Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 14,207
- 25,974
Mpagani wahedi wewe. Hatuwezi kuona mambo sawa.Nani aliyekufundisha kusex kabla ya ndoa sio vizuri. Nyie ndio wale mnaouziwa mbuzi kwenye gunia. Halafu unajifanya unaijuuua dini na umefunga ndoa mkiwa na watoto wanne, sijui mimba ziliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu??