Hapo unajisumbua tu na hicho unachokifanya ni sawa na kumkabidhi nyani shamba la mahindi au kumrushia ndiz ngedere. Huyo she wako ndio mchezo wake inaonesha ni mzoefu ktk hii inshue ya 071 hata kabla haujampata. Huyo hafai kuwa mke tena. Wadada weng wanatumbukia ktk hii mambo wanafikir wanaweza kuolewa kwa haraka au kutosalitiwa, mnajidanganya huwez kuoa mke wa aina hiyo ndoa itakuwa ya kishetani. Msilalamike kuwa hakuna waoaji, waoaji wapo tena wengi ila kuna kund la wanaume linalowapotosha na kupotosheka hili kund si la waoaji ila waoaji wapo sasa wakija hawa waoaji wakikuta haya mambo wanasepa kbs. Kwa vile sifa hamna za kuolewa mtabakia kuwa mchepuko tu. Mtatafuta sana wanaume kweny mitandao ya kijamii km jf, fb n.k mpaka mtahonga ili muolewe lkn no. Mke mwema au mume mwema aliyetoka kwa MUNGU hafanyi haya mambo