Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,176
Kwa authority gani? Wakati naye alikuwa katoka kwenye zinaa?
mpige biti baba yako full stop
mpige biti baba yako full stop
Watoto wa siku hizi uhuru wa kuongea umewalevya.
Sasa kujua hawara ya baba yako ndio umwambie mama yako??
Baba yako akikukuta unakamua demu mwingine akamwambie huyo 'wifi yetu'?
Fuata uliyoyachosha, mapya huyawezi. Kwanza fanya haraka kuhama kwenu ili usave hela za gesti za kumpeleka wifi yetu huko.
Note, wote mlikuwa kwenye zinaa, sasa sijui inakuwaje ya kwako umeihalalisha. Kama wewe ulivyomchukia baba yako, Muumba wako naye kakuchukia vile vile
Hahahahaha!
Kwema mkuu! Vijana wa siku hizi bana wanachanganya sana.
Hebu salimia Blaki Womani na Kabakabana popote pale walipo
Sasa siku moja mama yenu anawaita wanae wote...kisha anwaambia wanangu nimetoka hospitali leo, nimepima nimekuwa nimeambukiwa VVU (HIV)! If you can live with that, usimwambie...lakini jua kwa kutom'warn mama, unamchimbia kaburi!
natamani ningekuwa na indirect means za kufikisha ujumbe.. lakin akianza kudadisi itakuwa noma.
hii ndio hofu yangu pia. waki-divorce itakuwa fault ya baba since ame-cheat. personally i couldn't forgive myself if something bad happens to mama in a similar situation. kuitwa mmbea ni 'upepo tuu unapita' lakini HIV ni permanent.Nimekupendaje leo Dr. Riwa.Sisi baba alikuwa hajatulia na sie ndio tulokuwa wambea nambari one.Yes my dad and mum divorced...lakini tuliangalia mbali kwa kuwa tulikuwa tunawapenda wote wawili...tuliona kuna possibility ya kuwakosa wote kwa HIV.Kukaa kimya si ujanja wala nini...mlipue tu huyo...au mpe warningkuwa yuko under observation akirudia utamsemea.
hii ndio hofu yangu pia. waki-divorce itakuwa fault ya baba since ame-cheat. personally i couldn't forgive myself if something bad happens to mama in a similar situation. kuitwa mmbea ni 'upepo tuu unapita' lakini HIV ni permanent.
Watoto wa siku hizi uhuru wa kuongea umewalevya.
Sasa kujua hawara ya baba yako ndio umwambie mama yako??
Baba yako akikukuta unakamua demu mwingine akamwambie huyo 'wifi yetu'?
Fuata uliyoyachosha, mapya huyawezi. Kwanza fanya haraka kuhama kwenu ili usave hela za gesti za kumpeleka wifi yetu huko.
Note, wote mlikuwa kwenye zinaa, sasa sijui inakuwaje ya kwako umeihalalisha. Kama wewe ulivyomchukia baba yako, Muumba wako naye kakuchukia vile vile
Mhh familia zingine zina laana.... wewe nawe umeenda guest kufanya nini??ndo maana sisi wageni tukija dar tunakuja vyumba vimejaa. Ushauri wangu mnahitaji maombi familia yote...Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka
Mbona makavu liveeeeeeeeeKwanza aliekwambia mama yako hajui ni nani?ndoa za mda mrefu watu hujuana tabia zao na siri zaowewe hayakuhusu kabisa