Amenipa tiketi ramsi ya michepuko

Amenipa tiketi ramsi ya michepuko

haraka ya nini? kama una nia ya kweli oa.
Mkuu sio haraka,kabla hauja oa lazima utest kwanza kama mashine ya mwanamke iko valid.. Nyingine zimetanuka sana hapa ndio ule msemo wa kibamia unapo anzia mans kitu mshale wa mile unasoma figa kumi.. Apo sio penyewe
 
We kaushia suala la sex utaona yeye mwenyewe anajirudi maana wanakuwa na wasiwasi kuwa utazoea papuchi yake na kumchoka mapema.
Vuta subira tu ukipiga kwingine ni maamuzi yako binafsi
 
Daah kwani lazima uje humu utangaze nia ya kuchepuka mkuu? We nenda kimyakimya utaeleweka tu.
 
Mkuu sio haraka,kabla hauja oa lazima utest kwanza kama mashine ya mwanamke iko valid.. Nyingine zimetanuka sana hapa ndio ule msemo wa kibamia unapo anzia mans kitu mshale wa mile unasoma figa kumi.. Apo sio penyewe
kwa mujibu wa maelezo yake ameshatest ladha, kama kanogewa ni wakati wa kuchonga mzinga.
 
Ukute huna future mkuu,unawaza chini tu,story zako za chini tu hadi uzi uliofungua nikulalamikia chini tu kwanini mrembo asikunyime,fanya umpe space mtoto wa watu si kumdinya tu

Cc Kingsmann
 
Mtihani ninaokutana nao kwa huyu binti ,sikuwa na nia ya kutafuta michepuko lakini itanibidi, amekuwa MTU Wa visingizio , lawama ninapokuwa namuhtaj kimapenzi (sex) kisingizio sija muoa .
Hivyo hapendezwi na kufanya nae mapenzi Mara kwa mara
Chakushangaza anatambua fika mwaka 2020 nataka kumuoa.
ila kuanzia Leo 6/9/19 nime dhamiria kutofanya nae sex (Mara kwa Mara km anavyodai yeye) hivyo itanibid kutafuta mchepuko maana nimechoshwa kumsihi swala hili. Nilishawah kumueleza na sex nae Mara kwa Mara sababu sihitaji michepuko na wala sina lakin nimeona haelewi , hivyo kwavile asikii nanyamza na kuamua kuwa na mchepuko ili nimpumzishe.
Wewe ni lopolopo sana hujuagi kutunza Siri.
 
Kumbe siyo mkeo.

Huu upuuzi mwengine. Hivi huwa mnaelewa mnachokiandika au mradi muandike tu?
 
Back
Top Bottom