Ametoka kufanya mapenzi na Mwanaume mwingine? Angalia unavyoweza kumtambua

Umeamua kutoa siri za kambi?

Ni vema wanaume tukiri tu, hatunaga ujanja mbele ya hawa viumbe "wanawake".

Kimsingi tunafumuliana. Hiyo tabia inaendelezwa zaidi na wanaume...tuache kufumua wanawake wasio wenzi wetu.
 
Kuna vitu unadanganya we nae,swala ukubwa wa maumbile ya mwanamke na na kupwaya kwa mwanaume wake hilo lipo tu kuna wanawake wa namna hiyo hasa wanawake weusi wenye maumbile makubwa ya makalio mala nyingi wako hivyo,sasa hii ni kama unaleta na mauongo yako

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Back
Top Bottom