. every after few days anakuja kwa kigezo cha kumsalimu baby. namuangalia tu.
Kwa kweli zombie ana hasara, siwezi ng'ang'aniza ndoa kabisa. SIjui kwenda kwa mchungaji au baraza la usuluhishi? Ataenda yeye not me.
Akihama tu, nabadili na vitasa, mlinzi na mbwa wapya!
Hivi kila mwanaume akiwehuka akaanza kutoa maamuzi yasioeleweka lawama ni lazima abebeshwe mkewe?Hii hali imeanza kukua sasa ya wanaume kuacha nyumba zao na kwenda kupanga lakini inawezekana wewe ni sababu ya yeye kuwa kama alivyo eidha kwa malalamiko yasiyoisha , kutaka kumcontroll na kucontroll kila analofanya, kumchagulia marafiki na labda kumkataza kunywa pombe!kilazima kila kitu kinafanyika taratibu.
Ajishushe ili nini? Hana alichokosewa huyo mume,labda amekosa yeye kiasi hawezi tena mtazama mkewe usoni akaamua kuhama!muombe Mungu akupe ujasiri, akituma msg mjibu ili ujue ulimkosea nini,hamna mtu anaehama kwake bila sababu nzito,jishushe yaishe
Mume ameniacha, kaenda kupanga nyumba sehemu nyingine, ananiambia tuachane sababu hatufanani.
Mbaya ananitumia meseji kila siku usiku akiniambia jinsi gani ananimiss na kuwa ni jinsi gani moyo wake unamuuma kwa kuniacha ila inambidi aniache tu.
simjibu. Anaamini baada ya muda haya maumivu yatatuisha na tutaanza upya.
Ananiombea nipate mume mwingine and it is a strong christian marriage.
Nimeumia sana ila sasa naona moyo umeanza kuchukulia kwamba ndiyo hali halisi, ila nimefedheheka sana kujua I married a person mwenye akili za aina yake.
Nilikuwa naamini ana akili njema sana.
Sijui nani kamloga baba mtoto.
muombe Mungu akupe ujasiri, akituma msg mjibu ili ujue ulimkosea nini,hamna mtu anaehama kwake bila sababu nzito,jishushe yaishe
Hivi kila mwanaume akiwehuka akaanza kutoa maamuzi yasioeleweka lawama ni lazima abebeshwe mkewe?
Mwehu tu huyo,kama kweli kuna alilokerwa na mkewe ameshindwaje kulisema akakimbilia kuhama?
Reason ya nane to hate you for thinking like me! Zikifika 10 nakuchukulia hatua.
^^
Katika mapenzi, kuna wapenzi wanaitwa rebels! Hawa hawapendi kunyimwa uhuru wao, hawapendi kurudia mambo yale yale nyakati zote, ni wavumilivu wa tabia zinazobadilika. Inapotokea hawaoni mabadiliko kwa wenza wao, huamua kuasi. Huondoka. Huutafuta uhuru wao uliopotea, na huaga! Hilo ndilo lililokupata mleta mada. Kifupi, kwa hulka na silika zao, si rahisi kurudiana. Tafuta mwingine.
^^
kumbe wewe ni m-fesibuku, wafesibuku wasumbufu sana, sijui wewe
Jamani tusimlaumu mtoa mada labda kuna kosa amemfanyia mumewe. .hawa viumbe wa kiume sometime ni maji ya moto kweli
Nilishudia kesi ya baba yangu mkubwa kuama nyumba mnzuri tu tegeta na kuacha mpk watoto wake na kwenda kupanga buguruni chumba sebule na mwanamke mwingine hiyo nyumba alioyopanga choo passport size yaani ni aibu.