Ametoka kufanya mapenzi na Mwanaume mwingine? Angalia unavyoweza kumtambua

ni vitu kama mafuta ya samli huwa avina harufu...ukimgonga demu ambae hajagongwa muda mrefu huwa rangi nyeupe mithiri ya maziwa yanajitokeza kwenye ub.oo
Hapana mzee, hapa sio kwel, huo utoko ( huwa kama mtindi hv) sio demu akiwa hajagongwa muda mrefu, demu hata akiwa anatafuna sana mchele, hupatwa na hali hii....! Na wakat mwingine mwanamke hata akiwa mja mzito hupata hii hali, pia sometime akiwa na fangasi hupelekea hii hali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni shauri tu, mwanamke aneweza cheat anytime akitaka na akajikausha bila kuonesha sign yoyote ile... (Kwa alie zoea kufanya hv)

Pia kuna kitu kina itwa shabu.. Hyo akitumia ukienda kusex nae unaweza sema bikra maana K ina rud ktk hali ya utoto... Hahhaa

Kingne kama ukihisi mwenzio sio mwaminifu basi temana nae tu ya nn kujitia jaka moyo, kuanza kushikiana simu, kuhoji hoji... We angalia ustaarsbu wako tu,

Na mwanamke akiamua lake mzee yu cant stop her.

Kwa kumalizia mwanamke ukiwa na mwanamke wako mmoja, kama kuna badiliko lolote lile lazima utajua tu wapa haiitaji sayansi kuubwa, na kama yeye pia yuko na wewe tu, siku akitoka kufanya tofauti lazima ajistukie.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom