Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
wewe ni zimwimtu,baba yako inaonekana ni zaidi ya zimwi mtu!lol
hizi statement zinasuggest kwamba mama hajui mume anaenda nje
on topic: nimeona wanaume wengi tunashauri kijana akae kimya na tunaona its okay dad ku-cheat because ni mzazi wa kiume, Je if the situation was reversed mngeshauri the same??
Sasa siku moja mama yenu anawaita wanae wote...kisha anwaambia wanangu nimetoka hospitali leo, nimepima nimekuwa nimeambukiwa VVU (HIV)! If you can live with that, usimwambie...lakini jua kwa kutom'warn mama, unamchimbia kaburi!
Nimetfakari sana, nakuona kama si utoto basi ufahamu wako ni mdogo sana. Je, siku utakayomuona mama yako naye utafanyaje?
We mwambie dingi asilete maukimwi home tu hayo mengine uchune!
dah mwana umepata leverage kubwa sana hapo...sasa mdingi atakuwa mtumwa kwako. wewe usimwambie maza. kuna siku utatumia hiyo infomation kupata kitu....ata ikiwezekana unaweza mwambia na mie nataka kuonja K ya yule mwanamke lah sivyo namwambia maza
Habari za leo wana JF,
naombeni ushauri nifanyeje katika hili, maana linanikosesha raha kabisa.
ni Jmosi ya juzi baada ya mim kupata vihela vya tempo ninayopiga kiaina, ikabidi nitoke kidogo na shemeji/wifi yenu mitaa fulan hapa DSM. mie ndo nimemaliza chuo na yeye ndo anaingia 3rd yr. mida ya kama saa mbili hivi baada ya kumaliza starehe zetu, natoka tu kunako nyumba ya wageni namuona dingi laivu nae akitoka the opposite room na mwanamke ambaye simfahamu.
tukaonana uso kwa uso na mshua, akapigwa na butwaa. sikusema kitu nikasepa fasta na kuondoka na girl wangu.
bado naishi home, si unajua mambo hayajakaa sawa kuweza kupata apartment yangu, nilifika home mida ya saa 4 hivi nilimkuta dingi keshafika. nilifika na kuingia chumbani kwangu, dingi naye akaja fasta na kuniambia nisiseme kitu kwani mie nishakua na hayo ni mambo ya kawaida.
sasa namuonea huruma mama yangu, naona kama simtendei haki.., mimi kujua upuuzi wa baba nisimwambie inanuima sana,.
kwa upande mwingine naona nikisema italeta ugomvi mkubwa na mimi kwa namna moja au nyingine, nitakuwa chanzo cha ugomvi huo.
leo hata sijapanda gari lake, maana nasikia hasira hata kuongea nae.
naombeni ushauri wadau....,