amenisihi nisiseme, lakini roho inaniuma

amenisihi nisiseme, lakini roho inaniuma

Habari za leo wana JF,
naombeni ushauri nifanyeje katika hili, maana linanikosesha raha kabisa.
ni Jmosi ya juzi baada ya mim kupata vihela vya tempo ninayopiga kiaina, ikabidi nitoke kidogo na shemeji/wifi yenu mitaa fulan hapa DSM. mie ndo nimemaliza chuo na yeye ndo anaingia 3rd yr. mida ya kama saa mbili hivi baada ya kumaliza starehe zetu, natoka tu kunako nyumba ya wageni namuona dingi laivu nae akitoka the opposite room na mwanamke ambaye simfahamu.
tukaonana uso kwa uso na mshua, akapigwa na butwaa. sikusema kitu nikasepa fasta na kuondoka na girl wangu.
bado naishi home, si unajua mambo hayajakaa sawa kuweza kupata apartment yangu, nilifika home mida ya saa 4 hivi nilimkuta dingi keshafika. nilifika na kuingia chumbani kwangu, dingi naye akaja fasta na kuniambia nisiseme kitu kwani mie nishakua na hayo ni mambo ya kawaida.

sasa namuonea huruma mama yangu, naona kama simtendei haki.., mimi kujua upuuzi wa baba nisimwambie inanuima sana,.
kwa upande mwingine naona nikisema italeta ugomvi mkubwa na mimi kwa namna moja au nyingine, nitakuwa chanzo cha ugomvi huo.
leo hata sijapanda gari lake, maana nasikia hasira hata kuongea nae.
naombeni ushauri wadau....,

mwenyewe unaiga tabia ya baba yako. mnafanana tabia chafu. iweje wewe utoke na mtoto wa watu wakati hata kwao hujatambulika? wote malaya tu, ushauri wangu mrudieni MUNGU mtende mapenzi yake.
 
duh kweli mtoto wa nyoka ni nyoka inaonekana mnarithishana kamchezo, usije shangaa nawe in future ukaja kupishana na mwanao akitoka gest na demu wake
 
Habari za leo wana JF,
naombeni ushauri nifanyeje katika hili, maana linanikosesha raha kabisa.
ni Jmosi ya juzi baada ya mim kupata vihela vya tempo ninayopiga kiaina, ikabidi nitoke kidogo na shemeji/wifi yenu mitaa fulan hapa DSM. mie ndo nimemaliza chuo na yeye ndo anaingia 3rd yr. mida ya kama saa mbili hivi baada ya kumaliza starehe zetu, natoka tu kunako nyumba ya wageni namuona dingi laivu nae akitoka the opposite room na mwanamke ambaye simfahamu.
tukaonana uso kwa uso na mshua, akapigwa na butwaa. sikusema kitu nikasepa fasta na kuondoka na girl wangu.
bado naishi home, si unajua mambo hayajakaa sawa kuweza kupata apartment yangu, nilifika home mida ya saa 4 hivi nilimkuta dingi keshafika. nilifika na kuingia chumbani kwangu, dingi naye akaja fasta na kuniambia nisiseme kitu kwani mie nishakua na hayo ni mambo ya kawaida.

sasa namuonea huruma mama yangu, naona kama simtendei haki.., mimi kujua upuuzi wa baba nisimwambie inanuima sana,.
kwa upande mwingine naona nikisema italeta ugomvi mkubwa na mimi kwa namna moja au nyingine, nitakuwa chanzo cha ugomvi huo.
leo hata sijapanda gari lake, maana nasikia hasira hata kuongea nae.
naombeni ushauri wadau....,
Baba hakosei kwa mtoto, kwani hata wewe ulikuwa na makosa kwenda guest na mtoto wa watu, ujue ukimwambia mama yako ndoa inavunjika na amani ya ndani ya nyumba yenu haitakuwepo, cha kufanya ni wewe kama una ongeaga story na dingi yako, jitahidi kumshauri abadili tabia kama mtu mzima inamshushia hadhi kurandaranda migesti wakati mama yako yupo, na ujaribu tu kumweleza kiutu uzima kwa matendo hayo wewe anakufundisha nn? hiyo ni tatizo. lkn usithubutu kumwambia mama yako ili kulinda mahusiana ambayo yamefanya wewe uwepo duniani.
 
Pole sana msamehe babaako ili ndoa yao iwe na amani

Alishatambua kosa ndo maana alikwambia mapema kuwa usimwambie mama yako.
 
Hahahaaaaa! Umenikumbusha mbali sanaa! Nilimfumaga anko wangu chobingo, nikiwa dogo tu wa A level, sikumwambia anti wala nini, ila kila jmosi lazima ni MBLACKMAIL ANKO!!! Nilikuwaje PEDESHEE GHAFLA? NAE ANANIPA TU MANAKE HANA UJANJA NISHAMTIGHT KWENYE KONA!!

USHAURI WANGU, Acha mapepe na kidomodomo cha kusemelezea! Hilo BONGE LA OPPORTUNITY!!! Alichokifanya Dingi si cha KUSAMEHEKA, ila KUNA NJIA NYINGI ZA KUFANYA AJUTE BILA KUMUATHIRI MAMA!!

1. Mchane LIVE kuwa alichokifanya ni NOMA na UMEMSHUSHA SANA, coz ulikuwa unamuamini sana, ila kutokana na tukio humuamini chochote!! Mwambie humsemei ila AJITAFAKERI, hiyo aione kama 39 ya wizi wake!!!

2. Tafuta jumba la haja, muombe hela ya kodi!! (hailipi thamani ya mama ila INAPUNGUZA MACHUNGU)

3. Mpe sahrti la kwenda KUCONFESS kwa Mchungaji na kupata therappy kuwa ni mzinifu hadi mwanae umemfuma au akishindwa uende wewe kuconfess umemfuma, kagoma kuconfess na wewe huwezi kumsamehe. Hii itasaidia yeye kuona kwamba umechukua jukumu la kumrudisha kwenye DINI KWA HALI NA MALI! Na kwa kumwambia mchungaji/ padri atajiaibisha sana hadi pepo wa uzinzi ztamtoka
 
Watoto wa siku hizi uhuru wa kuongea umewalevya.

Sasa kujua hawara ya baba yako ndio umwambie mama yako??
Baba yako akikukuta unakamua demu mwingine akamwambie huyo 'wifi yetu'?

Fuata uliyoyachosha, mapya huyawezi. Kwanza fanya haraka kuhama kwenu ili usave hela za gesti za kumpeleka wifi yetu huko.

Note, wote mlikuwa kwenye zinaa, sasa sijui inakuwaje ya kwako umeihalalisha. Kama wewe ulivyomchukia baba yako, Muumba wako naye kakuchukia vile vile

Huyu kijana bana, yeye anaona alikuwa anakula vya 'halali'.
 
vyuo vyingine bwana yaani wewe msomi mzima bado una akiri za kitoto, cha kufanya ongea na dingi, aache tabia yake hiyo au kama anashindwa atumia nanihii ili msije mkawa yatima karibuni.
 
ya wazazi achana nayo, mie nilimshuhudia mara kibao dingi aki flirt, nikiwa std one alimleta home tukiwa mkoani mama alipokuja dar kujifungua thirty yrs ago, tena nikiwa mkoani miaka 20 iliyopita tulihamia huo mkoa mimi na yeye wengine wakabaki na mother heee si akamleta mdada eti anakuja kuwa hg, nashangaa hg analala kwa mdingi siku ya siku si akatuibia godoro na pesa lukuki. Haya 15 yrs ago tukahamia mkoa mwingine nako mwanamama aliyekuwa anatuletea bill za tanesco akamdaka. I did tell my brothers tukadijadili sana tukakubaliana kuyaacha km yalivyo. So ndugu yangu keep calm muombee mzazi wako aache ukware!
 
usimwambie mama yako,HAKUNA MWANAUME ASIECHIT,wewe subiri ukioa utadhibitisha hili lazima tu utatoka nje,wewe potezea tu
 
Mimi nafikiri kama binadamu wa kawaida, mleta mada lazima aumie kwa kitendo alichoona toka kwa mzazi wake, hasa ukichukulia kuwa anayetendwa ni mama yake mzazi. Ni mara ngapi zimeletwa mada kama hizi mtu anasema amemfumania girl/boy friend wa rafiki yake na anakuja kuuliza kama je amuambie mhusika ama la? Na wengi tunaweza kuwa na majibu ya haraka haraka kwa kuwa mama anayezungumziwa hapa si mama yetu wa kutuzaa, lakini je ingeguwa ni mama yetu majibu yangekuwa ni haya haya?

Naungana na waliotangulia kuwa may be mama asiambiwe, ila huyo baba asiachwe aende kimya kimya. Kwa sababu mwanae ameshamkuta kusiko, basi na yeye ajitutumue kumuambia kuwa hayo anayofanya siyo. Tena amkumbushe kuwa saa kumi na mbili jioni ndio tuanze kufungana nepi kisa maradhi? Na kwa yeye baba kujiona bado damu inapita mwendo kasi mwilini, matokeo yake ndio kukutana gesti na wanae wa kuwazaa! Nakubaliana na wadau kuwa kweli kijana naye amekutwa kwenye mazingira tata, lakini kwa yeye kumkuta babake pale, haraka haraka la kwake limekuwa kama siyo kosa tena. Manake baba angekuwa na ubavu kufika nyumbani si angemchimba mkwara kuwa gesti kafanya nini? Kwa hiyo mbele ya baba yake kwa wakati huo, kijana alikuwa ameshika mpini, na baba kashika makali ya kisu, na kijana angeweza kumwambia babaye chochote ambacho angetamani kumwambia kwa wakati ule.

Angekutana na kaliba ya baba zetu sie, umemfuma yeye na kipigo kingekuwa chako vile vile!
 
Naenda kusema kwa mama! nyie watoto mliozaliwa kipindi JK yupo madarakani mna shida nyie.wewe na baba yako wote wadhinifu.ukimwambia mama yako utakuwa lofa KJ.
 
Wote wameoza na kupungukiwa utukufu wa Mungu. Hapo KANISA au MSIKITI vinahusika kwenda kuomba toba ya kweli.
 
Habari za leo wana JF,
naombeni ushauri nifanyeje katika hili, maana linanikosesha raha kabisa.
ni Jmosi ya juzi baada ya mim kupata vihela vya tempo ninayopiga kiaina, ikabidi nitoke kidogo na shemeji/wifi yenu mitaa fulan hapa DSM. mie ndo nimemaliza chuo na yeye ndo anaingia 3rd yr. mida ya kama saa mbili hivi baada ya kumaliza starehe zetu, natoka tu kunako nyumba ya wageni namuona dingi laivu nae akitoka the opposite room na mwanamke ambaye simfahamu.
tukaonana uso kwa uso na mshua, akapigwa na butwaa. sikusema kitu nikasepa fasta na kuondoka na girl wangu.
bado naishi home, si unajua mambo hayajakaa sawa kuweza kupata apartment yangu, nilifika home mida ya saa 4 hivi nilimkuta dingi keshafika. nilifika na kuingia chumbani kwangu, dingi naye akaja fasta na kuniambia nisiseme kitu kwani mie nishakua na hayo ni mambo ya kawaida.

sasa namuonea huruma mama yangu, naona kama simtendei haki.., mimi kujua upuuzi wa baba nisimwambie inanuima sana,.
kwa upande mwingine naona nikisema italeta ugomvi mkubwa na mimi kwa namna moja au nyingine, nitakuwa chanzo cha ugomvi huo.
leo hata sijapanda gari lake, maana nasikia hasira hata kuongea nae.
naombeni ushauri wadau....,

Unajua ndoa ina mambo mengi sana, na baba hawezi kukwambia kila kitu. Inawezekana mambo ya 6X6 yalishakufa siku nyingi sana kati yao na hawawezi kukwambia hilo kama mtoto wao.hujui kuna wazee ambao wanakaa ndani kama kaka na dada kwa miaka 20? So yaeza kuwa ametafuta tiba mbadal. kikubwa ni kwamba anafanya siri hataki mtu ajue, wewe na ubazazi wako wa kuvunja amri ya 6 isivo halali ndio umeyaona.Kwa kujua hilo tu inabidi ufunge mdomo.
 
Labda nimuulize ingekuwa kakutana na mama yake katoka kutafunwa angemwambia dingi yake?

Mambo ya ngoswe mwenyewe. Na wewe pia ukome kufanya ngono kabla ya ndoa!

Waumini tunajuana kwa maandiko yetu tehe tehe tehe, Asprin kwema lakini?????
 
Last edited by a moderator:
my only worry ni kwamba asimletee mama magonjwa ya zinaa. kuna watu hawapendi kutumia mipira for some reason and that's what concerns me. advice your mom to get tested regularly
 
we ni perewaaaa! meza mate kwani mshua ni mjanja fata mambo yako bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom