Maradonna
Senior Member
- May 24, 2016
- 183
- 649
Kwa hiyo na wewe ulikuwa unatamani hako kamchezo ukawa unaona noma kuomba? Kama hapana sikushauri hutopata faida yeyote zaidi ya hasara na madhara makubwa kisaikoloji na kiafya pia ni uchafu uliopitiliza. Chukulia kama hiyo ni neema ya kumjua mtu uliekuwa unamwamini kumbe yeye si mwaminifu na iwe funzo kwako katika maisha yako ya mbele kuwa usiamini sana mtu yeyote especially hawa dada zetu wajanja wanjanja sana.