le ndio alichangia kufa kwa DR, na alitembea mpaka na Tupac pia.

Hata uhusiano wa Dash na Jay uliharibika, ila sio kwa kusababishwa na mamanzi, whether walichapiana ama lah.

JayZ na Dame Dash pamoja na matatizo ya kujisikia ya Dame,ila Aaliyah alipoingia ikawa sababu pia maana JayZ alikua anampenda Aaliyah kwa siri,ila Dame ndio alifanikiwa kumu-engage...JayZ was bitter with that....
 
Mkuu huyu manzi alikua groupie,kila mtoto wake ana baba yake...thats the actual measure of a groupie...

Kama umesikia vizuri alikua anapigwa mashine mle mle studio na Dre,Suge,etc

Groupie no, kicheche labda. Huyu manzi alikutana na hawa watu kutokana na talent yake. Alikuwa signed pamoja na Dre toka enzi ya World Class Wrekin Cru nadhani, as the only female singer.
 
JayZ na Dame Dash pamoja na matatizo ya kujisikia ya Dame,ila Aaliyah alipoingia ikawa sababu pia maana JayZ alikua anampenda Aaliyah kwa siri,ila Dame ndio alifanikiwa kumu-engage...JayZ was bitter with that....

Inawezekana. Ila kwenye remix ya I miss you, Jay's version ame-aknowledge uhusiano wa Dame na Aaliyah.
 
Alimtimua kiaina, cuz condition ilikuwa kupiga kazi kama Suge anavyotaka ama kuondoka. Alimfanya jamaa aka-sign haki zake za DR zote, mchizi akaondoka mtupu.

Kuna tetesi pia, kuwa Suge alimkabidhi Dre kwa Jimmy Iovine, kama Jimmy alivyomkabidhi Tupac kwa Suge. Hii conspiracy ina-make sense pia.

Dre was tired of working with military minded people like Suge and Pac...Dre naturally hapendi fujo kiivyo...violence za Suge ndio zilimuondoa na alikua radhi aachie rights zake zote aondoke,ndio alivyofanya....Iovine na Dre wana bond tangu kitambo and these guys have respect for each other mpaka leo wanafanya kazi pamoja (refer Beats by Dre deal)....

Suge watu walimstukia mapema na walitaka kuondoka wote,Snoop,Etc pia Pac alikuja kustuka mwishoni nae alikua anapanga kuondoka,Dre saw this way before...

Na pia Dre alikua sio artist tu wa DR,alikua nearly equal partner/owner wa DR,alikua ni bigger of a threat to Suge pia,Suge wanted to get rid of Dre pia
 
JayZ na Dame Dash pamoja na matatizo ya kujisikia ya Dame,ila Aaliyah alipoingia ikawa sababu pia maana JayZ alikua anampenda Aaliyah kwa siri,ila Dame ndio alifanikiwa kumu-engage...JayZ was bitter with that....

Sidhani kama ni Aliyah....nafikiri Beyonce na Rachel Ray...
 
Watu wengi wenye talent kubwa wako hivyo
wanahitaji mtu wa kuwasaidia ku organize...

Ndo maana P diddy kafanikiwa sana kuzidi wenye true talents kama Timberland na JD..
zipo rumors hata Dre beats nyingi alikuwa ananununua from underground...
umewahi sikia?

Sijawahi kusikia, ila najua kazi nyingi amesaidiwa. Jamaa ni mtayarishaji in every sense. Anajua kipi kikae wapi, na vipi ili kuleta maana. Na pia huwa hafanyi kazi mpaka akiwa kwenye mood. Ndio maana wengi waliosaini chini yake, hurekodi nae album ya kwanza tu mara nyingi.
 
Mkuu huyu manzi alikua groupie,kila mtoto wake ana baba yake...thats the actual measure of a groupie...

Kama umesikia vizuri alikua anapigwa mashine mle mle studio na Dre,Suge,etc

Tabia za ki groupie hizo kabisa
 
Inawezekana. Ila kwenye remix ya I miss you, Jay's version ame-aknowledge uhusiano wa Dame na Aaliyah.

Ni kweli ila tusiusemee moyo...JayZ ana matatizo sana na wanawake

Kama unakumbuka Foxy Brown was JayZ student,Foxy akaja kwenda The Firm ya akina Nas,JayZ hakupenda kisa alikua anampenda Foxy secretly...

JayZ alivyo snake akapiga baby mama wa Nas,Nas alikua hajui chochote,pamoja na spotlight ya Nas ya kua King of NY,JayZ went in for him,Nas murdered him....mwisho ni kwamba JayZ na wivu mkali sana wa wanawake anaowataka
 
Sidhani kama ni Aliyah....nafikiri Beyonce na Rachel Ray...

Mkuu Rachel Ray alikuja baadae baada ya Aaliyah kufariki mkuu...Beyonce was in her diapers na kundi lao la D-Childs..

Rachel Ray Dame Dash alikuja kukamata baada ya Aaliyah kufariki kitambo..

Mwanzo kabisa alikua Aaliyah,Dame kamchukua,akaja Rachel Ray Dame kamchukua,JayZ was crying...Beyonce was not even in the picture all this time mkuu.
 
Dre was tired of working with military minded people like Suge and Pac...Dre naturally hapendi fujo kiivyo...violence za Suge ndio zilimuondoa na alikua radhi aachie rights zake zote aondoke,ndio alivyofanya....Iovine na Dre wana bond tangu kitambo and these guys have respect for each other mpaka leo wanafanya kazi pamoja (refer Beats by Dre deal)....

Suge watu walimstukia mapema na walitaka kuondoka wote,Snoop,Etc pia Pac alikuja kustuka mwishoni nae alikua anapanga kuondoka,Dre saw this way before...

Na pia Dre alikua sio artist tu wa DR,alikua nearly equal partner/owner wa DR,alikua ni bigger of a threat to Suge pia,Suge wanted to get rid of Dre pia

Dre was as violent, just a pussy and a hypocrite. Kumbuka Dre ndio alimfanyia uhuni Eazy, kwa kujificha nyuma ya Suge. Dre kampa Michel'le blue eyes mara kadhaa, plus alishamfyatulia risasi.

Kuondoka kwa Dre DR kulichangiwa sana na ujio wa Tupac. Dre was their Alpha, hata Suge alikuwa anamskiliza na kumuheshimu coz ni Dre ndiye alikuwa anaingiza hela nyingi. Any record that had Dre's name on it, guaranteed units. Tupac came and took over with a bang. All eyez were literally on Death Row now thanx to Pac. And the fact Suge and Pac clicked, Dre felt left out. Tupac alikuwa anarekodi nyimbo mpaka tano kwa siku, Dre anagonga mbili kwa wiki.

Snoop pia aliondoka kwa sababu Pac was new main man who Suge invested everything on, na kwa sababu Dre ambaye ndie aliyemleta DR, hakuwa na juice as before.

Tupac wasn't comfortable being under anyone, it's just that he had a 3 albums deal to deliver for Suge, then wangekuwa partners. Ndio maana siku/saa chache kabla ya kifo chake ambapo kimsingi alishakamilisha albums 3, alikuwa anaongelea Death Row East kama patner.

Suge was many things, but he gave a huge deal of *** for his artists. Those who were down with him.
 
Ni kweli ila tusiusemee moyo...JayZ ana matatizo sana na wanawake

Kama unakumbuka Foxy Brown was JayZ student,Foxy akaja kwenda The Firm ya akina Nas,JayZ hakupenda kisa alikua anampenda Foxy secretly...

JayZ alivyo snake akapiga baby mama wa Nas,Nas alikua hajui chochote,pamoja na spotlight ya Nas ya kua King of NY,JayZ went in for him,Nas murdered him....mwisho ni kwamba JayZ na wivu mkali sana wa wanawake anaowataka

I'm not gonna get into relationship stuff, but Jay didn't for Nas because of a woman. And he clearly didn't get murdered, or else he woulda been god cuz he resurrected.

Jay was caught up in that beef for trying to be a big brother to Bleek. Bleek alisikia lines za Nas, akahisi zimemlenga yeye, akaanzisha ugomvi.

And Nas didn't necessarily win that battle. It's just that when two are against each other, people often side with the weak/small/less fortunate one.
 
Back
Top Bottom